Shukran, nimekusudia keki ya aina yoyote yaani kama fruit keki yani kuijaza au kupamba ukisha maliza kupika , siagi nzito kidogo kwa ufanyaji wa aina hii. Angalia kwenye chanel yangu zipo keki kama utapenda kujaribu
mashallah mkate mzuri sana na mm nikipika huwa napima vipimo kama hivyo ulivyopima wewe lakini sijawahi kuweka chumvi nataka nijaribu nione ladha yake ikoje unavutia sana mashallah 😋😋😋asante kwa kutuongezea ujuzi.
Aroma of Zanzibar im gona try this tomorrow inshllh.. i do baking .. like birthday,wedding cakes but never baked this mkate wa mayai before.. isnhllh will give my feedback tomorrow.. hopefully itoke uzuri.
Mashallah Tabarak Allah Alhamdullilah ♥️ huu ndio mkate wa mayai asli na hivyo ndio vipimo walokua wanatumia bibi zetu now approximately will be about 139 years if she would be alive today ! She died when I was like 9 years ! She was 72 years then! Keep up the good work we better stick to the original 👏 if we start to change will loose all our East African Swahili cuisines! Thanks for sharing. Cooking is passion my too!
Aww vipi Hali yako jamani leo nafuraha mno nimejitahidi hiyi cake imetokeya uzuri sana tu kama yako asante sana mungu akuraishisiye makaziyako ukuwekeye nawepesi ndani yafamiliyako masha allah
Ahsante sana.... Sielewi kwa nini unafanya kila kitu kama mimi mpaka nikiangalia vyombo vyako unavyopikia kama umeazima jikoni kwangu,hata mikono yako imefanana na yangu mpaka inanitia hamu ya kukuona uso kwa uso naamini labda hata tumefanana kisura.....
umiy1971 umeonaee , yaan masha Allah , hata mimi nampenda sana huyu Dada na chakula anachotugunza na ukifanya masha Allah inakuwa chakula nzuri , shukran sana Allah ndie atakae kulipa , Jazak llahu khairan
Bestill , I have already shown you how its done, baking powder is not necessary coz the cake rises because of the high ratio of eggs and the technique. You can add butter or milk or both for the extra flavor but the butter has to be melted, this is sponge cake.
Shukran sana Naomba umetuonesha keki je kama sipendi kutia maziwa kipimo kinabadilika Jee? Shukran sana Allah atakulepa duniani na akhera mapishi mzuri
I love you love you love you love you love you love you love you Aroma u r the best women mwaa💋 nisha pika vingi tu kutoka kwako na nikikosea naagalia pishi lako wow am so like it😋 now I know how to cook it😋
Samahan dada nimeona pale baada ya kuchanganya mayai ,sukan na chumvi kwenye mashine rangi ilikuwa kawaida tu lkn baada ya kufikia sehem anachanganya unga wa ngano nikaona yale mayai alochanganya mwanzo yamekuwa rangi nyeupe amechanganya na tui au
Shufaa Mohameed Kama una shuka wakati was kutia unga itakua huchanganyi vizuri , unataka utaratibu usishushe Yale mayai ile Ni hewa. Ukiwa unashuka wakati was kuoka iyakua Moto sio sawa
Assalaam alaikum. Jazzakah.Allah khair. Leo nimejaribu hii recipe ya mkate wa mayai. It was.amazing. Watoto wangu wamefurahi sana. Tukifanya order kila mara tukitaka mkate, lakini haukua mzuri japo tukilipa. Mkate hua majimaji. Lakini huu imetoka.perfect dry and very apongy. I really love your.channel
Karibu sana kwahiyo birthdat itakua nzuri mwaka huu, angalia kwenye video profile zangu ninazo video za jinisi ya kutengeneza buttercream na basic decorating, nimeeancha kufundisha kupamba kwani video zinachukua mda mfrefu kuandaa na ku edit na watu wanao angalia ni kidogo sana
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/JejWiOQsfhE/v-deo.html
Wow this is beuty spoken
Flix zone
A. Alaykoum Fathiya natamani nikuone live mimi huwa nakuja sana Muscat.
Watu kama hawa mungu awape kipaji hichi hichi kipika asaaa raha sana
Shukran, Amin 🙏🏽
mashallha nakuenda kukufata mapish yako mungu akupe afiya na akuzidishiye utupe faida na sisi
Amin kwetu sote. Ahsante sana
sawa nashukuru mkate umepikika vizuri mungu akupe maisha marefu ishallah
Shukran, amin kwetu sote
Thnx my jana nilipika mkate Wa kusuka Wa kuku yani ulitoka wow kesho napika Wa mayai
Alhamdulilah, hongera
for the first time nimejaribu hii recipe na nimeweza all thanks to u mamy unaelekeza vizur sana Allah akulipe kher inshallah kwa somo hili
Hongera, you are welcome .
Ma Shaa Allah mngu akuzidishie na mapishi yako sister unatueleza vizuri sana step by step thanks a lot lovely lady we love you 🏆🏆🏆🏆🏆💐💐💐💐👑👑👑👑💋💋💋
Shukran, love you too
Asante sn mamy nazidi kujifunza upishi wako nakupenda sn huna choyo yakutufundisha
Perfect.
Nimesoma kitu. Sikuwa najua unafaa kuweka mayai the same quantity with unga. Asante.
That's the secret to perfection
Jazaka Allah elfu kheri
Allah atakulipa jazaa yako Kwa mafunzo yako
Allah akubarikiii
Shukran , AMIN
Saada Rashid Amin. Maana wengine wakijua kupika huwa wana ubinafsi Sana kuwafundisha wasojuwa Kama Mimi , shukran tu Sana sis aroma Zanzibar+254
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Shukran Jazeelah
mashaa Allah Tabaraka rahman
umesema unawaeza kutumia kipimo hiki keki
Siagi Kiasi gani
Shukran, nimekusudia keki ya aina yoyote yaani kama fruit keki yani kuijaza au kupamba ukisha maliza kupika , siagi nzito kidogo kwa ufanyaji wa aina hii. Angalia kwenye chanel yangu zipo keki kama utapenda kujaribu
Asante sana kwa huu mkate! Nitakupa majibu nikishaupika dadangu
Waiting.......
asante daa kwa ufundi ,hongera
MashaAllah those are blessed hands!! May Allah bless you more Allahuma ameen yaa rabb
Shukran, amin ya Rabb
Mashallah mamy umeifufua ndoa yangu kwa mabishi Asante Sana mumy
mashallah mkate mzuri sana na mm nikipika huwa napima vipimo kama hivyo ulivyopima wewe lakini sijawahi kuweka chumvi nataka nijaribu nione ladha yake ikoje unavutia sana mashallah 😋😋😋asante kwa kutuongezea ujuzi.
Chumvi ni kidogo sana, inasaidia kufanya viunge vyengine (ladha) zijitokeze uzuri
AHSANTE SANA KWA MKATE WA TAMBI...ALLAH AKUJALIE AFYA UTUFUNDISHE ZAID....AMIN ...HIYO NI SADAKA JUU YAKO.SHUKRAN
SHUKRAN , AMIN KWETU SOTE
Shukran nimejaribu kwa kipimo chako cha sukari ulikuwa mzuri lakini wanataka kidogo nizidishe sukari
Mwagia juu kama nilivyofanya mie hapo kwasababu hii ni sponge vipimo vyake vinakua hivi nakhofia ukiongeza usitoke vizuri
Asante San dada nimejifunz meng kutok kwako Allah baric u
Aroma of zanzibaa shukran saana kwa maoishi mashaallah
My Mom tried ur recipe and it came out so perfect mashallah.. she hasnt tried this long time ago. Jazakallah.
Alhamdulilah thats wonderful to know. Thank you for your feedback.
Aroma of Zanzibar im gona try this tomorrow inshllh.. i do baking .. like birthday,wedding cakes but never baked this mkate wa mayai before.. isnhllh will give my feedback tomorrow.. hopefully itoke uzuri.
Inshallah, if you are baker this should not give you problems
Mashaalah. Sasa kama sina machine yakukandia
Tumia mchapo
Shukuran sana
Mashallah Tabarak Allah Alhamdullilah ♥️ huu ndio mkate wa mayai asli na hivyo ndio vipimo walokua wanatumia bibi zetu now approximately will be about 139 years if she would be alive today ! She died when I was like 9 years ! She was 72 years then!
Keep up the good work we better stick to the original 👏 if we start to change will loose all our East African Swahili cuisines! Thanks for sharing. Cooking is passion my too!
Shukran, I appreciate your support
Masha Allah napenda Sana mafunzo yako my mungu akupe maisha malefu
Mashallah shukran jakallah kheir nimetumia your recipe na mkate umetoka👌👌👌
Alhamdulilah, hongera
Nimefanya wa mayai 4 ,sahi alhmdllh umetokea vizuri kwa jiko la makaa, shukran mpenzi Allah akubarik
Hongera kwa jitihada....mambo kuandaa tu au vipi. Ahsante kwa dua njema , amin kwetu sote
@@aromaofzanzibar kuandaaa mpango mzimaa ,Amin yaraby
Aww vipi Hali yako jamani leo nafuraha mno nimejitahidi hiyi cake imetokeya uzuri sana tu kama yako asante sana mungu akuraishisiye makaziyako ukuwekeye nawepesi ndani yafamiliyako masha allah
itunge noura raya Mashallah hata Na Mimi nimefurahi sana hongera kwa jitihada yako.
ahsante sana
Nafurahi sanaa kwa kutufunza mapishi mazuri na yenye ladha tnk
Mashallah Dada unafundisha vizuri ubarikiwe na mola akupe afya njema
mashaAllah nice Wallah shukran habibty kwa mapishi zaidi
Asante sana Aroma mkate umetoka vizuri.
shukran nimejaribu mkate umetoka👌👌
Wow..ahsante kwa kunijulisha, thanks for your support
Asante sana dada nami nitsjifunza kupika mkate wamayai
Naombakuliza hii mashine kama yako kwauku zanzibar inapatikana dukagan au sem gan nimeipenda
Latifa Alliy Dear mimi siishi Zanzibar nipo Marekani
Mashaallah tabaraq rahman Allah akujaalie hbbty huna choyo
Alhamdulilah
Nimeamini Mwanamke Mapishi,kwa hali Aroma Mpenzi Sitarudi kwetu😍😍😍.nitamuanfalia mumewangu vyakutosha kupitia ujuzi wako shukran Allah Bareek
Amin kwetu sote dear
Ahsante sana HABIBTY kwa mkate wa sinia bi mo
Shurkan kwa support
asante sana wanisaidia mdogo wako sana mungu akuweke.
Shukran, amin kwetu sote
Ahsante sana....
Sielewi kwa nini unafanya kila kitu kama mimi mpaka nikiangalia vyombo vyako unavyopikia kama umeazima jikoni kwangu,hata mikono yako imefanana na yangu mpaka inanitia hamu ya kukuona uso kwa uso naamini labda hata tumefanana kisura.....
Mashallah, wanasema kila mtu ana pacha wake...labda mie wako. Picha yangu hapo juu kwenye profile x shukran umenifurahisha
umiy1971 umeonaee , yaan masha Allah , hata mimi nampenda sana huyu Dada na chakula anachotugunza na ukifanya masha Allah inakuwa chakula nzuri ,
shukran sana Allah ndie atakae kulipa , Jazak llahu khairan
Bestill , I have already shown you how its done, baking powder is not necessary coz the cake rises because of the high ratio of eggs and the technique. You can add butter or milk or both for the extra flavor but the butter has to be melted, this is sponge cake.
Shukran Mrs Hassan, wewe mkarimu Amin
I will be patiently waiting...
masha allah mungu haku - bariki inshallah
I like this thanks for uploading
Most welcome
Aunty ukibake unatoa tray alafu mkate wa Mayai ni moto wa juu na chini
Ku bake ni moto wa juu na chini
Mashallah just followed your recipe and I made my first sponge cake and turn out so yummy 😋
So glad! Mashallah
Mimi kila nikijaribu mkate ulikua unarud kumbe kuupiga kwa nguvu wakati wa kutia unga ndio sababu, in sha Allah nitaupika tena.
Ngoja namileo nijalibu kuupika
halima sio laxim mashine zamani napika keki kw mkono ilikua hamna mashine n inavimba n kua nzuri
Sio lazima mashine , mchapo unafaa pia
shukran sana aroma alla h barik kwa kutupa ujuzi
Shukran sana
Naomba umetuonesha keki
je kama sipendi kutia maziwa
kipimo kinabadilika Jee?
Shukran sana
Allah atakulepa
duniani na akhera
mapishi mzuri
Maziwa kwenye keki si kwa ladha ni kwa kufanya keki iwe nyepesi na kukata harufu ya mayai pia
This is how I learned to make Mkate wa Mayai too. My Mum is your Fan.
Thank you for your support ❤
oohk nishaelewa inshallah will try thanks😘
Dada asante sana kwamafunzo yako sasa wakati wakuchoma lazima ufunike au so lazima
Hufuniki wakati wa kuchoma
I love you love you love you love you love you love you love you Aroma u r the best women mwaa💋 nisha pika vingi tu kutoka kwako na nikikosea naagalia pishi lako wow am so like it😋 now I know how to cook it😋
Thank you darling for your support
sukali nimaalu kwa mkate tu sio hii tunayo tumia kwaida
Ni sukari ya kawaida tu sijatumia maalum
Its yummy and perfect recipe, jazak Allah khairun.
🙏🏽😘🌹
mashalla hongera maa kwa kutupa upishi
Iv kwakutumia gesii yakawaida inawezekana
Kama unajua kuoka keki kwa gesi unaweza kupika hii ila mimi sijui, pita kwa shuna's kitchen ameonyesha utaalamu huo
Mashaallahu unafanya mkate wamayai km mm nnavyofanya
Mapishi ndio hayo hayo
Samahan dada nimeona pale baada ya kuchanganya mayai ,sukan na chumvi kwenye mashine rangi ilikuwa kawaida tu lkn baada ya kufikia sehem anachanganya unga wa ngano nikaona yale mayai alochanganya mwanzo yamekuwa rangi nyeupe amechanganya na tui au
Nice.... Mpz mkate wng ukisha poa unarud naomba unisaidie nakosea wap
Moto mkali sana
Asant
Masha Allah I've tried it came out perfect
Safi sana unaelekeza vizuri,asante
MashaAllah Allah akuzidishie, mm ni shabiki wako na bado tunakusubiri utuletee mapishi
Inshallah
Thnk u i tried it en it came out so well en yummy
Masha allah ni mzuri sana
naomba unitumie upishi w pera maziwa
Mimi sio mpishi wa pera maziwa sio vitu napenda kula, jaribu shuna's kitchen au farhat yummy unaweza kupata
mashaallah nimependa unavyo fundisha
Shukran
ungekua na app ningefurahi zaid
Am working on it, unajua kuandika mapishi yote in chukua mda lakini itakuja inshallah
Ukichoma uu mkate unaweka moto juu na chini ama nimoto wachini tu
Moto wa juu na chini
Thanks
Asant san nimeupik umekuja vizur san maashaallah.
Hongera sana dear
Aroma of Zanzibar ahsant
Inakaa tamu Sana I will definitely try this recipe for breakfast keep it up love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Thank you dear
Asanta kwa,somo, Nzuri sana
mapishi mazur sanaaa je unaweza kutumia brender ya kawaida kuchanganya hayo mayai na sukari
Ahsante, ndio unaweza kutmia blender
Shukran Allah akubarik twakupenda
Ahsante sana. Amin
Mashallah Allah aibariki mikono yako
Asante sana kwa shule ya mapishi
MashAlla MashAlla MashAlla
Mimi ninafurahia sana upishi wako nimejifuza mengi
Mm kila nikipika unashuka mkate sijui nakosea wapi lkn huwa unajaa vzr
Shufaa Mohameed Kama una shuka wakati was kutia unga itakua huchanganyi vizuri , unataka utaratibu usishushe Yale mayai ile Ni hewa. Ukiwa unashuka wakati was kuoka iyakua Moto sio sawa
Aroma of Zanzibar ooh OK asante Dada nitajitahidi napenda sn mapishi yako
hongera sana kwamapishi mazuri
asante sana Dada nilikuwa nnausuburi huu upishi kwa ham .jazaka llahu llkheyr
Mashaallah allah akubarik
Asante daa napnda mapishi yko 😋
Ahsante sana
Assalaam alaikum. Jazzakah.Allah khair. Leo nimejaribu hii recipe ya mkate wa mayai. It was.amazing. Watoto wangu wamefurahi sana. Tukifanya order kila mara tukitaka mkate, lakini haukua mzuri japo tukilipa. Mkate hua majimaji. Lakini huu imetoka.perfect dry and very apongy. I really love your.channel
Wonderful Alhamdulilah nimefurahi that it turned out well hamna tena kununua au vipi!!. thank you for your support dear
wow thanx
Ahsante Mamy nimeshapika mapishi mengi kupitia kwako mungu akuzidishie inshallah
Amin, ahsate for your support
Awesome recipe I tried and was yummy
MashaAllah mkte mzuri lkn mbona umeweka chuuvi
Ukiwa unapika kitu cha sukari ni vizuri kuweka chumvi kidogo ku balance sukari
thanks my sst Kwa somo lako
asante sana....maana birthday yangu loading nikiwaza hata keki tu nakosa.. lkn nitapk mwenyw ..tufundshe na kupamba
Karibu sana kwahiyo birthdat itakua nzuri mwaka huu, angalia kwenye video profile zangu ninazo video za jinisi ya kutengeneza buttercream na basic decorating, nimeeancha kufundisha kupamba kwani video zinachukua mda mfrefu kuandaa na ku edit na watu wanao angalia ni kidogo sana
mashaallah kwa kweli niuangalia leo huu mkate nikaupika khaa waarabu wameupenda sana big up maaa
Shukran, mashaalah
nataka kujua kupika mkate wa mayai
mwajuma omar hi ndio mkate wa mayai au kuna was aina nyengine
Mashaallah
Nimepata fuzo mama gazaja allah kheri
iko sawa tu, asante kwa mapishi yako
napenda huu mkate na chai.
Shukran sis nilikuwa nahitaji hii recipe I'm going to cook it In Shaa Allah
Mapishi Classic Thank you for stopping by dear
Nitajaribu kupika na kutumia recepy yako napenda mapishi yako 👍👌😍😘
Nikitumia blenda itakuwa sawa
Kwa kweli jawahi lakini sioni tatiz
@@aromaofzanzibarbarikiwa
shukran kwa mapishi
Karibu
Moto uwe ngapi dia
Ahlam Said Nimesema hapo 350F/180C kiasi dakika 25mpka 30
nmeifunza ahsante sana
would like for tasters pleeease😍😍 Even for ur kids,to taste will be more amaizing...
Ok will keep that in mind but most of the times I make these videos when they are at school so I can focues
+Aroma of Zanzibar okay..No problem.
Plzzz naomba unishow size ya sufuria ya kupika keki ya mayai manne plzzz
Tafuta sufuria ndogo tu
Thnx.God bless you
mashallah mamy''''' tufundishe meat cake ''''' nataka nipike ktk haruc 'ila siifahamu vizur
Asante sana madam kwa mapishi
Karibu dear