Tanzania 🇹🇿 ni nchi yenye aman ongera sanaaaaaa kwa kazi mzur jeshi letu allah awafanyie wepesi kwa kila jambo awa watu ni wabaya sanaaaaaa 😭 😭😭😭 wakikukuta wanakuuwa na familia mzm mm kaka angu amekatwa mapanga juzi tu na awa majamabaz awafai kabisa😢😢😢
Yawezekana maana majeshi ya nchi mbalimbali katika vikosi tofauti tofauti huwa wanafanya mazoezi ya utayari na hutumia mpaka silaha halisi na kwa umakini mkubwa Ni kama zoezi lililotokea uwanja wa ndege kule Dar es salaam hivi karibuni
Jeshi la Polisi kwa ushauri naomba msiwe mnafanya drill Kama hizi uraiani. Mimi kama raia mwema nikiona kitu kama hicho halaf nina silaha kwa kutaka kusaidia jeshi nikamtumbukiza risasi dereva wa cruiser hio ingekuaje? Au mtanigeuzia kibao kuniita mm mhalifu?
These r not members of alshabab militants, secondly police force were not trained in prober because explosive things could have been used by the criminals. It was nice to ask them to get off their jackets before handcuffed.
@@samwa9496 huwezi jua menye silaha Kwa kumsogelea unaweza lipuliwa pia ni muhimu kuwashauri kuvua Makoti kabla yakulala chini. To me imekua tu kama drama tu ili kutishia mahalifu sababu ukiangalia hata venye camera imechukuliwa ni kitu imepangwa na ilikua Iko mbele ya gari lamahalifu kumaanisha nikama tu mchezo wa kuigiza ila wamefunza wengine kua makini
Wamejitahidi sana kiwango kizuli sana cha juu ila mapungufu ni mda wa kuwatoa wahalifu kwenye gari umekua mlefu sana haswaa ukizingatia walikuwa wengi.
Hongereni Kwa mazoezi na mmejitaidi kidogo kucheza movie
Daah jeshi la polisi hongeren sana kwa kazi yenu na mungu awape maisha marefu😢😢
Asante
Polisi wenyewe ndio majambazi namba Moja siwapendi wee achatu
@@StellaKaluwa kwasababu hujasomea hio kazi lazima usiipende
@@FreddieKerenge-qn1zoyt
Mimi ndio maana nikitongozwa na police au jeshi 😂😂😂😂😂 naogopa maana Nina ulimi wakuhara maneno ovyo weee sije nikajakutolewa juice bure😂😂😂
Wabongo wamejaa ghafla Ila ingekua kupima VVU huoni mtu😂😂😂😂😂😂
Hahhaah
😂😂😂
🤣🤣🤣
🤔😟🤓
😂😂😂😂😂
hongereni sana kamanda tunawaaombea mungu awawezeshe zaidi katika kazi yenu
Asante sana jeshi la polis kwa kazi nzurii mnayoifanya mungu awakumbuke.
Asante sana
Kazi nzuri sana jeshi la police mungu awazidishie maarifa na awatie nguvu pia inshallah
Kazi nzuri mmefanya police magu angekuwepo asingebakisha hata moja natumain hao majambazi mtawafanya hamna wanatuchosha hatupati ucngizi washenzi hao
Mi nataka kujua camera man alikuwa wapi hilo tu😂😂😂
Hongereni sana jeshi la police.kwa kazi nzuri
afande ni watu wa maana sana.asante kwa kazi jema wanayo ifanya
Ongera sana jeshi la police 🚔 kwa kazi nzuri mwenyezimu azidi kuwalinda katika kila jambo
Mazoezi mazuri sana hongera , ila huyo jamaa anayejiliza ka kweli vile 🤣😂🤣🤣
Kumbe wanaect😮
@@SmilingGrazingCows-nz4tznikweli
Mnapambana hakika mungu awalinde Amen
Ingekua Kenya wangeuliwa ...shout out Tanzania for handling VIGILANTE
It was just a drill and show off
Iyo ni drama
@@josephwafula1518 ooh ilkua kiki
@@johnwanjala4311 🤣🤣
@@oscarshotitmi nataka kujua camera man alikuwa wapi jamani watu siyo wajinga😂😂
Hongel I mungu awabaliki kiukweli wanatunynyasa Hawa majambazi
Hongera sana jeshi la police Kwa KAZI nzur mlioifanya
Asanten cn kwa kuwakamata hao wez maana wanasubua cn ten mukiona anareta jeuli vujen ata xhigo
Kama nawewe umeona polisi ana vaa timberland gonga like apa tujuwane
Sio timber land ni but fln ivi fild force unit ukua nazo wajua icho ni kikosi Cha ffu kimepambana nao
From Kenya hongera polisi
Tanzania ✊🏿more serious than the Kenyan police
It was a drill upuzi tu
But most likely to harm innocent peoples.
😂😂why ?Kenya police has different squords and Kenya has smart chriminals too.what are you talking about?
@@felwangahwangah4516 it was just a drill.
Kazi safi wakubwa....Mungu awe nanyi...🙏🙏👍👍👍
Kazi nzuri Askari jeshi la polisi
Hongera kwa kazi nzuri ya jeshi la Pilic kua shupavu
Safi Sanaaa Jeshi la Polisi.Linahitaji PONGEZI.
🎉keep up dhe good work guys I wish ningelikuwa jeshi
Mungu atusaidi maana majambazi wanamaliza watu ndug zangu🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🌞🔥🌪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦
Meipenda iyo kwer Kaz nzur sanaaaaa🎉
Polisi Mungu awabariki kazi yenu ngumu sana
Asante
Tunashukuru saana japo raia hamtupendi kweli tunafahamu ila bas tu ndo kaz yetu tunapambana
Tanzania 🇹🇿 ni nchi yenye aman ongera sanaaaaaa kwa kazi mzur jeshi letu allah awafanyie wepesi kwa kila jambo awa watu ni wabaya sanaaaaaa 😭 😭😭😭 wakikukuta wanakuuwa na familia mzm mm kaka angu amekatwa mapanga juzi tu na awa majamabaz awafai kabisa😢😢😢
Hii ni movie , I don't understand mwenye alichukua video alikuwa speed aje
Ahahahaaaaaa
asante kwakweri mungu atie ngufu kwakazi zuri hiyo warifu watapungu wa 👍👍👍👍👍
😁😁😁duuh hili picha la kihind asee nadhani apo amekosekana Lufufu tu 😅😅kwa wenye akili wameelewa 😎
Nakubali
Hongeleni san askali wetu wa Tanzania kwa kazi nzuri mliyo ifanya mungu awabariki
Maigizo hoya cyo kweli police wapo kwenye mazoezi mbona ni mda sana mm niliiona toka mwaka jana
Una wapa hongera kwa maigizo
Hili ni igizo la kipolisi. Jambazi hawapo hivyo
Jeshi la polisi tanzania liko safi sana 👍👍
mazoezi ya askari wetu kwenye hali halisi kama tukio likitokea, hongera sana kwa ukakamavu wenu
Uongo mtupu
🤣🤣🤣 kumbe ni uwongo eeh basi nikawa nishaamini
@@khadijaahmed7455 uongo ww ushangai uyo mchukua vedeo mara iyo alikua wap kwenye tukio la hatar
@@khadijaahmed7455 Mi nilidhani ni movie. Ukiitizama vizuri utangundua the videos have been edited and the scenes flow
Asanteni kazi nzuri
Tanzania mtatuonesha mambo😂😂😂😂😂😂😂,
🤣🤣🤣🤣hatr
Great 👌👌 job 👍
Safi sana jeshi LA polisi!
Mungu bariki jeshi laporisi
Imepangwa kwa ajili ya kufundisha wana jamii
Ukwer na wapenda sana jesh love tanzania
I like your job excellent_😄😄😄
gonga like twende sawa kama umesikia piga chuma
Safi sana kwa Ilo nimefulai kwa kaz mzul
Hahaha..... Mpaka drone ndani ya mjengo.. Kweli mlijipanga kwa Movie
Kazi nzuri hiyo😂😂
This is direct acting. The cqmera is taking everything as if the cameraman was told to be ready. Training not legit.
Hongela Sana Jeshi la polisi
Tangu lini jambazi aendeshe cruiser kama mgonjwa?
😂😂
@@rehemaradhid5716 the first
Safi sana Jessica letu kazi iedelee
hongera kwa jeshi letu la police .mungu awasaidie
Mbona hawaonyeshi sura zao?, hii imetengenezwa. Hadi kituo cha polisi bado wanafunikwa uso zao.
Yawezekana maana majeshi ya nchi mbalimbali katika vikosi tofauti tofauti huwa wanafanya mazoezi ya utayari na hutumia mpaka silaha halisi na kwa umakini mkubwa
Ni kama zoezi lililotokea uwanja wa ndege kule Dar es salaam hivi karibuni
Safi xana
😂
Wanaigiza tu huoni wamefunika sura
Homgereni sana jeshi La. Police kwa kuwakamata waharifu
Duuh majambazi gani anaendesha gar kama dereva tax
Ndo nauliza speed 50 wataiba kweli watoke kimaisha ?
Hongera sana Jeshi la Polisi Tanzania. Mafunzo haya yanajenga na kuwakumbusha askari kuwa tayari wakati wowote kikazi zaidi. Tuwape ushirikiano mwema
Ukikamatwa unaandamana unapigwa kama mbwa koko sembuse jambazi mwenye silaha hawajaguswa hata na buti
Kazi nzuri sana asante
Wabongo kwa kubeza vya kwenu hamjambo !
Hongera sana Jeshi la Polisi
Kazi nzuri kabisa
Kuna mijtu itaamin hii wee maandaliz kabsa alafu uivamie gar ya jambaz kdzain ilee mmmh bado
Wameimis,iyohaliii
Makamanda wa tanzania mungu awape kibalii
The only man I can thank is the 📷 man love it bro 💕💕
zee
Thanks
@@bakarsalehe7865 thanks
Thanks
🤝
Hongereni sana pls kwa kutimiza majukumu yenu
Kazi ya Polisi ni ngumu sana. Serikali iwafikirie kuwaongezea mshahara
Katika uarisia hawaendi
nimeipenda nzur san maana wanasumbua
Poor skill they didn’t even search them for incase of any hidden weapon or kinda of explosives that how massive people get killed
The video is shortened...! After all, controlling their bodily mobility comes first by any measure. Searching would come next!
Are they robbers or just training....
Kazi nzuri wakuuu mmeonesha ukomavu ila mnatakiwa kuwakagua kabla ya kuwafunga pingu zenu pia kuwavua ila Iko poa nawakubali
Lakini washazungukwa kote akijigusa tu ya kichwa
Jeshi la Polisi kwa ushauri naomba msiwe mnafanya drill Kama hizi uraiani. Mimi kama raia mwema nikiona kitu kama hicho halaf nina silaha kwa kutaka kusaidia jeshi nikamtumbukiza risasi dereva wa cruiser hio ingekuaje? Au mtanigeuzia kibao kuniita mm mhalifu?
haha sasa bunduki watumia kma nani
Tunakaa jamani😂😂😂 safi sana Police 👮♀️
Nimewaapenda polis wenyewe wala hamhitaji kuwaona sulazao pingu na max uson
Hapo nimewapenda bure makamanda👏👏
These r not members of alshabab militants, secondly police force were not trained in prober because explosive things could have been used by the criminals. It was nice to ask them to get off their jackets before handcuffed.
ndio maana waliwaambia walale chini na kubana na kutanua miguu Yao hiyo pia ni moja ya kumjua mwenye silaha
@@samwa9496 huwezi jua menye silaha Kwa kumsogelea unaweza lipuliwa pia ni muhimu kuwashauri kuvua Makoti kabla yakulala chini. To me imekua tu kama drama tu ili kutishia mahalifu sababu ukiangalia hata venye camera imechukuliwa ni kitu imepangwa na ilikua Iko mbele ya gari lamahalifu kumaanisha nikama tu mchezo wa kuigiza ila wamefunza wengine kua makini
Kenya wangepelekwa rieng 🤣🤣🤣
I think it was just a demo.where was the position of camera man?😂
Hongeraaa kwa maigizo mazuri
hili ni igizo tu
kwa wenye akili tu ndiyo wanaweza kuelewa
Kanumba
Naomba igiza LA kanumba
doik
d0ika
Ata kuona uoni bs
nice training JWTZ. 😅😅
Camera man anaspeed kuliko polisi...tena kuna mda anawatangulia hadi majambazi😂😂😂😂😂😂taratibu mpaka tumpate mrithi wa kanumba
nimecheka asee
Jehovah.. nitakumwa ubongo🤔polic kaz ni ngumu mungu awalinde
Wamejitahidi sana kiwango kizuli sana cha juu ila mapungufu ni mda wa kuwatoa wahalifu kwenye gari umekua mlefu sana haswaa ukizingatia walikuwa wengi.
Aaaaahh wap mazoezi hayo BONGO hakuna jambazi mnyonge
Nimeipenda hiyo hayo mazoez yanafanya watu kujiham mda saa dk pale inapotokea jambo kama hilo hongeren
Mungu ahsante Kwa kufanikisha jambo hili Mba wanakamatwa ha shetani uendelee kuwapa nguvu vyombo vya ulinzi
Uwezi kupambana na majambazi wenyesilha kiivyo. Kwanza police wenyewe waoga
Kwanza awafanani nailo tukioo,😆😆😆😆😆😆😆😆
Mko vzr kazi nzuri
Ni movie hii or true..@254 wangekoma mapolisi wetu si kama Tz..wangejua hawajui
Nahisi walikuwa wanafanya mazoezi tu siyo halisi
Yap
Kelly c kabisa
Njoo Tz ulianzishe uone cha mtema kuni
Mungu awabariki asikari wetu kwa kanzi kubwa
nice acting 🎭
Fanyeni kazi halali acheni za ujamvaz
hi bongo muvi au?
Mazoezi ya askari kuarest majambaziiii
Asante sana jeshi la polis kwakazi nzuli namiombea kwa kwamungu muwe na maisha marefu llimzidi kuturinda
Hahahahahaha act hiyoo
Kazi nzur saana hongereni jeshi letu
Excellent job,no casualties n well done.
Mh
8ụo9
@@lulunyenzi3703 ll"xa 9
Hii ni maigizooo tyu kwa wale wenye uwelewa😃😃😃😃
Hilo kweli igizo, aliyekuwa na camera anarecord tukio zima kuanzia kukimbizana, kukamatwa na hadi kituo cha polisi ni nani??...
Wanadanganya wasiojua
Ni majambazi wenyeee walikuwa na Camera hahahhahaa
Kuna mmoja amenishikashika 😁😁😁
Sema aliyechukua tukio nampa saruti kaupiga mwingi
Wanafanya maigizo tu! Wapigie simu kuna majambazi sasa hivi kama hawajaja kesho au baada ya majambazi kuondoka.
Ww ndugu hujajua bado ebu nenda kafanye ujambazi halafu uone kama utakuwa salama
peter adriano kwani mimi jambazi? wanaofanya ujambazi ndio marafiki zao
Hhhhhhhhhhhhha
Mmm
Kazi mzuri sana jeshi letu la polisi
Our neighbours Tanzania,they exaggerate everything....football wise and real life
Mungu awabarikii
Kaz nzr hongeren mungu awalinde
Hhhhhhhh this is a movie..
The cameraman captured every angle...
U
True
Hii ni drill na siyo tukio la ukweli....
Tuiiyy the t
Ayo ni mafunzo ya vitendo jamanii acheni mapovu😂😂
🤣