HUYU PADRE BALAA! "SOKA AMEPOTEZWA, MZEE KIBAO AMEUAWA, MMENYAMAZA, KEMEENI MAOVU", ATOA ONYO KALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 14 годин тому +6

    Nakupenda kwaajili ww nimkweli sana Mungu atakulipa kwa mema yako Mungu akulinde na shari

  • @MPALAITV
    @MPALAITV 14 годин тому +3

    Huyu mzee ana akili sana MUNGU ASIMAME PAMOJA NAE

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 12 годин тому

    Mtumishi wa Mungu,BWANA anakutumia sana kulirejesha Taifa kwenye mstari. Pia utisho wa Mungu upo umekuzunguuka.Hasa ukiwa unakemea jambo fulani.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 14 годин тому +4

    Akili kubwa inaongea.. kama umeamua kubisha,sawa.. vinginevyo huna hoja kubisha ujumbe huo.

  • @Tumaini-mj4fs
    @Tumaini-mj4fs 13 годин тому +1

    Role model.
    one day Yes

  • @JacobJamesMasangula-oo6pt
    @JacobJamesMasangula-oo6pt 8 годин тому

    Well said.
    Baba Padre

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 годин тому

    Kweli kabisa tunamtaka soka na mwezie wote waliopotezwa. Ni maumivu sana

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 13 годин тому

    Nyerere ni Jogoo❤

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 12 годин тому +1

    Zanzibar waliuawa kipindi cha Mkapa na wakati wa Kikwete na JPM

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n 9 годин тому

    Mkuu umesahau hata alietaka kutekwa pale kiluvya akajiokoa mwenyewe nae anatokea kaskazini 😢😢😢😢 inaumiza sana mambo haya,Tunamuomba Mtawala atusaidie.haya mambo kama hayajakutokea unaweza kuona nikama story tu,ila usiombe yakukute kama yule jamaa wa kiluvya,kingine nyie viongozi wa dini hebu tusaidieni kutoa elimu inawezekana vipi mtu anatekwa mchana hadharani,anapiga kelele 'jamani nisaidieni hawa watu siwajui wanaenda kuniua,naomba msaada nakufa'watu wanaendelea na shughuli zao hakuna hata alieuliza.HUU ni MSIBA😢😢

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 13 годин тому

    AKILI KUBWA SANA HII

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 10 годин тому

    Ni Kweli Fr.Kitima unaongea ukweli, Viongozi wa dini wakikaa kimya maovu yataendelea na kuongezeka! Hivyo maovu yakemewe kwa nguvu zote na viongozi wa dini msikae kimya!
    Wananchi amkeni Hakikisha mnapiga Kura na kulinda kura.

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 12 годин тому

    ccm oyeee mama mitano Tena amina

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 3 години тому

      Kichwa chako kina tatizo,hakuna Cha miaka 5 tena