Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Urusi kahangaika na Ukraine miaka mi 3 anashindwa kumpiga Ukraine wakati hakuwa na siraha. Sasa Ukraine karuhusiwa kutumia siraha twendekazi😅😅 Urusi anaanza kulia😅😅 Atakimbilia Nuclear😮
Safi sana ukrein
Apo Sawa USA keep supporting Ukraine 🇺🇦 God protect 🙏 Ukraine 🇺🇦
Piga nikupige sf sana ukren sima meni kiume
Piga nikupigiee mbele Kwa mbele 🎉🎉🎉
Safi sana Ukraine hakuna kukata tamaa.putin ni mvamizi na anastahili majibu kama haya.
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Wasubiri mapigo watajutiaa😂
Sasa nipiga nami nikupige😅😅
Mwanzo Ukraine hakuwa na siraha nzito sasanae kazipata😅😅
Piga nikupige
Mh Urusi naanza kuizarau yaani wanaboa kabisa
Urusi kahangaika na Ukraine miaka mi 3 anashindwa kumpiga Ukraine wakati hakuwa na siraha.
Sasa Ukraine karuhusiwa kutumia siraha twendekazi😅😅 Urusi anaanza kulia😅😅
Atakimbilia Nuclear😮
Huyu comedy sio wa kumuonea huruma na watu wake ni wakuchakaza
Huyu nyoka wa kiukrein akatwe kichwa
Hao sio ukren ni nato ndomana urus atumii nguvu kubwa anajua mashoga wataingia tu kumvamia ndomana anasubir wajichangamye awapige vizur
kweli kabisa Putin kwanza anauzoefu na vita arafu anatumia akiri sana
@@emmanuelkanyela275hawezi kuwazidi nato.Nato wana akili sana,wanamvutia kasi hapo.