Mungu asimame nawe mzee kicheche kazi ziwe zinatufikia Kwa wakati wote fans wa malaika tumuombee ndugu yetu mungu asimame na washirika wa kicheche Ameen more....
muzid ktupa mambo mazur hata ya taratibu kuliko mabaya y harak big up kaka kicheche mm mwanao tulikuwa pamoja lambalamba pia ni mfuas wako sana big up❤❤
malaika naipenda ila kama watabaki kubadili watu mnatuchanganya maana maturubai wanawak watatu mkataka kumuhuwa mama leo joel naye ayupo utamu gani sasa bila joel amna feli sna mbwa makoti
Malaika ni Saison nzuri sana , mafundisho nimakubwa sana Nacho kiomba mzee kicheche Mujitaidi kuimaliza kazi hii vizuri ili mafundisho haya yapate nguvu naudumu zaidi ndani ya akili ya wasisi tunao wafuatilia kila Siku 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤❤❤❤🎉🎉Heavenly Father, full of mercy and grace, We lift our hearts in gratitude to You for bringing us into this new year. We pray that it may be a year of blessings, peace, and success. We commit every dream and every plan into Your hands. Amen
Mungu asimame nawe mzee kicheche kazi ziwe zinatufikia Kwa wakati wote fans wa malaika tumuombee ndugu yetu mungu asimame na washirika wa kicheche Ameen more....
Amin🙏
Amém
Kicheche
Nime flai nime ona mwajuma komwe
Kiukwel kilasiku hii srz inakua tama kinoma
Asante mungu maraika imetoka tena kicheche big job my brother 👏
Kicheche kazi nzuri sana,kwa series unafanya vizuri sana kuliko comedy,nafuatilia kutoka Meru Kenya wa Meru wa Tanzania mpo
Mwajuma komwe nafurah sana kuambatana na kicheche 😂😂🎉🎉🎉🎉
Pia Mimi ❤❤❤
Yesu Kristo ni alpha na Omega yaani mwazo n'a mwisho Amin ivyo n'a ubarikiwe sema amin
Mwenye anaona brother kicheche akifika mbali gonga like 👍 tukisonga🎉🎉
My only & one best actor ni j unajua sana brooh nategemea kukuona ukifanya makubwa na kufika mbali inshalllah unakipaji❤❤
muzid ktupa mambo mazur hata ya taratibu kuliko mabaya y harak big up kaka kicheche mm mwanao tulikuwa pamoja lambalamba pia ni mfuas wako sana big up❤❤
nakuku bar sana mzee kicheche 😅😅😅😅ila unachelewesha sana
Mungu awape nguvu na baraka tələ ktk kusimamia hii tamthiliya nzuri sana hii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Joel umeupiga mwingi sana kaka dah naona kaz zinaend vzr uko nawakubal san tu ❤❤❤❤❤
Baba tuko pamoja mungu akubariki sana lakini kicheko tu❤❤❤❤❤❤
Niko hapa wakwanja toka Congo ❤❤❤🎉😂🎉
Toka nimefatilia move sijawah pata like hata Moja sjui Nina gundu gan jaman😢😢😢😢😢ila kicheche unaweza sana sema mnachelewesha sna
Mor bless good job mmeupiga mwingi🫂 mzee wamabus mwamba kabisa joel ras mlanyama 😁😁😁😁uwezi mkubwa umbo dogo
Oy Mzeee kicheche kazi zuri sema unachelewa sana
Iyi movie ni nzuri sn ila ss tatizo inakawia sn kutok mpaka inapotez ladha kabis😢
Kicheche n bonge la muandishii asee MUNGU ambariki sana
Watu mpo fasta humu dk saba lakini mshaawahi duh,,😮
Hongeren kwa kazi nzur 🎉
Unagawa sana makoti). MWAYUMA 🎉❤ karibuni sana
Uwezoo sana Malaika+makoti
Kicheche wewe ni mchapa kazi kweli kweli Mungu akuwezeshe piya na timu lako likusikilize🎉🎉🎉 Joël drise toka congo RDC
Mwamba mwenyewe kicheche Noma kweli ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰
Baba la baba kicheche tunakukubali San mbwa wewe sema ulitubow san kwa kupotea mda mrefu tupe vitu babu wa mababu❤ kwani ulikuwa wapi mzee
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzuli sana nimeipenda❤
🎉🎉🎉 unyama sana mwamba i'm from Moz vamos fazer acontecer em tz 🇲🇿🇲🇿
Jamani Mimi leo wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿📝✍️🌹💐🔥🍎❤️ naombeni like 👍
janani mm mcongo pamoja na vita mimi naomba like zenu ata mbilitu
Lakini mimi kuna kitu sija kielewa mbona joel kapotezwa gafla alafu mlio yaongea yote atujayaona itakua mmemzingua romantic boy wetu
Kazi nzuri baba ila shida unakawiya saana kuachilia épisode
Mungu akuongoze mzee kicheche wendelee kufanya vizuri tuna zidi kukuombea brother
Naitwa Mariam kitoka kigoma mbona Joel ajacheza sana namkubali uyu kaka joeli sana
Tazizo lenu ishameshakuwa moja munagawa nakutosha épisode yakufwata
Nawapenda sana. Moçambique
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kicheche makoti❤❤❤
On est avec toi kicheche toujours likolo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uyo ndo bandidu mtu wakaz chafu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Kicheche nakukubali sana natamani kufaya kaz na ww
Congratulation mzee makoti kwa kazi
Jamani kicheche anajua sana ❤❤❤
Kicheche kwenye ubora wake kazi nzuri mno,,, nazifatilia sana pamoja na movi ya dunia inayotikisa bongo move kwa sasa
Kama kuna mtu mwenye tabia ya malebo basi mungu achukue uhai wake kabla ya mwezi wa pili
Daah umetisha na ilipo ilishia sas big up san makotiiiiiiii😂😂
malaika naipenda ila kama watabaki kubadili watu mnatuchanganya maana maturubai wanawak watatu mkataka kumuhuwa mama leo joel naye ayupo utamu gani sasa bila joel amna feli sna mbwa makoti
Kazi mzuri sana🎉🎉🎉🎉
Kazi kwa wakati mzee keep it up
Movie tamu sana ❤❤❤❤ila mwachelewesha jameni
Malaika ni Saison nzuri sana , mafundisho nimakubwa sana Nacho kiomba mzee kicheche Mujitaidi kuimaliza kazi hii vizuri ili mafundisho haya yapate nguvu naudumu zaidi ndani ya akili ya wasisi tunao wafuatilia kila Siku 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Malaika dunia imemlemea mrudisheni tu mbinguni😂😂😂🎉🎉🎉
Nafuatilia moja kwa moja japo mnachelewa sana
Mimi naitwa Joshua kutokea Uganda nakukubali sana ❤❤❤
Waoooh, tuliopenda malaika kukutana na Makoti tujuane
Awachelew kubadrsh
Movie nzuri ila wanacheleweshA sana❤❤
Nice one story brother makoti 🎉🎉🎉🎉🎉
Yan mnachelewa sio poa mnajisaau sana aiseee apa tumeona hii leo kipande kingne ad tusaau km kuna series ya malaika
Ogera Sana makoti Sisi tupo tutaku sapoti
Naomba n'a mimi
Kicheche mungu awe nawe mzee wangu umeweza kazi mimi naitwa er son taka congo
Bwana kicheche ukuwe najikaza ukuwe natumiy kwa haraka, tunapenda movie zako ila unachelewa kuzitow, jitaidi kabis
Jamani Leo nmefika wa 6123 bc nipeni tu ivo ivo izo like...❤❤much lv from Kenya...bt kicheche Huwa unachekewa sana bro...bt big up kazi nzuri 🎉
Kazi nzuri mzee kicheche❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉Heavenly Father, full of mercy and grace, We lift our hearts in gratitude to You for bringing us into this new year. We pray that it may be a year of blessings, peace, and success. We commit every dream and every plan into Your hands. Amen
malaika kali saana
Kazi safi. Ila weka huo wimbo wa malaika UA-cam tafadhali. Wimbo ni mtamu sana
Ee nimewahi laki watu muko wengi aje kwani hua munajua ina postiwa😂😂😂
uyu mwamb joel anajua mpaka anakera yaani sijui kwa nini aypo azam au dstv ila big up broo
Kicheche kazi njuri ime tuliya vizuri mnooo 🎉🎉🎉
Mungu akusaidiye mzee kicheche wetu
Imemalizia sehemu mzuri amessing
Leo mimi wa Kwanza nãomba like ata 10
Leo wakwanza tangu nimeanza kufatilia hiyi movie sijawahi kupewa like hata moja
Naona mwajuma komwe amerudi kwa kicheche alf mnachelewa kutuletea mambo mazuri 🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂et mwajuma komwe
Kazi mzuri kaka Makoty ila kazi unaichelewecha tufanyie kwa muda bass🎉🇲🇿🇲🇿
Tunakunya uku tunasota hatunawi 😂😂😂😂
Jamani sisi uku congo hatuoni iyi mv na furaha sababu ya vita uku congo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ila tunampenda mzee kicheche
Naimani tunapoelekea kazi zitatoka mara mbili kwa wiki wote tuseme insha allah
Moja kati ya kazi nzuri jah bless
Nimewahi leo team strong tujuwane 🎉🎉🎉❤❤
Kicheche félicitations pour les œuvres je te suit dépuis le Congo Kinshasa malgré la difficulté aussi la Guerre mais on n'est en semble 🤞🤟💪🇹🇿🇨🇩
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤katika mov 2 Bora ambazo uwa natazam malaika number 1 🎉🎉🎉
Kichech kaz nzur xan 🎉🎉🎉🎉🎉
Navyo ipenda hiiii movie yetu ya malaika sizani kama kuna mwengine zaídi yangu bwana naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
Hatimae nimewai jmn like zangu basi
Love from GOGO LOVE OFFICIAL
Leo nmewahi naomba like zangu nyinyi 😅😅😅😅
Chukua mahali ulieka
Sauti ya maongezi ipo chini sana ila background ipo juuu sanaaaa
Hhhm mimi mumewangu hawezi kukubali ni act film niki kisiwa he is very jealous
Duh kipengele kweli
Malaika kazinguaa badala atoe kitambaa amuone mume wakee shit malaikaa..Kazi nzuri kichewizee
Wakwanza from 254
Je! Unafikiri kicheche (Makoti) akimpata malaika wataishi maisha ya Raha kama mwanzo walivoishi kijijini.😮
Mimi wakwanza kutoka Burundi naombeni like ata tano
Wakwetu burundi🎉
Like zinakusaidia nini
Meisubili kwahamu sana kila nikia iangalia naona kimya hati mae ime fika 😊
Maturubaii qnajuq sanna japo kiuhalsia anakeraa😂😂😂😂😂
Jamaa yuko vizuri sana
Lakni bana unatufanya tunaboeka , si hii kitu huwe unaleta baanda ya siku ata tatu zikirnda sana. Angalia vile Dunia inavuma bana
Mimi wa kwanza kutoka congo 🇨🇩 ila kuna vita watu tunakufaa uku
Unyama nimwing san kicheche 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Asante Sana kicheche alakini juyanini aumalize iyi théâtre unaifanya série ya ba Indiens yenye aiichake vraiment jikaze umaliza
Mungu akubariki naakupe courage uko natufuraisha Sana
❤❤❤
bibi naifaty pambee🎉
Kazi nzuri Kicheche. Mwajuma amfe fanya vizuri kwendeleya na Mzee Makoti