WASAFI salama!! Eee kuna swala nataka kukwambi!! Ni tofauti na kipindi. Mimi naitwa Appolo Gideon kutoka Rwanda 🇷🇼. I am Blogger ! Kuna tatizo huku Mshindi Wa miss East Africa Miss Shanitha Paka saaa hajapewa Gari lake alilo shindia mwaka Jana !. Kama inawezekana Mina we mukawauliza walio anda. Mr RenaCallist . Asanteni.
kaka h baba umeuwa kabisa imekuwa interview yamfano kabisa umetoa msaada mkubwa sana ongelen sana sana sana kwa uyu jamaa ambae halishiwa chakula cha nyumban kwake #AVATASTAR255 🎵👈👈👈👈🙏🇹🇿
Da jmn h baba kumbe bado kioaji Cha uigizaji hakija potea tangu kpnd Cha jully tax yaaan nme checka Sana kwa comedy zenu pia scene mlvyo z wena utazan zme pangwa kumbe n mmekutana nazo huko huko mtaandaa big up more town sanya watu wanna h baba toka Rock City mail kirumba tuna kusoma Sana pande hizi
Eh bana Motaoni we mchonganishi ajabuuu😭😭😭😭😭😭😭😭 Tena ukaleta ushabikiiiiii😭😭😭😭 Nisamehe Heich bwanaaaaaaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭 Najua nyimbo Yako Attitude 😭😭😭😭 Ningejua uko singenenaa😭😭😭😭😭 Basi Motown nipe zawadi yangu😭😭😭😭
Fala sana huyu ashindwa na yule mtu aonekana chizi na yuajua huyu ni H baba yy akili yake timamu na hajui Diamond ni yupi na H baba ni yupi fala sana huyu
😂😂😂..Very Creative,WCB.. Sanya na H Baba.. nimecheka..sasa H Baba ulifeli wapi ngosha wangw'ise??...tatizo ulichanga karata vibaya ulipokuwa kuleee...🤣🤣🤣🤣👊
Kutoka congo 🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi tunakupata vyema mo town sanya ila hii nimecheka yaleo hatari Sema nini jamaa wa bongo kwanini awawafamu vyema wasanii wao.
Wooooyoooooooo team Baba Levo tujuane🤣🤣hata mm nitachagua Baba Levo ili nicheke vituko vyake
Huyo ni H baba sio baba levo mama.
@@captenndunga6745 hujamuelewa
I like him
Umekua na ujana umeshakukataa fanya tu maisha acha usela
Kama ungali unawatch hii video 2024gonga like😂
Moyo wangu hunafuraishwa sana na h baba kuwa w.c.b afu ana anaonesha lav ya kweli 🥰👌👋👋
Huyo jamaa mwemye tishet nyekundu ana tamaa sana...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebu nipe kwanza mkono ulinioteaje yani umeniotea chifu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Nilicheka sana
H baba unaroho nzuri sana ubalikiwe kwa moyo wako huo ila usipende kujiita majina ambayo sio yako
Badala awatambulishe watu jina lake anamfagilia Mond
Baba kajua kujiongeza haamini kama anarudi home na ugali dah maisha haya🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
H.baba nafikiri Chama Letu la Wasafi wampe Kitengo cha Utangazaji sababu amechangamsha sana Kipindi cha Hivi ni Kweli. Wasafi for Life Baby.
Hilary mrema hamna kitu hapo jitu zima lakini jinga
@@margarethpolepole7438 kwa nn🤔
Leo h'baba amepata niaje, sema fresh jamaa alitaka kuendekeza njaa
Huyu jamaa wa mwisho daa mhh. Mtihani sana
H. Baba umepiga mia yya mia kamatia umeua.....oyeeeeee H.dangote.🙌🙌🙌🙌
waliotisha leo ni yule wa kwanza kuhojiwa na jamaa alievaa nyekundu katumia fursa vizuri mno🤣😂
If u are still watching 2024 like back much love from Kenya❤😂
H. Baba now una trend very proud
Baba wa blue Tshirt leo anaenda kuwaambia wanawe n wajukuu kua kaonana na Diamond Platinumz Simba 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Hiki kipindi nomaaa sana 🙌💥💥 nimechekaa mpaka nimelia 😂😂😂😂😂 hahahh hahahaha hahahh hahahaha 😂😂🙌💥🙌💥🙌💥💥😂
Dah! Eti huyu jamaa mchonganishi😂😂😂mchizi wa mwanzo katingwa sana
Mungu anawaona yaaani Mzee wa watu mnamuimbisha kweli🤣🤣🤣🤣🤣 pesa mwanaharamu
🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅
Mwenye Nyekundu ana Tamaa sanaa
Wapi like za h Baba🤣🤣🤣🤣🕺🕺Mimi nakupenda Sana H Baba watching from 🇰🇪 Kenya
Gry ua-cam.com/video/HLqvhu8vj98/v-deo.html
WASAFI salama!! Eee kuna swala nataka kukwambi!! Ni tofauti na kipindi. Mimi naitwa Appolo Gideon kutoka Rwanda 🇷🇼. I am Blogger ! Kuna tatizo huku Mshindi Wa miss East Africa Miss Shanitha Paka saaa hajapewa Gari lake alilo shindia mwaka Jana !. Kama inawezekana Mina we mukawauliza walio anda. Mr RenaCallist . Asanteni.
Napenda sana vpindi kama hivi kwani zinanifanya kusahau ugumu wa maisha, love kwako mwandaaji
😃😃😃😃🔩ila watu wanashida mtaani sio poa jamaa kachemka anaomba mpaka kodi ya nyumba😃😃🙌
H'baba umetuwakilisha mwanza safi Sana umeuwa 😁🙏
Huyo mkaka jaman amejigamba mpaka basi na H.baba 😂😂😂😂huyooo anataka amtext°°
You are kind man.... Hakuna hivi ni kweli zaid ya hii mo hujai fanya hivi ni kwel kam hii... More bless H baba😍🙏
Serious nime enjoy sana sana Asanteni sana Kwa Kipindi kizuri
🤣🤣🤣🤣🤣 uyu baba inamana amjui kweli mond jamani dhambi 🤣😂
😂😂😂🙌
Eti na kodi ya nyumba muhimu 😀😃😄😁😆😅🤣😂 umeuwaaaaaaaaa
Diamond batan, diamond paltam😂😂😂 diamond plantam. Maana apo kwanza ncheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣👍
Huyu mwenye shati nyekundu anaomba mpk anakera, mkwewe anakazi hapa😄😄😄
H baba hatareee sanaaaa you kill it🔥🔥🔥💪💯
Huyo jamaa mwenye t shirt nyekundu aliamua kutumia fursa vzur 🤣🤣
Nimecheka hatari ...eti msifie ngoma yako nzuri😄😄😄😂😂
H baba mnda si mrefu atakuwa maarufu tena sana apo ndo w.c.b bwana akuna sho ndogo hapo hongera sana h dangote
From 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya
Motown sanya unyamwezi mwingi in the building
Mambo freshi barida
Ya Allah ukosefu una tufanya wakati moja ma comedian kwa Ku omba rizki
much love H. Baba....u made my day
I am Allan doing University in Zimbabwe but Origin Tanzania. One love for Country
🔥🔥🔥🔥🔥
Nimechekaa uyo baba wanguo nyekundo yani anaomba vitu vingi mpak azinguw🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SI anajuwa Iko anaongeya na Mondi😄
Tatzo tamaa msengee ww mala unga mala kodi ya nyumba utaolewa msenge wewe🤣🤣
Sasa matusi yanini?.
H baba na baba levo roho zenu ni safi kulko mwijaku
Diamond platnam ame tishaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️🤣🤣🤣
Huyo mzee wa pili aliye vaa tisheti kanichekesha ki fala kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
Loh unamkunja mtu kisa kakuponda. Haaa mimi ndio ningefuguka kabisa kuwa sikupendiiiii😅
😅😅😅ndo safi hiyo kumchana
et uyu jamaa mchonganishi nyie kweli binadamu wanabadilika 😂😂😂😂🙌🏻
Yani🤣🤣🤣
JAMAA KAWA MCHWA TENA, CHAKULA, MARA KODI...😃😀😁😂🤣💪
Huyo Mzee kanichekesha sn eti Platinomu mara platamu d, ha ha haaaa.…!!!
Baba levo fundi majumba💪😀🇹🇿.dogo wa mwanzo anamkukubali fundi majumba.
Huyo ni h baba sio baba levo.
@@captenndunga6745 nilimanisha jamaa wa mwanzo anamkubali baba levo.
@@mahmoudaziz4717 poa nilikua sijakuelewa ndugu yangu.
@@captenndunga6745 poa ndugu
Kha yan upewe unga sabuni sukari...nauli et Kodi ya nyumba muhimu😂😂😂😂😂
The guy in blue is so clueless it's too crazy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na Ako dar jameni ata mamangu kijijini anajua bongo music kama zote
Bad enough hamjui diamond 😆😆😆😆😆😆😆
@@alicechambaladainty6851 ameboa kweli
Sio kweli ni mawenge ya kamera tu
Yeah I like him also ( si unajua utani)
KIPINDI KIMEENDA POA NA MISAADA NDANI, SAFI WASAFI NA H BABA PIA.
Kweli watu wanafiki 😂😂😂😂😂😂
Me nimempenda uyo mzee wa tatu amekuwa kweli 😎
Uyu kaka wamisho asipoangaria ataorewa yaani anatamaa atari😭😭
H.BABA yafaa awasialiane na watu sanaaa ili ajulikane....amonize alikua amempotezaaa
kaka h baba umeuwa kabisa
imekuwa interview yamfano kabisa
umetoa msaada mkubwa sana
ongelen sana sana sana
kwa uyu jamaa ambae halishiwa
chakula cha nyumban kwake
#AVATASTAR255 🎵👈👈👈👈🙏🇹🇿
Huyo jamaa wa kwanza 😄😄😄😄🤣🤣🤣😂😂😂😂😂umenudhulumu
🤣🤣🤣🤣🤣huyu baba amenichekesha wa tishet blue
🤣🤣🤣🤣🤣kanimaliza mbavu
Huyu boy iko na tamaaa they say buy for 10.000K.but still want to get food for 18000 K.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nomaa🤣🤣🤣🤣🤣
Not they say....he said
Yaani kuna watu Tanzania hawajui diamond😂😂😂😂
Tanzania mbali Daresalam Yan mtu upo dar alafu mond humjui dar
Da jmn h baba kumbe bado kioaji Cha uigizaji hakija potea tangu kpnd Cha jully tax yaaan nme checka Sana kwa comedy zenu pia scene mlvyo z wena utazan zme pangwa kumbe n mmekutana nazo huko huko mtaandaa big up more town sanya watu wanna h baba toka Rock City mail kirumba tuna kusoma Sana pande hizi
kodi ya nyumba muhimu😂😂😂😂😂
H BABA estás de parabéns gostei de Show, sanya unyama nimwingi sana
Binadamu wengi ni wanafki sana 😀😀😀😀😀
Kupewa hela kupokea
Eh bana Motaoni we mchonganishi ajabuuu😭😭😭😭😭😭😭😭
Tena ukaleta ushabikiiiiii😭😭😭😭
Nisamehe Heich bwanaaaaaaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭
Najua nyimbo Yako Attitude 😭😭😭😭
Ningejua uko singenenaa😭😭😭😭😭
Basi Motown nipe zawadi yangu😭😭😭😭
Jamaa kasema yeye amfahamu hbaba 🦁🦁😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣 nilichojifunza kupitia hiki kipindi usimchukie mtu ambae hajawahi kukosea
Show ya kinyama sanaaa nimependa H BABA He’s a good actor
Daaaah hiyo maiki ya wasafi imekupendeza unafaa kuwa mtangazaji wa wasafi
Sema mo Town unatisha San na hii show yako.. Ulivokuw unamchongea dogo sas😁😁
H baba yupo vizuri sana bg up kwenu
Huyu baba kanifurahishi nyimbo za amapenzi😛😀😀😀
N0maa kweli, leteni vipindi kama hivi mwanza piah, H baba pam0ja sana, cheka kid0g0 ni0ne wak0 mwanya, ulitisha sana kaka.
Baba wa tishet bluu mbavu zangu 😂🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅
Hana lolote h.baba sasaivi alivyo ata sigida ana ila wasafi mashetani kweli🤣🤣🤣
6
Kama hupendwi hupendwi tu 😄😄 taja nyimbo yangu inatajwa na hamonize
Nilichojifunza H Baba watu wengi hawamjui vizuri pamoja na mziki wake…. Japo anajina kubwa.
Dainon tatinami haaaa mzee anajuwa kusema diamond platinum 😂😂😂😂😂
Uyo mwamba atupe raha ya ngoma moja na mond
HAHAHAHA Uyu magazijuto mwenejina la hesabu aliyogundua pesa sikitoto aisee
Diamond 🤣🤣🤣 uluzipateje😄😄 wekamche
Mzee amjuwi H baba wala Diamond
Aisee kumbe kuna watu hawamfahamu Diamond 😄
Njoo inbox mama
Ht we kuna watu awakufaham nawapo ndanii ya ukoo wako tz nzima awez dili na mziki
Uongoo t kataniaa xio kwelii hamjuii diamond
@@rasvegas8991 ni kweli hasa kama huna smartphone
@@muwezahasani4017 inawezekana kweli hamjui
Mlokole wawatu mnamuimbusha bongo freva🤣🤣🤣
This man doesn't know between who is diamond platnumz or H. Baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fala sana huyu ashindwa na yule mtu aonekana chizi na yuajua huyu ni H baba yy akili yake timamu na hajui Diamond ni yupi na H baba ni yupi fala sana huyu
Kwanini usiandike tu kiswahili kaka
Kwanini usiandike tu kiswahili kaka
H Baba & Baba Revo❤️❤️❤️❤️
H baba me nampenda kiuno chake tu akikatika🥰🥰🥰🥰
Uzuri h baba anazingatia code anavyaa kinachompendeza
😂😂😂..Very Creative,WCB.. Sanya na H Baba.. nimecheka..sasa H Baba ulifeli wapi ngosha wangw'ise??...tatizo ulichanga karata vibaya ulipokuwa kuleee...🤣🤣🤣🤣👊
Huyu jamaa nyekundu haridhiki
Kutoka congo 🇨🇩🇨🇩
Lubumbashi tunakupata vyema mo town sanya ila hii nimecheka yaleo hatari Sema nini jamaa wa bongo kwanini awawafamu vyema wasanii wao.
Daaah nimecheka mpaka basi 😂😂😂
Dah! njaa mbaya jaman mzee wwtu kabadrisha msemo kisa unga sukari na sabuni yakufua,et nilimuona Zuchu simba day 😂😂Mo Mungu anakuona
B levo ba😂
Hik kipind kinatoa stress maana unajikuta unacheka sometimes wana wanatia huruma jaman ila nimecheka sana big gup wasaf
Nimecheka Kisenge Yan🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Ila kuna watu wanazaririka kidgo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa wakwanza kanifurahisha Sanaa😂😂😂🔥🔥🔥🙌
h baba fala sana....daaaah
MWANZA KING KATISHAAAAA