Alhamdulillah kwa kuzaliwa katika familia ya kiislam, Ya Rabbi! ,Naomba utujalie mwisho mwema, na uwaondoshee adhabu za kabri waliotangulia mbele za haki.... Amiin🤲
Mola wangu nijalie mm na wazazi wangu na ndugu zangu na family yangu chini ya kivuli chako Siku ya hisabu na pepo yako iwe makazi yetu ya mwisho Amiin 🙏🙏🙏
Ya Allah please grant us the opportunity to witness the month of Ramadan..and also ya Rabb forgive all our sin private and public sin knowingly or unknowingly sin grant us the highest rank in jannah Ameen
Yaa Allah nijaalie mm mjawako mwisho mwema na waajalie rehma wazaz wangu na uwaajalie rehma ndugu zangu waislam na uwaasamehe na kuwapunguzia adhabu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki hakika Mwenyezi mungu ndie mjuzi🙏
Allah anipe iman thabit ktk dini yang na anipe msimamo anipe mwisho mwema na pia allah aniongoze njia ilionyooka na anithibitishe niendelee kufuata sunnah za mtume s.a.w. Na allah atuepushe na shirk waislam wot na tuwe miongoni mwa wale watakao ombewa shifaa na mtume s.a.w
YAA ALLAH Mlinde BABA YANGU huko alipo ni miaka miwili sasa hayupo nasi na hatujui alipo Mpe FARAJA na Mlinde mwepushe na kila Shari za usiku na mchna Mfanyie wepes Apate kurudi katika mji wake wew Ndie mwenye kuhukumu ya RABBY Hakuna mwenye kuweza kuyatenda uyatendayo Mlinde BABA yangu 😢😢
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 aas alykm: naomba jina na msomaji Quran sheikh alosoma Quran kwa matini. Allah awajaze kheri wote wawili .msomaji na mtafisiri.hatuna cha kuwalipa ila Allah ndie mlipaji kwa kazi yenu nzuri. Akujaalieni Allah afya njema na umri mrefu. Pamoja na firdous.
Allahu Akibarii Ya Allah Nakuomba niifadhishe Koloan na unijaarie iman mpaka Mwisho WA uhai wangu YaAlllah wajaaliwe mwishomwema wasomaji wakoloan woote uwasamee mazambi Yao yoote kwani tunaipansha iman tukisikiliza tusamee Ya Allah🤲
MashaAllah❤km umefanikiwa kuckiliza hii sura ndan ya 2024 gonga like tujuane
Tupo2024
Ya Allah tujaliye sisi zote mwisho mwema inshaallah Amin Allah🤲🤲❤️❤️❤️💗
Yarabi tujalie mwisho mwema mimi na wazazi wangu ya rabilaalamin
Akika dini yakislamu ndo din ya ukweli Allha atujalie khauli thabiti waislamu wote inshaaaallha 🙏🙏🙏
Mashaallah karibu Sana MASHAALLAH
Ameen
@@tangaoldtv1067 tabrakallh shukrani 🙏
Allahuma Amiiin ❤
Amen
Alhamdulillah 🙏kwa kuzaliwa Muislam, Shukran kwa wazazi wangu kwa kunipa jina zuuri la Maryam
Amiib
Alhamdulillah
Amiiiin wajina
Maa shaa Allah ❤
Maryamu mzima
Nawaombea waislam wenzangu wanaotumia MB zao kwa kuangalia content zisozofaa Allah awaongoze
Aamin thumma aamin
Ameen
ALLLAH nijalie mwisho mwema pamoja n wazazi wangu🙏🙏🙏
Allah uwajaalie wazazi wangu wawili na uwarehemu Kwa kunipa malezi mazuri ya kiislamu Amina
Alhamdulillah kwa kuzaliwa katika familia ya kiislam, Ya Rabbi! ,Naomba utujalie mwisho mwema, na uwaondoshee adhabu za kabri waliotangulia mbele za haki.... Amiin🤲
Yaa Allah nijalie mm mjawako mwisho mwema niipate kauli thabiti siku yakutoka roho amin
Ameen thuma ameen kwa sote
Ameen
Amin
Aminia rabbi allamiin
Amin yaa rabb kwasote 😢😢😢😢
Mashallah mashallah sauti nzuri tafsiri mashallah yarrabi nijalie kizaz changu kiipende na kisome Quran 🤲🤲🤲🤲
Aamin thumma aamin 🙏
Mungu nipe mwisho mwema 🙏
Namshuru mungu kunijaalia kua muislam
Kwa sote inshallah
SubhanaAllah ya rabbi niongeze imani na taqwa na waislam wote kwa jumla ya rabbi
InshAllah
Ya Rabbie, tuzdshie Iman na utile mwisho mwema
Yaa rabbi tusamehe na utujaalie mwisho mwema kwan sisi hatujakamilika
Ameen
Katika neema kubwa ambayo najivunia ni kuzaliwa katika family ya kiislan na na mungu kunipa shifaa ya kuwa muislam 🙏🙏🙏🙏🙏asant mungu kwa neeema hiii
Allihamudullah namshukuru Allah juu ya neema surat mariam
Surah nzuri hii kuisoma ukiwa mjamzito 👌inapunguza makali ya uchungu
Emwenyezi mngu mwingi warehema naomba unijarie mja wako mwisho mwema Amina😄🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
Surat Maryam ❤❤❤❤
Subhana ALLAH, Wa Alhamdulillah, Wa La Illaha Illah Allah, Wa Allahu Akbar
Alhamdulillah kuzalliwa ndani ya uislam.Allah awahifadhi wazazi wangu wawili.Amiin.Jazaka Allahu khayr.
Amin
Yaa Habibi Allah tujalie mwisho mwema kwauruma wako hakika sisi niviumbe dhaifu ya Rabii
Amiin Ya Rabb
Amen
Amen
Yaa Rabbi nijaalie mwisho mwema, warehe ndugu zetu waliotangulia mbele za hak na uwafanyie wepes katika safar yao, uwaepushe na adhabu siku ya malipo
MashaAllah MashaAllah Allah barik
Ewe mwenyez mungu mwng wai rehem n mwenye kurehemu basi tusamehe n utuongoze ktk njia iliyoonyok
Amiin Amiin Ya Rabb Al Amiin
Amin inshallah 🙏🙏🙏
Allah atujaalie tuwe waja wema na mwisho mwema
Allahumma amiin
Ya allah tujaalie mwisho mwema
🙏
Emwenyezi mungu nakuomba umuondoshee mamaangu marathi yanayo musumbua😢 nauwajaalie mwisho mwema
Ameen
Amiin
Mwenyezi mungu awajalie kila la heri
MashaAllah hakika ametakasika Mwenyezi Mungu.... Allah tujaalie Mwisho mwema ummat Muhammad S.A.W Amiin
ALLAH Akbar!!!!! Mola wetu tujalie mwisho mwema!! Amin yarabi
Suratul Maryam ❤
Maryam one of the 4 best woman in the world
Manshallah
MashaAllah
Maa shaa Allh. Yaa Allha tuongoe na utudumishe ktk uongofu
Amnaaaa
Amiin Ya Rabb
Allah atupe kizazi chema
Masha Allah🥰Allah awajaalie pepo Firdaus🙏
Maasha Allah.uislam nirah saan tunamuomb Allah atufish katik uislam amiiin
Allah atujaalie waislam wote imaaan tumuabudu Allah yeye asiyie mshirika. Allah akulipe shekh🙏♥️
Amin inshallah Amin thuma amini inshallah 🙏🙏🙏
AAmeen inshaallah
Allah nijalie mwisho mwema nisamehe dhambi zangu.
Maa Shaa Allah,
Allah awalipe kheri nyingi.
Mola wangu nijalie mm na wazazi wangu na ndugu zangu na family yangu chini ya kivuli chako Siku ya hisabu na pepo yako iwe makazi yetu ya mwisho Amiin 🙏🙏🙏
Yarabbi utuhifadhi waja wako na tuwe wenye kushukuru neema zako Allahumma.. Amiiin ❤❤❤❤❤❤❤
Allah ni mwingi wa rehma tunaomba utujalie tuwe miongoni wa waja wema
Aminie
Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah
Maa ashaa Allha mwanyezi Mungu ni Mwingi wa rehma
ewe molla wangu mlezi nizidishe imani hasbiyhallha wa nenma lwakill
Abdullah Juma Khery
Ameen kwa wote.
Aamii kwa sotee
MASHA Allah
Yaaram.b tujaaariee mwisho mwema duniani na kesho Akhera Anllaahumma Amiiina
Maa shaa Allah Allah akupe afya na uzima tuzid kufaidi
Masha alla Mung akuzdshiee ilkuw nkitfut sna tafsri qur an Alhamdulillah
Mashallah
Am listening to it 30/7/2020 may Allah accept our dua😭
Alhamdullilah nashukuru nimeongeza kitu katika imani yangu mola nifanye niwe mja mwema Inshallah.
Allahuma,,,,,ameen na mimi pia mungu atupe mwisho mwema tufe ktk shahada ya allha😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🤲🤲
@@aishaomari944 mm pia ameen
Allahumma Aammeen
Ya Allah please grant us the opportunity to witness the month of Ramadan..and also ya Rabb forgive all our sin private and public sin knowingly or unknowingly sin grant us the highest rank in jannah Ameen
Mwenyezi mungu akujaalie mwisho mwema na umri wenye rehema ya dunian na akhera sheikh wetu
Ameen kwa wote
Allah Akbar
Alhamdulillah. ...
Kwa neema ya uisilamu...
Alhamdulillah kuzaliwa mwislamu
Masha Allahr,
Tufanyie wepesi eeh mwenyezi mungu
Inshaallah mwenyezi mungu akujaalie
Mashallah ALLAH barik
Mashaallah
Maashallah Allah akulipe kheri inshallah 🤲🤲
Amin amin hakika mwenyezi mungu nimkubwa
Mashaallah mashaallah rabi twakuomba utujaalie mwisho mwema amiin
Ya rabil nipe mwisho mwema mm na family yangu na pia utupe kauli dhabiti wote Kwa ujmla
Mashaallah
Mashaalah Allah kariim
Masha allah
Mashaallah Allha 💖💖💖
Yaa Allah nijaalie mm mjawako mwisho mwema na waajalie rehma wazaz wangu na uwaajalie rehma ndugu zangu waislam na uwaasamehe na kuwapunguzia adhabu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki hakika Mwenyezi mungu ndie mjuzi🙏
Mashaallah mashaallah
Swadakta, mashallah,mashallah jazakallah khaira
Asalam aleykum waisilamu wote mnaesikila sura hii mungu atamfanyia wepesi duniani nakesho ahera na atupe mwisho mwema in shaa Allah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
Allah atujalie mwisho mwema inshallah 🙏
Yarabi tujalie mwisho mwema nauwasameh wazeewetu walodangulia
My favorite Surah❤
Allah tujalie mwisho mwema
Mash Allah
masha Allah masha Allah masha Allah Alhamdulilah
Mashallah tabarakallah amazing recitation.allahi barikiffik.
Namshukuru mwezimungu mwingi warehma kwakusikiliza japo ayakidogo namoyo wangu ukawa natamani emwwnyezimungu niongoe Mimi nawazazingu pamoja nawale wanao nitegemea nawaislamu wrote kwaujumla inshaalah
Ya allah nijaalie mimi mja wako mwisho mwema
Allah akuzidishie in sha Allah
Ameen kwa wote
Assalaam a'leykum warahmatullah wabaraqat . Naomba kupata hyo tafseer sheikh Wang 0692702916. May ALLAH bless you always
MaashAllah Alhamdulilah Allah nitalie na Mimi WA heri
Faiza Baishe mashaallah Allahamdullah
Masha Allah namshukuru mungu kwakuniumba muislam naninamshukuru mungu kakunipa watot ninakuomba utupe mwisho mwema natusiwe wanye kukushirikisha amiin
Allah anipe iman thabit ktk dini yang na anipe msimamo anipe mwisho mwema na pia allah aniongoze njia ilionyooka na anithibitishe niendelee kufuata sunnah za mtume s.a.w. Na allah atuepushe na shirk waislam wot na tuwe miongoni mwa wale watakao ombewa shifaa na mtume s.a.w
YAA ALLAH Mlinde BABA YANGU huko alipo ni miaka miwili sasa hayupo nasi na hatujui alipo Mpe FARAJA na Mlinde mwepushe na kila Shari za usiku na mchna Mfanyie wepes Apate kurudi katika mji wake wew Ndie mwenye kuhukumu ya RABBY Hakuna mwenye kuweza kuyatenda uyatendayo Mlinde BABA yangu 😢😢
ameen
Being new in Islam I am learning a lot . Good work done.
Allah bless you and your family
Karibu Sana ndugu yetu Allah akujaze Imani na akupe mapenzi ya kuipenda dini yako 🤲🤲
Mashallah May Allah bless you and your family
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 aas alykm: naomba jina na msomaji Quran sheikh alosoma Quran kwa matini. Allah awajaze kheri wote wawili .msomaji na mtafisiri.hatuna cha kuwalipa ila Allah ndie mlipaji kwa kazi yenu nzuri. Akujaalieni Allah afya njema na umri mrefu. Pamoja na firdous.
Za
Alhamdulillah, hakika utukufu ni wake Muumba wa viumbe vyote.
Hasbiya Allah waneemmal wakeel
Yaarabi nijalie mwisho mwena
Allah tujaalie mwisho mwema🙏🙏🙏
Mashallah it beautiful translation I benefited Mashallah alot May Alalh bless both the reciting and the transltor
Alahh nifugulie njia nzuri
Aamiyn
ALHAMDULLAH ALLAH ATUFANYIE WEPESI WAISLAM WOTE KWENYE DUNIA NA ATUPE MWISHO MWEMA ❤NAJIVUNIA KUWA MUISLAMU
Ukweli kumbe haufichiki.
Alhamdullilah 🙏🙏🙏
Ukweli unaweza kucheleweshwa tu lkn utajidhihirisha
Mashallahu Shukrani sana sheikho ❣️💕 iloveyou Quruan
Ameen
Alla🙏 atujalie mwixho mwemaaa.
Allahu Akibarii Ya Allah Nakuomba niifadhishe Koloan na unijaarie iman mpaka Mwisho WA uhai wangu YaAlllah wajaaliwe mwishomwema wasomaji wakoloan woote uwasamee mazambi Yao yoote kwani tunaipansha iman tukisikiliza tusamee Ya Allah🤲
سبحان الله العظيم واتوب اليه استغفرالله العظيم لا إله إلا أنت سبحانك إني كنت من الظالمين يارب العالمين 😢
For lealy bro
For lealy bro
Mashaallah awajaze heri na baraka
Yaa Allah Tujalia watakaye ku kuwona pammoja na Mtume S. A. W.