JINSI YA KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO
Вставка
- Опубліковано 15 січ 2020
- Tuungane na muhamasishaji Victor Mwambene akitufafanulia kwa undani unawezaje kujua au kutambua kusudi la maisha yako.
.
Usiache ku SUBSCRIBE, KU-COMMENT, KU-LIKE na KU-SHARE kwa wengine.
.
TUFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / successpathnetwork
.
For Business please send an email to:
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#VictorMwambene #LifePurpose #EachOneTeachOne
1:00 Tunawafahamu watu wengine kuliko tunavyo jifahamu wenyewe duuh!🤔 Hii nihatari sana
Thanks brother 🙏🏾
Success path each one teach one very good slogan,tuko pamoja sana kwa slim mnayoitoa munguaendelee kuwabariki in you're combination kaka ezden,plus victor hakika maishayangu sasaivi yamebadilikasaana kwasababu yamafunzo .liberatus sylvanus Mwanza.
Nice brother
Nashukuru sana kwa somo hili
Mana binafsi linanitatiza sana
Mungu akuzidishie maarifa
Yes sir
Aisee kaka uko njema sana nimeanza kukufuatilia hivi karibuni lakini nimegundua una vitu vya maana sana vya kutujenga
Broo punguza mziki hebu jaribu kupitia video za edzen jumanne ziko poa Sana.
I like it
Nimejifunza kitu hapa nami najifunza kitu kwa Nabii Eliya
Hongera sana nimekuelewa sanaaa Ubarikiwe sana
Asante sana kwa somo zuli lkn musc umezd sana tunaoskliza na hedfone maskio ynaziba
all is right brother, but life purpose should applied practically
Mr Alberth nadhan Albert tayari ameshafanya practical since ameweza kushare na watu kile ambacho wengi hawakijui.
Thanks brother nimetunza hizi nondo katika diary
ahsante Sana kwa somo
Brother victor mwambene naomba namba yako ya simu...
@Victor Mwambene shukran kaka...
Asante ,barikiwa kaka🙏
Umeyachukua kwenye bible kama yalivyo, walokole wote gonga like hapa
Good
Izo ngoma zina uzimasikiyoni
Kweli
Kila kitu kinatokea kwa sababu hivyo matokeo tunayoyaona yanasababu
Kaka m nimjasiriamal ninafanya biashar ya kuuza supu nampataje menta?
Asante kaka
Nimekukubali
Wewe utachaguwa nni
Background music is bored
Kweli imezidi humu kidogo. Tutarekebisha huko mbele. Asante
Maajabu ya pete, kama hujui maana yake bora usivae kabisa, ua-cam.com/video/jc2SnhFLxI4/v-deo.html
Nice brother