PUTIN AWA MBOGO, AONYA VITA YA TATU YA DUNIA 'TUTAWALIPUA MAREKANI WAKIENDELEA KUTUCHOKOZA’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Місяць тому +1

    Tunakupata vizuri sana ndugu mwananchi kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna

  • @josephmulula440
    @josephmulula440 Місяць тому +4

    Aplication militarily chance application niko tayari kujiunga jeshi la urusi

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 18 днів тому

      Hata mm nipo tayar kuwasaidia Russia maana upande wao ndio sahihi kabisa kuwa

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 Місяць тому +2

    Hawezi

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya Місяць тому +2

    Hana uwezo huo na msanii sana

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 Місяць тому +3

    Putin hana lolote ameisha miaka 2 na yeye hana nguvu kwa sasa

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 Місяць тому +3

    Vita kuu ya tatu ya dunia ukiianzisha wewe utakaa wapi? huo ni wendawazimu.russia kwanza hawakutegemea hii vita kuchukua muda wote huu na hali yao mbaya. Vita haina maana yoyote, ni ushetani na uuaji wa watu bure.

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 Місяць тому +1

    Yeye atakaa wapi ameisha nguvu zake kwisha

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому +1

    Urusi zaif

  • @KaluKadheinge
    @KaluKadheinge Місяць тому +3

    stori za jaba, ukrain miaka mitatu

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 Місяць тому +2

      Urus anapigana na nchi karibu 30 zenye uwezo na anavhukua maeneo inatutosha

    • @princejoseph-g3y-g2f
      @princejoseph-g3y-g2f Місяць тому

      Iwapo marekani itafanya full scale invasion kwa Russia Putin atashidwa vita tu. Ukraine ni nchi dogo Sana lakini limeua wanajeshi laki Saba WA urusi kwa hivo jiulize kama ni marekani anapigana moja kwa moja na urusi kungeeda aje

    • @NicholausLwaipa-c3j
      @NicholausLwaipa-c3j Місяць тому

      ACHA ushabiki​@@faridfrefre35

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 29 днів тому +1

      ​@@faridfrefre35sio kweli angepigana na NATO angekua kashakimbia kitambo Ukraine

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 18 днів тому

      ​@GeraldElias-s7j tatizo huna update wanajeshi wa Nato wapo ukrein na ndio wanayoongoza mitambo yote ,ndege, missile zote za uingereza na marekan dhidi ya Russia...angekuwa zelensk ni mwezi mmoja tu angekimbia nchi

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 Місяць тому

    Putin 🇷🇺💯✍️

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Місяць тому +2

    Siokuonyaa Putin anajua mzikiwake marekani ni kibokoo akili mingii sanaaa ubaya umbwelaaa

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 22 дні тому

    Wacha kuonya miaka nenda miaka rudi... piga nyu kilia ili uibuke mshindi wa hilo neno new clear

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 Місяць тому +3

    Piga mashoga hao nato wamepotezana
    Hawajui wap waanzie putin baba lao anazidi kuwaburuza marekan magaidi wa ulimweng wanapaswa kutiwa adabu namalinda yapepeee

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise Місяць тому +1

    Mpe kazi bashad kutoka syria kuhusu marekani bado sana kaka

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha Місяць тому

      Nikwl

    • @emmanuelmmbaga5209
      @emmanuelmmbaga5209 27 днів тому

      hawajui ht unabii ...malekan ndio atailazimisha dunia kila mtu apokee chapa , hakuna super power mwingine xaid ya USA mpk yesu anarud ...someni biblia.
      utus anafukuta tu hana lolote, ameshateketeza jesh lake kubwa sn kule ucrain, na ghala nying za silaha. mpk akaongezewa jeshi na korea

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Ukraine piga uyoo Syria kashindwa

  • @EzekielMbise
    @EzekielMbise Місяць тому

    Fanya kwa vitendo tumechoka maneno president putin

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 Місяць тому

    fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?

  • @OmarNasor
    @OmarNasor 25 днів тому

    Afadhali ijetuuondoke wote hakunafaifaida yakuishi kamawatu wengine wanaangamizwa bilahati Tena watoto mama wa wenzutu wazee wagonjwa bilahati hichondio kiama chenye

  • @bonifacekomba7060
    @bonifacekomba7060 Місяць тому +1

    Kamwacha Syria peke yake hana lolote mikwara tuu uoga mwingi Ukraine anamsumbua

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha Місяць тому

      Et bwana

    • @husseinissa7118
      @husseinissa7118 18 днів тому

      Syria yenyewe ilijichanganya kushirikiana na Turkey kumbe Turkey yupo na USA na Nato wakamzunguka na akashindwa kupigana ambapo angepigana angesaidiwa na Iran na Russia kwa hio rais Asad alikuwa hataki hicho kiti alikuwa kauchoka uraisi maana huwezi kuondolewa na waasi wachache elfu 20 wakati una jeshi la watu 150,000 na nchi inachukuliwa bila mapigano ya maana.

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO Місяць тому +1

    Putin hatutaki kelele wapige sasa tushachoka

  • @josephcharo1356
    @josephcharo1356 Місяць тому

    Katambe bhana ili dunia iishe tu kila akatutane na muumba wake

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Putin afe

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Місяць тому +1

    Putini zake ni kuonyaga tu😂

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 Місяць тому +2

      Mtu mwenye busara Sana.

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 Місяць тому

      Bwanaa putting maneno yako imekuwa mingii sanaaa,Kila siku unasema mstari mwekunduuu😮

    • @FrediBatoni
      @FrediBatoni Місяць тому

      Anaijua mazara ya nuclear atuwez tasmani tuna weza lahani nakumchukia poutin sisiwote ndo mana anahonya sana mana yeye ndo mwenye sal bomber bom lamwisho kabisa lanuclear​@@hajiramadhanihaji355

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx Місяць тому

    Kuna siku itakuwa

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 Місяць тому

    Aligusetu aonetu

  • @DikiSali-h6k
    @DikiSali-h6k Місяць тому +2

    Putin wapasue maana waliibia sana waafrica wakamuua kaka gadafi wamemwaga damu ya waalestina

    • @josephcharo1356
      @josephcharo1356 Місяць тому

      Wakiingia vitani ujue watamwaga hadi damu yako. Lakini litakuwa jambo la heri kwako mana utapata fursa ya kwenda kujamiiana na wale mabikra 72 ulo ahidiwa na Mohamed

    • @hajijuma8661
      @hajijuma8661 27 днів тому

      Unapomtaja m'bora waviumbe unatakiwa umtakie rehma, yaan ucseme Muhammad 2, bali ishia nakusema S.A.W,

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya Місяць тому

    Ifute.malekani.putini.kwenyelamaniyaduni

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya Місяць тому

    Bola.awafute.kwenyelamani.yadunia

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya Місяць тому

    Putini.unafahamu.anapigana.nadunia

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 Місяць тому

    We Putin chakaza hako ka ukileini mchezo uishe

  • @rachigameni101
    @rachigameni101 Місяць тому

    West wanahofia tu silaha zake za nyukilia lakini si uwezo wa kijeahi alionao kwani mpaka sasa yukoi

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 Місяць тому

      Huna akili wewe unajua putin hapigani vita ni oparation maalimu
      Anapigana na nchi nyingi
      Ana vikwazo vingi
      Lazima atumie akili kupigana vita sababu vita ni pesa
      Lakin anachukua maeneo
      Na hataki kutumia nguvu nyingi atauwa raia wengi anazo silaha akapiga dakika tu kuigeuza keive majivu

    • @Baharia92
      @Baharia92 Місяць тому

      Yuko hoi na wakati hv kalibun kachukua mji mwingine unasema yupo hoi huku akiendelea kuwashinda nato

    • @Picassomp-if2km
      @Picassomp-if2km Місяць тому

      Unachoongea hata ww hukijui yani unaweweseka

    • @rachigameni101
      @rachigameni101 Місяць тому

      Kwanza unapaswa kujua kwamba hakuna wanajeshi wa NATO wanapigana vita Ukraine, ni Ukraine pekee na jeshi lake jasiri lililopewa mafunzo mbali mbali ya kivita na kuwezeshwa misaada ya silaha kutoka magharibi ndio kikwazo kwa Urusi kushindwa kuitwaa Ukraine, "amakweli Ukraine ikiwezeshwa inaweza"

    • @rachigameni101
      @rachigameni101 Місяць тому

      fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?