BUSH ATAJWA KUTUMIA UONGO KUIVAMIA IRAQ 2003|WAZIRI WAKE WA MAMBO YA NJE AANIKA KILA KITU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Рік тому +4

    Marekani na washirika zake nato hawa sio watu ni majini na mapepo ya kuzimu. Kazi yao ni kunywa damu za watu. Hovyo kama nini hawa majamaa.

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 Рік тому +1

    John Kerry MUNGU akupe maisha marefu

  • @GeorgeUsele
    @GeorgeUsele Рік тому +2

    One day yes

  • @rclufyega9186
    @rclufyega9186 Рік тому +2

    Kumbe ndio mana putin habali ujinga wa magari

  • @abuunusaibayussuf4829
    @abuunusaibayussuf4829 Рік тому +4

    Hayo wanayafanya kwa maslahi yao

  • @ibrahimmakungu9711
    @ibrahimmakungu9711 Рік тому +1

    muuwaji uo tena mshenzi sana

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 Рік тому +3

    wale wamarekani weusi mmesikia

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Big up Mr John Kerry God bless you😢😢

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +1

    inshallah ntakuja kuoa America Europe yote itakanyo kuja kupigwa ao wazungu wote wanashirikiana kupiga nchi zenye nguvu au kuuwa maraisi ili wao ndo watawale dunia nzima wawe chini Yao tu ndo maana ukitazama nchi za Africa wao wanataka wawe chini Yao na kuleta ujinga mwanaume aolewe na mwanaume mwenzake na mwanamke aolewe na mwanamke mwenzake uliona wap hi kama sio laana inshallah nchi zote za Europe karib watalia

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +3

    Ndivyo walivyokuwa wakifanya kuondoa watu wenye nguvu ili watawale wao

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Рік тому +2

    PUMBAVUZAO HAO. SASA WANASEMASAIZI WAMRIDHISHENANI. NAWATU TULIJUA ZAMANI.

  • @mfirimassawe9023
    @mfirimassawe9023 Рік тому +2

    Wamezoea vya kunyonga ,sasa wamejichanganya PUTIN sio wakunyonga kibao kimewageukia

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому +1

    Mmepatikana safar hii kwa russia mtasema yote

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Рік тому +2

    Nabado mtafichuwa mojabaada yajengine mnafiki mkubwa leo unamuona zirahili mtoaroho anakunyemelea nambeleyako unaziona roho zawatoto wachanga wa Iraq naunauona moto wa jahannam ndounayasema hayo? Mbonahapo mwanzo hukuyasema mshenzy mkubwa

  • @MirajiMiraji-v2j
    @MirajiMiraji-v2j Рік тому +2

    Ulitumika unyama mkubwa muno kumuua sadamu hussen .

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 Рік тому +4

    Hawa magharibi ni pumbavu lkn pia kunamijitu ya kijinga huunga mkono vita hivyo kwa sababu tu ya Udini jambo ambalo ni uovu na wala kitendo hicho hakifungamani na mafundisho ya dini yoyote ulimwenguni.
    Kuua ni dhulma wewe unaeunga mkono Israel kuua wapalestina ni mfano wa hao waliotekeleza mauaji Iraq.

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 Рік тому +2

    Mtasema yote safari hii

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Рік тому +1

    Ni muongo wote wa magharibi ni waongo, Russiaakishindwa vita hii anasjambiliwa china na biadha.inaishia hapo❤

  • @mudighurayra
    @mudighurayra Рік тому +1

    Ata Trump ashasema yote hayo

  • @jambiajuma7199
    @jambiajuma7199 Рік тому +1

    Ndiomana Dunia inasema hataile mahakama ya Icc niya matapeli na majambazi wakubwa

  • @salumkalulu-de1md
    @salumkalulu-de1md Рік тому +1

    Hukumu inakuja kila mtu atawaji bika kwa mujibu wa matendo yake,muda si mrefu MHUBIRI 12:13-14

  • @shabanmuhoro3342
    @shabanmuhoro3342 Рік тому +1

    Na Bado watasema tuuuu

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +1

    nanyie Tanzanian tupende nchi yetu sio kuona mitandao wanasema nini nanyie mnalukia asa Hao wanaokwenda nchi zingine kupewa uraiya alafu wananza kuichochea mwoto Tanzania kwa maneno ya kijinga tuige madili yetu sio kuiga madili ya kizungu kuva nguo za nusu utupu uchi mkajiona wajanja kumbe wao wanawaharub kiakili nyie mpaka vizazi nyenu yani mpaka watoto kesho ndo mzazi unanza kulia mtoto wako kumbe uliyataka mwenyewe

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 Рік тому +1

    Viva Putin Viva Russia

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 Рік тому

    Hivi hawa waarabu wa saudia wamekua marafiki na wamarekani wakati wanajua kabisa marekani waliwaua ndugu zao hapo Iraki kwa zuluma kabisa nawashangaa kwakweli

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Kwa sasa kuna bakiya kukata kichwa ya putine

    • @saidseif4753
      @saidseif4753 Рік тому +2

      Kenge weee,,

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@saidseif4753 unanitukaniya Nini wewe kiwelewele waakili

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 Рік тому

      Kaona akutukane tu kwasababu hujui kinachoongelewa hapo

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      Sasa nyinyi wapumbafu waakili muta nifunza kuongeya

    • @saidseif4753
      @saidseif4753 Рік тому

      @@IsmailBagayabakwe-bb1pl kenge sio tusi,, ni mnyama wa ajabu sana,, yuko anaona mvua inanyesha yeye anakimbia ndani ya maji ya mto kabisa,, ndo wewe,, Ukraine inapigwa bado wako na vita tuu,, vibaraka wa amerika/mashoga