MATENDO MAKUU YA MUNGU - Na.Kaiza Alex || KWAYA YA MT DOMINIC SAVIO (KMDS) - BOMBAMBILI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #IrisEmpire#SavioFamily#Bombambili
KWAYA: MT.DOMINIC SAVIO (KMDS)
PAROKIA: BIKIRA MARIA MAMA WA ROZARI - BOMBAMBILI
WIMBO: MATENDO MAKUU YA MUNGU
MTUNZI: KAIZA ALEX
KINANDA: SANTINO KUHANGA
AUDIO: BANALLY PRO
VIDEO: IRIS EMPIRE
Like, Share & Subscribe
Mimi ni muadventista wa Sabato lkn nimevutiwa sana na huduma ya kwaya hii. Muziki ni mtamu, ujumbe mzuri na utulivu wa aina yake. Mungu awabariki sana.
Amina, tunashukuru Sana👏
Santino 🙌🙌 heshima kwako.
👏👏
Tabasamu Zuri wimbo mzuri. Waimbaji wanawaka wanaoendeza na wana Amani. Kwa Mungu kuna raha
Kumtukuza kunafaa
Mbarikiwe Mungu awatie nguvu🎉
👏👏
Aseeeeh Tamu sana hii
Tunashukuru Sana 🙏🏽
Bro kaiza shkamoo🙏
👏👏
Nashukuro sana kwa kusikiliza nyimbo za changwe, assante sana amém,msumbiji.
Kazi nzuri sana Dominic Savio mmetisha sana na hongereni kwa kazi nzuri sana
Tunashukuru Sana 👏
Huu wimbo mmetupa furaha ya kumsifu Mungu kwa kweli toka Moyoni nimeupokea vinzuri Hongereni sana kwa kila pande mtunzi , waimbaji ,utulivu ,video , mavazi aisee salute TUMWIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI 🙏
Ashukuriwe Mungu 🙏🏽
Tunashukuru Sana🙏🏽
Safi Sana kazi nzuri
Shukrani Sana👏
Hongera sana kaka
👏👏
Hatar sana !!!
👏👏
Oyooooo balaa na robo🤝🤝🤝👏
Amina👏
Ila Santino 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥
👏👏
Kaiza hongera saaaaaaana na pamoja na waimbaji wote mpe hi sana phina
👏👏
Utukufu Wa Bwana na Udumu Milele, Bwana na ayafurahie Matendo yake 👏 Hongereni kwa kazi nzuri Familia🙏🏽
Tunashukuru Sana 🙏🏽
Kwakweli matendo makuu ya mungu
👏👏👏
Savio daima juu
This is amazing... Ni nzuri sana.... Utunzi mzuri sana... Uimbaji mzuri tulivu, orchestration ni nzuri sana..
Video inavutia...
Asanteni wakuu
Tunashukuru Sana 👏
Kuna namna Huu wimbo ni Very touching
Kama una machozi ya Karibu.
Nice work team-it was nice working with you - Keep the positive vibes. See you
Tunashukuru Sana 👏 ubarikiwe Kwa kuwa Moja ya Waliochangia Ubora Wa kazi hii🙏🏽
Good work, Qaaaali mno
Ina upako ,👏👏
HONGERENI SANA HAKIKA MUNGU NI MWEMA
Tunashukuru Sana 👏
🔥🔥🔥🔥fam
👏👏
Alex nakutafuta by Sr. Beatrice
Oyoooooooo hatariii. Kazi nzur sana. Hongereni sana Fam...
Tunashukuru Sana 👏
Wimbo mzuri na mavazi mazuri
🙏🙏🙏
Huyu kaizer jumlisha na Santino 😅
👏👏
Kaiza nahitaji kujua pale ulipoamkia kutunga huu wimbo😂🙌
👏👏
Hongereni saaanaa wimbo mzuri waimbaji Makin kweli mmeutendea haki. MUNGU awabariki kwa kazi nzuri. Naomba nakala yake tafadhali.
Tunashukuru Sana👏
Wasiliana na Mwl.+255768741284
Ok asante saana
Hongereni kwa kazi nzuri 👏👏👏👏
Tunashukuru 👏
Kazi salama ...sauti nzuri ,utulivu wa hali ya juuu... Mmenibariki wanabombambili xaveryyyy
Tunashukuru Sana 👏
Hongera sanaa Kaizer 🙌
👏👏
Nice song big up guys
🙏🏽🙏🏽
Asaante Altoo..
👏👏
Dah.Mungu atukuzwe Sana Haya Ni matendo makuu ya Mungu ..Asante Sana Kaz Ni nzur Sana Walim mpiga Kinanda hongeren Prd heshima kwako na wanakwaya wore Barikiwa
Amina Sana👏
Winnie mzuri mavazi Mauro tu
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Great Performance Well done Team.....Ahsante Sana.
Amina 👏
This is one of my favourite song
Shukrani 👏
To God be the Glory🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen👏
🎉🎉🎉
👏👏
Nice song
Tunashukuru Sana 👏
Kaiza Kaiza Kaiza,, Nimekuita mara Tatu😂😂😂😂😂
👏👏
🥰🥰🥰🥰🥰
👏👏
🎉❤
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
🙏
👏👏
Hongereni sana kwa kazi nzuri 👍
Tunashukuru Sana 👏
Hongereni kwa kazi nzurii 🔥
Tunashukuru 👏
🎉🎉🎉
👏👏