Expectations ni mbaya sana, mfano wanaume wengi wanatarajia kuwa wakioa basi mke wake awe mchapakazi, yaani awe responsible na majukumu yooooote ya kike bila kukumbuka kwamba huyo dada hajawahi kuolewa kwamba ana experience ya kutosha kwenye ndoa, ambapo Sisi wanawake mara nyingi huwa hatuna expectations nyingi kwao, lakini wao sasa Wana wish wanawake zao tuwe wanawake wa mithali 31😢, kiukweli expectations ni mbaya sana jamani😢 hasa kwenye ndoa, jamani tuacheni kuweka expectations kwa wenzi wetu
Tusaidiane wote kwenye ndoa maana wote unakuta bado wageni humo, kuweka expectations kunaharibu mambo mengi sana, expectations inachosha, inaumiza yaani ni huzuni kuu😢
Expectations is the mother of dissapointments
True

Ni kweli expectations zitakuumiza zaidi