Vijana - Pr. Joshua Njuguna

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @justinemsela3593
    @justinemsela3593 2 роки тому +1

    Mungu atusaidie sn, muniombee kijana wangu amekataa shule akiwa form2, nmeonge sn nimepiga haelewi nikiongea nae haongei, jana kahamia kwa jilani

  • @vincentondari1940
    @vincentondari1940 4 роки тому +1

    Pr Glory to God,that is my message ,your crown will be more brighter.amen.

  • @danielpius14
    @danielpius14 5 років тому

    Amina pastor Njuguna ,nimepata elimu kwa maisha yajayo barikiwa sana

  • @lornakerubo3368
    @lornakerubo3368 6 років тому +2

    Thanks pastor for sharing such wonderful message barikiwa

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 роки тому

    Mimi mwenye watoto mekuelewa sana, asante sana pr Joshua.

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 5 років тому

    Kuomba kwakupata mme au mke umeongea kweli tuulize Mungu wetu tena nakutafuta ila sio kusema hovyo kuchunguza namacho yatosha waongo wanaume wakujitapa wakiwa wacha Mungu hawafanyi hivo

  • @joshualuhende745
    @joshualuhende745 4 роки тому

    Hogera sn mtumishi wa mungu nimejifunza mengi sn

  • @beatricemjema2156
    @beatricemjema2156 7 років тому

    kwakwel pastor umenibariki mno. Mungu akupatie afya njema uendelee kunena kwa niaba yake

  • @geoffreyobiri1836
    @geoffreyobiri1836 6 років тому

    tanx for you PR Joshua njuguna kwa kutupa umahalifa was kuishi NA familia sidi sako twapata wapi Niko Nakuru Ngata gate?

  • @alfredmwema3839
    @alfredmwema3839 8 років тому

    ni kweli pastor ujanani kuna changamoto wazazi yawapasa kuwa makini

  • @golehaezekiel8187
    @golehaezekiel8187 4 роки тому

    Barikiwa sanaaa pastor njuguna

  • @moniquenimbabazi4528
    @moniquenimbabazi4528 5 років тому

    Mungu akubariki fundisho nzuri

  • @furahiniubarikiweprmbwambo9721
    @furahiniubarikiweprmbwambo9721 7 років тому

    pr njuguna ubarikiwe sana kwa somo

  • @simonogenche913
    @simonogenche913 7 років тому +2

    want a blessed words. pastor thank you and be blessed

  • @molincreative817
    @molincreative817 7 років тому

    good research! am blest ! pastor ubarikiwe

  • @josephbwana1058
    @josephbwana1058 8 місяців тому

    Am blessed with GOD through this pr. Nilikuwa naye Nyakato District hapa Mwanza Tz.

  • @samsondaud1110
    @samsondaud1110 5 років тому

    Amina sana mtumishi wa Mungu

  • @miltonfrank9130
    @miltonfrank9130 2 роки тому

    i like message

  • @esthermajige9233
    @esthermajige9233 6 років тому

    barikiwa mtumishi

  • @elilianmbise8818
    @elilianmbise8818 6 років тому

    thanks pr njuguma

  • @nibonisyendalima5165
    @nibonisyendalima5165 6 років тому

    amina Mtumishi

  • @amoschiloya3241
    @amoschiloya3241 3 роки тому

    ameen

  • @NdihokubwayoBrigitte-e3c
    @NdihokubwayoBrigitte-e3c Рік тому

    Amen 🙏🙏😅😅

  • @simonikwelela1190
    @simonikwelela1190 7 років тому

    Mungu mwema

  • @arcadiclement907
    @arcadiclement907 8 років тому

    pastor ubarikiwe sana kwa somo zuri

  • @manyangunkinda6639
    @manyangunkinda6639 7 років тому

    amina sana

  • @brazzofilande3452
    @brazzofilande3452 7 років тому

    Tatizo hapa, science inafundishwa kanisani Biblia haijasema tuhubiri na kufundisha NENO tukiunganisha na vitabu vya waandishi wa dunia, csience. ANGALISHO !

    • @molincreative817
      @molincreative817 7 років тому +1

      shida iko wapi?

    • @nabotikanyika6314
      @nabotikanyika6314 7 років тому

      barikiwa mchungaji kwa masomo mazuri

    • @nabotikanyika6314
      @nabotikanyika6314 7 років тому

      vijana tuzingatie kilicho po ktk somo lililo tolewa na mchungaji

    • @millionairementorndobandol4724
      @millionairementorndobandol4724 7 років тому

      Brazzo Filande Biblia ni mkusanyiko wa vitabu humo yamo malezi ya watoto IMO science nk..kanisa ni sehemu ya knowledge mbalimbali...ujasiliamali nk..

  • @vannilllahmasese5705
    @vannilllahmasese5705 6 років тому

    Amen

  • @elicekimo649
    @elicekimo649 7 років тому

    hubby

  • @davidandrew3481
    @davidandrew3481 6 років тому +1

    Ni ujinga Kupeleka Matatizo ya familia yako Kwa Watu wengine, Na kwa kijana wa Rika hilo kunyoa hivyo ndio muda sahihi, Asije akaruka Stage

  • @danyisrael6845
    @danyisrael6845 7 років тому

    true education

  • @samsonmunyambu3860
    @samsonmunyambu3860 4 роки тому

    huyu ametolewa ushirika bcz of aldurtery uko thika holyhills church

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 роки тому +1

    Amen