Sophia - Episode 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024
  • Sophia anapenda sana mazingira, akiwa angali mdogo anatafuta njia ya kuweza kutunza miti kwa faida ya baadae. Katika sehemu hii Sophia na kaka yake wanasikiliza simulizi kuhusu miti kutoka kwa babu. Simulizi hii inaibua hisia kwa Sophia na maswali mengi.
    Credit
    Produced by Sara
    Animation - Geofrey Mayollo and Alex Pancras

КОМЕНТАРІ •