Nicole wa Harmonize aonyesha kufuru

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 266

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 роки тому +177

    Kila mtu ana LifeStyle yake, Mimi kama Kigogo Dr. Charles nina Mahindi Gunia 200, Nguo zangu ni 6 tu😂

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 3 роки тому +8

    Hao ndio duniya wameipa uso. Ni maisha mafupi tu ya duniya. Akhera wamesahu😭

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 3 роки тому +10

    Mash Allah I just love her

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 роки тому +18

    Dooh hiyo kufulu jamani basi wa kumbuke masikini huko nnje

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 3 роки тому +7

    Naona kawekeza katika mavazi

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 роки тому +4

    Sio vibaya kumiliki pesa wala gari,Ila n vibaya kutokumjua Mungu wako na at km ukimjua n mbaya usitembee katika neno lake,am not judging am reminding,Yesu anarudi kunyakua watu wake tusisahau kuutafta ufalme wa Mbinguni maana n maisha yasiyoharibika nayamilele Ila tukiwa matajiri dunian tukawa maskin
    baada ya kufa n laana,waebrania 9:27

    • @noydanthewinner1146
      @noydanthewinner1146 3 роки тому +1

      Kweli amini

    • @wahabmkazi7902
      @wahabmkazi7902 2 роки тому

      Unaweza kufikiri unamfahamu mungu nn anataka lkn bado ukawa humfaham nn anataka. Yawezekana yule udhaniye siye ndiye. Wengi wetu tunamhubiri mungu tusiyemfaham. Acha kusemaa watu vibaya kwa kumshirikisha muumba aliye muaminifu kupita

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 2 роки тому

      @@wahabmkazi7902 namhubiri Mungu nayemfahamu na nimemhakikisha naye ndiye aliniamuru niandike hivo,rudia kusoma sms yamgu acha kukurupuka

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 3 роки тому +4

    then zari anatamba kwamba Tanzania wasichana hawajielewi....
    Vitu vya kurithi kweli havimwachi mtu sawa.

  • @elishaobadia8829
    @elishaobadia8829 3 роки тому +18

    Tako kubwa akili ndogo

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 3 роки тому +4

    Ilo c ni duka kabisa ilo jaman ....yaan mtaji wa maisha ya watu anao yeye ndani anapambia kuta za nyumabaa

  • @simonanthonykayombo6913
    @simonanthonykayombo6913 3 роки тому +3

    Greedy is inhumanity.
    Siku moja utakuja kujutia ku-show off huo u-greedy wako.
    Hukatazwi kuwa navyo kama ni halali, ila ku-show off wakati wengine hata chakula cha siku ni mtihani, unawatengenezea mazingira ya kukufuru.

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 роки тому +6

    Mmmmmh Maisha Mazuri ivyo biashara gani hasa unayofanya kucheza filamu ndio ununue pochi milioni 9 Ee MUNGU

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 роки тому +10

    Tutawafanyia councelling mkianza kuvuta bangi tu mtakuja soba house

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 3 роки тому

      Acha wivu

    • @mercypeter162
      @mercypeter162 Рік тому

      Hilo nalo neno. Na wakiugua tutawachangia Ahahahaaa

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 3 роки тому +3

    Tanzania boss lady Nicole 👏

  • @fatmasaid3536
    @fatmasaid3536 3 роки тому +8

    Mimi personally, hata nkiwa nazo, siwez kununua bag ya that amount. As they say, kuna binadam na kuna viumbe. Focus yangu ni kwnye raslimali kama manyumba, viwanja lakin ujinga kama huu not my type. Wish u well.

    • @salimmank3592
      @salimmank3592 3 роки тому

      Hapo umeongea point dadangu, nakuunga mkono mia kwa mia

  • @amooclassic1133
    @amooclassic1133 3 роки тому +7

    Mwili mkubwa Ila upstairs ni zero

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 3 роки тому

      Ndio utake usitake mwenzako MUNGU kampa wewe mwenye akili kichwani unanini?

  • @kelvinjohn7273
    @kelvinjohn7273 3 роки тому +6

    9m for 1 bag ?? Damn it

  • @mariamsaid5655
    @mariamsaid5655 3 роки тому +6

    Jamn wadada tukubali tu kama hatuna alivyo navyo mwenzetu comment ndefu za nini oooh wakumbuke masikini oooh wakumbe yatima kawambia hawakumbuki tuache roho mbaya hongera Nicole

    • @richardsizya1847
      @richardsizya1847 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      Kweli aisee si kila muda chuk tuu

    • @aminadada9045
      @aminadada9045 3 роки тому

      KBS tuache

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 2 місяці тому

      Mimi sichukii mtu mwingine akiwa navyo ila mi magauni 15 tu na viatu pairs 10 tu mi ni kero kwangu vikizidi huwa nagawa Kwa watu wengine hata huyu huenda anavaa Nguo moja na kugawa sio ajabu kila mtu ana kitu anapenda sanaaa

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 роки тому +6

    Utazikwa nazo. Tuonyeshe biashara ganivinafanya pesa zote hizo. Hayo maguo ukivaa hawa unaweka za nini?

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 3 роки тому

      Hatar hajui kama atakufa anaziacha

    • @dianajavan609
      @dianajavan609 3 роки тому

      Alihojiwa akasema analima mpunga na mchele😂

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 3 роки тому

      @@dianajavan609 kudanga tu huyu maana wanaume wanape,NDA matako makubw!

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 3 роки тому

      Masha allaah

    • @swammyrashdi6633
      @swammyrashdi6633 3 роки тому

      Umenichekeshaaa kwelii ganivinafanya🤣🤣

  • @catherineeward9663
    @catherineeward9663 3 роки тому +3

    I like her like serious

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 3 роки тому +2

    MNAPENDA KUSEMA WAHAYA WANAPENDA SIFA,SASA HUYU NI MUHAYA?

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 3 роки тому

      Misifa ni Tabia ya mtu na asili ya mtu watu waache kuchukuliana na maneno ya kizamani et kabila moja ndo wanasifa

    • @gallousgosbert4993
      @gallousgosbert4993 3 роки тому

      Asante

  • @fahimafah349
    @fahimafah349 3 роки тому +1

    Sasa unanguo zote izo nipe ata nguo maja jamani mudukumbuke sisi maskini

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 3 роки тому +3

    Mtanzania kosea utajua hujui hyo kulima mchele ñâ mpunga 😁😁😁😁

  • @mariamariki7132
    @mariamariki7132 Рік тому +1

    Mimi kwangu hapo ningefanya duka

  • @berithatilutoza5492
    @berithatilutoza5492 3 роки тому +7

    Siku wakiugua wasitwambie wanataka michamngo

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому

    Milioni Tisa hiyo kwio kajisemea Tabu mtingita Aaaa thubutuuuuuuu acheni mashauzi Halafu watu kama Hawa wanashuka vibayaaaa kwa nn hamui kwali?? Ununue Bagel milioni Tisa kwa maisha haya au mengine

  • @IsmailMadrelya
    @IsmailMadrelya 3 роки тому +8

    Almauti ya Akbaki Tatani,,,
    Wali Qaburi Sunduki laamalli ,,
    Kifo kinakuja ghafla na kaburi lako ndo sanduku la Matendo yako ,,,Kumbuka Hilo pia

  • @rehemamkalawa3801
    @rehemamkalawa3801 3 роки тому +10

    Muhehe muongo huyu! Khaa! Ati pochi hiyo mil.9 si elfu 25 kariakoo hizi D&G

  • @erickevarist8738
    @erickevarist8738 3 роки тому

    Is up to you

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 5 місяців тому

    Nakushauri uwekeze kwenye nyumba za kupangisha .na viwaja utazeekana umaarufu utaisha na hera itakata

  • @fadhilaimran817
    @fadhilaimran817 3 роки тому +2

    Nguo moja tu utakayoivaa siku ya mwisho ni sanda na hutavaa viatu. Wala kibegi 😂 mungu ni mwema haki

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 3 роки тому +5

    analima mpunga na mchele huyu lazima awe na hela

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 3 роки тому +5

    Dah kwer noma begi milion 9 arafu muhuni iyo milioni 9 sijawai ishika kwer lazma tuzidiane yooh

  • @marthamwandumbya1268
    @marthamwandumbya1268 3 роки тому

    Mh okay madam

  • @mutwalesylvie1305
    @mutwalesylvie1305 3 роки тому +1

    Pesa anatoa wapi ndomana amuolewi

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 3 роки тому +4

    Mwili umezidi haki mpka anashndwa kusimama na kupumua,punguza dear.

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 7 місяців тому

    Mkiumwa mnaanza jamani msanii hoi taabani jamani watanzania na Samia mchango pumbavu zenu uzenimabegi yenu wengi sisi hatuna hata mitaji ninyi beg Mija mlion 9 way, way ooo my god

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 Рік тому

    Mshangazi kama huo ukidaka msukuma kaja na lori la Pamba Dar, mskuma anaua mtaji shamba harudi tena baada ya kuuza tujirobota twake twa pamba bandarini .

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 3 роки тому +14

    Woow mwenye hela zake huyu , wenye kiroho utawajua kwenye comments 😂 😂 🤣 🤣

    • @supertal2943
      @supertal2943 3 роки тому +1

      😝

    • @geraldgerrytrump254
      @geraldgerrytrump254 3 роки тому

      @@supertal2943 na awaandikie uridhi wasije gombana kisa viatu na begi😂

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому +1

      @@geraldgerrytrump254 "uridhi" ndo nini?
      Hapo umeniacha kidgo tafadhali

    • @geraldgerrytrump254
      @geraldgerrytrump254 3 роки тому

      @@chiefmahucha6847 mali anayo achiwa mtu 🤭

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 роки тому +9

    mhhh hao kwa kupiga virungu ndio zao,,,

  • @rukiasalum5671
    @rukiasalum5671 3 роки тому +4

    Huyu hajawahi kuibiwa ndiyo maana

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 3 роки тому +2

    Si tumekubaliana kuwa vyote vya China 😉

  • @allykitanga5138
    @allykitanga5138 3 роки тому +1

    Wht!Mpunga na mchele.

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur4326 Рік тому

    Maashallah

  • @aliy4116
    @aliy4116 Рік тому

    Muogope mungu

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 3 роки тому +1

    MASHALLAJ

  • @king-size8114
    @king-size8114 3 роки тому +2

    Yuko vizur

  • @mausubrah6153
    @mausubrah6153 3 роки тому +2

    Ww ni mbanga kwel yan una jinad una nguo 2ooo wakati kuna maskin wana teseka na njaa awana pakulala wala pakula ata nguo awana

    • @stevenadolph9138
      @stevenadolph9138 3 роки тому +2

      Wafanye Kaz wajtume inshallah watakula watalala

    • @Inno-qz2ec
      @Inno-qz2ec 3 роки тому +1

      Juhudi zake ..xo acha afanye anachojiskia

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому

      Masikini wako wangapi?
      Na Nicole wako wangapi?

  • @johnpaul7470
    @johnpaul7470 3 роки тому +1

    Mmh

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 Рік тому

    Heeee😳nilizan duka kumbe ndan honger

  • @rithapuran7349
    @rithapuran7349 3 роки тому +4

    Utuandikie uridhii kabisaa tusije kugombania viatu na mikoba baadae

  • @aisharajabu6001
    @aisharajabu6001 3 роки тому

    Mmm

  • @redemthajohnambros7876
    @redemthajohnambros7876 3 роки тому +1

    nimongooooo jmn hizo poch kariako 19000

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 3 роки тому

    Hiki ndicho kinachoonyeshwa na main media. Mnajiita tv no one ya vijana hapa mna weka athari ipi chana kwa vijana wa nchi zinazoendelea kama sisi?
    Hakika msithubutu kuona mnamchango wowote wa msingi zaidi ya uharibifu tuu

  • @user-ob4ud6qh3j
    @user-ob4ud6qh3j 3 роки тому +1

    Haya n maisha au kufuru 🤔..

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Mie naishi ulaya sina ata nguo ila watoto alhamdulilah ila mimi mpaka shoga wananiambia si ununue ata kiatu Pia yaani tuna jua saa hii na niko na buti ila nangalia majukumuu nyumbani na wala saa nyengine lawama wazee

  • @noelmtao2735
    @noelmtao2735 Рік тому

    Sheer extravagance! I don't think that you are damn rich, girlie!

  • @zainajafar8647
    @zainajafar8647 3 роки тому

    Dah pochi tu Dada nicol naomba moja

  • @zaidankasamya2211
    @zaidankasamya2211 3 роки тому

    Nice

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 3 роки тому

    Atuna kiroho je hiv vitu vyote Mungu amempa nn masikin wanatembea uchi ana watt wangap wa yatima

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 роки тому

    Haya wale ma super star wa bongo mko wapi wema na wengine soma hio poch 900000 je chupi 🙄

  • @mbonibaby7060
    @mbonibaby7060 3 роки тому

    Dah siamini huyu dada ndo video vixen kwenye ngoma ya sumalee hakunaga

  • @ibrahimlema.3600
    @ibrahimlema.3600 3 роки тому

    Hatari

  • @dottocharles1636
    @dottocharles1636 3 роки тому +1

    Du Mimi nilijuwa dukan kumbe chumban .mmm! Makubwa .maisha

  • @MonicaMfinanga
    @MonicaMfinanga 3 місяці тому

    Mtu ukifa ndugu wanafungua duka sory kama nimeandika vbaya uwiiii.

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 роки тому +2

    Hahahaha nyumba ya kupangaaaa iyoo

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 3 роки тому

      Nimesikia milioni tisa tu mimi jamani jamani wadada tunaigahadi kupitiliza maana hata hao mnawaiga hawIshi iv

  • @user-rj1gc5xk8k
    @user-rj1gc5xk8k 9 місяців тому

    Nicole niwezeshe kimtaji mwanmke mwenzio

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 2 роки тому

    Yan nicole nakupenda bure

  • @fettymsukuma
    @fettymsukuma 3 роки тому

    Hongera yake xn nampa big up

  • @fantamohamedi8564
    @fantamohamedi8564 3 роки тому +1

    Nasubiri wazungu walete mtumbani

  • @joevang4685
    @joevang4685 3 роки тому +1

    nyumba ya kupanga au yake

  • @mioszpiotrowski1467
    @mioszpiotrowski1467 3 роки тому

    Mm nnavisubiria mitumbani maana sio kwapesa hio sinauwezonayo

  • @najmahamso8364
    @najmahamso8364 3 роки тому +2

    Nlijua ni biashara 🤣🤣

    • @golipost5872
      @golipost5872 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂 duka liko home

  • @hikmajeyz5072
    @hikmajeyz5072 3 роки тому +1

    Vyote itaviwacha katika dunia,utaenda wwe tu na matendo yako mama😅

    • @salimguru6779
      @salimguru6779 3 роки тому

      Alisikika fukara mmoja

    • @anorderastonyondo3726
      @anorderastonyondo3726 3 роки тому

      Unaweza ukawa huna kitu na matendo yako yakawa mabaya but vilevile naww utaacha hicho ulichonacho utaenda na matendo yako

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 роки тому +3

    Unauza ama za kuvalia tu

  •  3 роки тому +1

    Ha😃😃😃😃😃

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 роки тому +1

    Waislamu walioyashindwa maisha watakuja na maneno yao ya kifo.. usiishi vizuri sabab siku utakufa,,,

    • @hajinjawala8351
      @hajinjawala8351 3 роки тому

      Waislamu wameingiaje hapo
      Kwani kifo hakipo? Think more before talking

    • @rashidmalikia5079
      @rashidmalikia5079 3 роки тому

      Warabu wanahella kuliko kilamtu duniani na awajawai kupost mtandaoni 🙄🙄🙄kuna watu wanahella zaidi yake uyo naawajawai kupost kwaiyo usitutukane bure waesilimu awajakosea Bali wanakumbusha

    • @dianajohn3493
      @dianajohn3493 3 роки тому

      @@rashidmalikia5079 fedha na dhahabu na vyote viijazavyo dunia ni Mali ya Mungu (Allah) hakuna cha waisilamu wala wakristo kila MTU ataondoka mtupu pamoja na kujikusanyia mengi.

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 роки тому +1

      Hall in kama unalo linalokukera na waislam sema kwa sababu unaleta udini sasa .Watu wote walio comment hapa sio waislam peke yao ila wewe una kinachokusumbua rohoni kiteme au kimeze usitafute ubaya na watu bure kwa upumbavu wako.

  • @frankfranklyn2596
    @frankfranklyn2596 3 роки тому +1

    wewe ni mshamba tu! hao wanaokusifu hawana akili

  • @zakiahfaustin8087
    @zakiahfaustin8087 2 роки тому

    ukigawa naombaa

  • @sarahambajo2873
    @sarahambajo2873 3 роки тому +3

    Well organized

  • @jumalimbende4021
    @jumalimbende4021 3 роки тому

    Ongea kwa kiswahili una nini?

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 роки тому

    Bora ujinga kuliko upumbavu

  • @mwajumakweli6774
    @mwajumakweli6774 3 роки тому +1

    Kajenga?

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Hapo sasa

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 роки тому

      Mzungu mjanja sana anajua waafrika wengine ni wajinga anawatengenezea mapochi, nguo mabegi, perfume, magari makubwa saa na vipodozi anayapa brand design anapanga bei kubwa anajua malimbukeni watanunua tu ili kujionyesha na kweli wanunuaji ni sie wajinga wao pesa mfukoni halafu tunalalamka umasikini wakati tunautengeneza wenyewe. Wajinga ndio waliwao.

  • @elizabethkibombo8151
    @elizabethkibombo8151 3 роки тому

    Mambo mengi mengi tena ni uchafu tena kabisa yy tu 🤭🤔😳❌❌🙄🙄

  • @herikaniugu
    @herikaniugu 3 роки тому

    Mbona anateseka sana

  • @alishiyaalitaqwa5248
    @alishiyaalitaqwa5248 3 роки тому +1

    upumbavu tu

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 роки тому

    Huyu ndio ana tembea na harmonize

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 роки тому

    Subiri uchoke uone kama hiyo mikoba ya dola3000utapata hata dola 100subutu!!

  • @jamesmiliyaoloulu8959
    @jamesmiliyaoloulu8959 2 роки тому

    Munatafuta comment acheni uongo nyie wabongo

  • @sabaslaurent3473
    @sabaslaurent3473 3 роки тому +1

    Chupii unazo ngapi mbona hauzioneshi au huvaagi

  • @bornifacecharles9555
    @bornifacecharles9555 3 роки тому

    Wewe una biasha unayo fanya haiwezekani et Kambona m9 awap

  • @rjthedj9869
    @rjthedj9869 3 роки тому

    Nickoh noms

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 3 роки тому

    Anaeumia ni kondeboy tu hapo 😂😂😂

  • @shabajims9753
    @shabajims9753 3 роки тому

    Wouw m'y sister

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 роки тому +2

    Waooo!

  • @elizabethswai9670
    @elizabethswai9670 3 роки тому

    Hufanani na unacho ongea Dd,bora Uokoke

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому

    Mmmmmh kubka utajr wa biguni sio mali.

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 роки тому

    Kiswahili ,kiingereza doogy poops

  • @minahwachack9637
    @minahwachack9637 3 роки тому

    Nicol nigaiye ata poch moja

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 роки тому +1

    Nampenda hasemagi uongo alafu msafi

  • @hassanmkwama9900
    @hassanmkwama9900 3 роки тому

    Lugha yetu kiswahili tukithamini