PATA HISTORIA FUPI YA ROSE MUHANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2017

КОМЕНТАРІ • 96

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 років тому +1

    Amen amen. Wakristo wakristo tunapelekana wapi na majungu?. Mungu aturehemu. Pole Rose. Amen.

  • @carolinewamukota4831
    @carolinewamukota4831 5 років тому +1

    Yesu anayaweza mambo yote, ni mtetezi wa ajabu zaidi sana ni mwokozi asante Yesu kwa kumrudia dada Rose mrejeshe kwenye huduma yako maana utukufu ni wako AMEN.

  • @nazaletimwaipungu5090
    @nazaletimwaipungu5090 5 років тому +18

    Ndugu zangu mwezenu anapo pata shida inatubidi tumhombee sii kumuhukumu ilo nijaribu lakini anaweza kusimama tena Mungu nakuomba umponye kumbuka mema aliyo yatenda kabla hajakosa mrehemu Kama ulivyo mrehemu mfarume Ezekia kwa jina la yesu

  • @thxzbst49cnh80
    @thxzbst49cnh80 5 років тому +2

    Mungu akubariki sana Rose na akupe haja ya moyo wako

  • @maureenlobely8675
    @maureenlobely8675 5 років тому +4

    I really love this mama

  • @jonathantito5708
    @jonathantito5708 5 років тому +5

    People will always be people, even the time God was healing the sick and doing miracle, every one was very supportive but when it came a time of crucification of Jesus Christ no one was present even others said they don't know him. Shalom Shalom.

    • @lameckewardedwardlameckewa3494
      @lameckewardedwardlameckewa3494 5 років тому

      Acha Mungu ajitukuze acheni hukumu zisizo na uchunguzi yakinifu, Maswala ya rohoni yanajulikana na wa rohoni km hujapita majarbu unaweza kucoment unavyoweza Rose ni kazi ya Mungu, atajua yeye aliyemfanya, walisema mengi kipindi cha Ayubu lkn mwisho hawakuonekana waliokuwa wakiongea, km hunq hakika kaa kmya. AMEN

  • @MonicaMonica-up1zr
    @MonicaMonica-up1zr 5 років тому

    Rose has been such inspirer that kenyans lov her so mch.so watanzania plz mcheza kwao hatunzwi.Lets just pray for her no one is perfect than criticising her.judge not that u may b judged

  • @hadikastro5154
    @hadikastro5154 5 років тому

    Take her to Scoan churches of all nations lagos Nigeria to see prophet tp Joshua God uses him to heal and deliver pple from all kinds of sickness and disease plz hurry

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 5 років тому +4

    Christian TV inaonekana huifahamu vizuri historia yake kwani aliwahi kuimba Mamajusi kwaya ya Moshi na alifukuzwa baada ya kupata mimba ndipo akahamia Dom kanisa la kianglican kabla ya hapo alikua T. A. G

  • @maryjustapeter5430
    @maryjustapeter5430 5 років тому +2

    Rozi Mungu akubarki, ila acha vipodozi nidhambi

  • @johnmuthuri9989
    @johnmuthuri9989 5 років тому

    Praise be to the Heavenly God.

  • @jonathantito5708
    @jonathantito5708 5 років тому +3

    kwa hakika I can't judge Muhando because the Lord who sees in the inner most heart knows her, I know Rose for the good work is doing to uplift the Work of God in the ministry, past that I can't add anything. may the Lord remember her. Amen.

  • @hadikastro5154
    @hadikastro5154 5 років тому

    Take her there and u will her getting healed in Jesus Christ name Amen

  • @josephmsemwa2020
    @josephmsemwa2020 5 років тому +1

    Pole ros muhando kwa tabu urio pata

  • @neymarkimaro9205
    @neymarkimaro9205 5 років тому +15

    anayejua undani wa maisha ya mtu ni MUNGU pekee aliyemuumba sasa maswala ya madawa kupotoka cjui kushuka kupanda hayo wanajua yeye na MUNGU wake kila mtu afanye yanayompasa kufanya na sio kukaa na kunyoosheana vidole ikumbukwe ulimi kiungo kidogo ila usipokichunga jehanamu itakuhusu akienda kushoto na MUNGU ataenda kuvuna alichopanda

    • @nicodemaslingula6068
      @nicodemaslingula6068 5 років тому

      Neymar Kimaro

    • @meryasha8760
      @meryasha8760 5 років тому

      My God help you

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 5 років тому

      Neymar Kimaro KWELI KABISA KAKA, TUNAPENDA SANA KUWANYOOSHEA WENZETU VIDOLE, NA TUNAFURAHI WAKIANGUKA,, ILA MAISHA YA MTU AYAJUAYE NI MUNGU, TUACHE UNAFKI

    • @rabsoninanyarov88
      @rabsoninanyarov88 5 років тому

      ambarut

  • @tamashabarabara9188
    @tamashabarabara9188 5 років тому +1

    OK be blessed

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 5 років тому

    Yesu mpiganie maana hata wakati wewe ukiponya wenye ukoma na kufufuwa wafu bado ulitukanwa ukiitwa majina mabovu .Mpoonye mtumishi wako mungu

  • @souriantekavira4182
    @souriantekavira4182 5 років тому

    izi siku ni siku sa ku achwa azarani kwa wale waimbaji ambao wanajenga mazabahu Ya mungu ju Ya mazabahu Ya shetani, wataibika,mwisho unafika tahazari!!!!

  • @ruthutherin.4445
    @ruthutherin.4445 4 роки тому

    She has several children... Was she ever married

  • @happynyabbysombaso9418
    @happynyabbysombaso9418 5 років тому

    +254 Nikiwa Toronto jamani wezetu tumuombee Dada Rose muando hakuna alie mkamlivu xixi zote ni wenye dhambi ....

  • @marwaboniphace
    @marwaboniphace 5 років тому

    Mungu mwenye enzi asimame upande wake.

  • @dawaniyesumugoli2224
    @dawaniyesumugoli2224 5 років тому +3

    Dada zangu waimbaji Mungu hapendi hayo mambo ya mapodozi ambayo munaitumiya, hata Kama nyimbo zinajenga Sana, musiwe vilalo vya kuwavusha watu halafu nyinyi wenyewe Mukakwama dada zangu weeee

    • @moseshaule7825
      @moseshaule7825 5 років тому

      Mungu hapendi dhambi si vipodozi wewe unasoma biblia gani

    • @jonathanonyango8805
      @jonathanonyango8805 5 років тому

      Isaiah 29:13 _ They worship me with there mouth yet there hearts are far away from me. There worship is what they have been tought by men. Says God.
      Read John 4:23

  • @petersonjames376
    @petersonjames376 5 років тому

    Our GOD is Very Holy, and if you want to serve Him ,you must be also holy you can't miss with other gods ,He will strike you ,unless you Repent in Christ JESUS and serve Him in holiness and Righteousness.

  • @lightnessibrahim6890
    @lightnessibrahim6890 5 років тому +1

    Hakika mungu anasamehe mrudie mungu hujachelewa

    • @savelianmteisi7124
      @savelianmteisi7124 5 років тому

      Kila mtu atatamka lake lakini mwenye mahamuzi ni mungu

  • @marykalei3277
    @marykalei3277 5 років тому +2

    Hii dio imetokea kwenye maombi. Rudieni mungu wacheni mambo ya dunia

  • @dawaniyesumugoli2224
    @dawaniyesumugoli2224 5 років тому +2

    Neno la Mungu halitabadilika, hali ya kwenda mbinguni sivyoooo, musitake kupendeza tuu machoni pa watu, Bali mbingu ikawa inafungwa, wenye mapodozi Hawaingiye, kumufata Yesu Kristo ni kujikana, ufalme wa mbingu Si wa mtu Mwenye kwenda na wakati, hiyo mapodozi yote, yatoka kuzimuuu

  • @nomienomie7812
    @nomienomie7812 5 років тому

    Vyombo vya habari vya tanzania rose ni binti yenu haifai kueneza habari za kupotasha kuhusu binti yenu hakuna aliye msafi mnapo eneza tarifa msiyo na uhakika nayo hapa mwasema haya pale wasema yale sisi wainchi zingine twamini yapi twapenda waimbaji wa inchi ya tanzania ni tungane tumwombee dada rose na tusi muhukumu

  • @halimasimbeye1991
    @halimasimbeye1991 6 років тому +4

    Tito wa mamajusi Majengo Moshi anadai ndie aliyemfundisha Rozi leo tena story hii mbona sielewi ukweli upi?

  • @hadikastro5154
    @hadikastro5154 5 років тому

    This is demonic attack and she must be deliver and who can do this is prophet tp Joshua of Scoan churches of all nations lagos Nigeria

  • @jesse_tunuka
    @jesse_tunuka 5 років тому

    Mbona husemi kama amewahi kuimba kwaya ya Mamajusi moshi tanzania

  • @thierrymubigalosimbi9829
    @thierrymubigalosimbi9829 5 років тому

    Mutu kulipa bwenye alikula siyo shida na ahihombi ku ombewa ila ni kumuzahidiya kwa ma shahuri ju asikule Tena bitu bwa batu

  • @leahjoram7693
    @leahjoram7693 5 років тому

    lisemwapo lipo kama halipo laja,basi skendo ya madawa ya kulevyia imedhihirisha kweli

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 5 років тому

    Sabukilabu asante kwaheli hahahaaa!

  • @destinydangote3120
    @destinydangote3120 5 років тому

    Wakriso mnaoteshwaga kweli nyie ni balaa tunakumbukia loliondo mung anawaona eti mnaoteshwa

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 років тому

    Nibebe nibembeleze nyooo..

  • @timelessbeauty5677
    @timelessbeauty5677 5 років тому

    Kumbe aliwaikuwa muislam

  • @isayapeliyaikeya3193
    @isayapeliyaikeya3193 5 років тому

    ISAYA PELIYAI KEIYA

  • @beatriceomino7321
    @beatriceomino7321 5 років тому

    single mum God help Rose

  • @makalasijani4953
    @makalasijani4953 5 років тому

    Kila mmoja anasema yake Kati ya waliotoa picha hizi na wanao comment nani ana ukweli? Acheni usenge nyie sio Mungu pumbavu zenu watoa comments

  • @fdhg47
    @fdhg47 6 років тому

    nikweli

  • @allyhussein3196
    @allyhussein3196 5 років тому +1

    Anayebishia history hii afuatilie history yake ataupata ukweli. Na maneno yake mwenyewe wakati alikuwa akielezea kilichomfanya atoke kwenye uisilam ndo utagundua hakuna uchawi wowote kwake sema tu mwisho wasiku atawaabia ameoteshwa kurudi uislam.

  • @richardsmichael936
    @richardsmichael936 5 років тому

    W

  • @allyhussein3196
    @allyhussein3196 5 років тому

    Wakati anamuona mtu akiwa usingizini na kuambiwa ni yesu akamtaka auache uislamu hakusema ni majini. Lkn sasahivi videozake zinaonyesha anaambiwa aache kuimba, anasema ni manager wake anamtumia majini so hapa kuna shida mtu mwenye akili timam lazima awe "???"

  • @husseinmahata821
    @husseinmahata821 5 років тому

    MWAMBIENI ATUBIE TU,

  • @mossesjosephat8908
    @mossesjosephat8908 5 років тому

    #Maisha2

  • @nyekingobwire4798
    @nyekingobwire4798 5 років тому

    Mwaya pambana na haliyako

  • @malkiaelizabethmhongole115
    @malkiaelizabethmhongole115 5 років тому

    Sauti jaman

  • @athumanmkundi2875
    @athumanmkundi2875 5 років тому +1

    Uo ndo uongo sisi ndo tunaishi dumila rose muhando hajawai kua muislam alizaliwa mkristo wazazi wake wote wakristo alikua anapenda kuomba toka mdogo hatajina ulilotaja so LA kiislam

  • @marykisima666
    @marykisima666 5 років тому

    Mungu aturehemu

  • @chrispinsinkala7082
    @chrispinsinkala7082 5 років тому +1

    Rose bado hajatubu asili anayo yeye kutaka umarufu njia za mkato za mafanikio zinawaponza kuna siku atasema ukweli tu

  • @rizickzahabu3096
    @rizickzahabu3096 6 років тому

    Hao watoto ni wa baba mmoja ama tofauti?

    • @mamasamysameer332
      @mamasamysameer332 5 років тому

      sikuzote ukiwa huna ukweli ndani yako lazima uaibike tu huu wakati tulio nao niwakati wa waongo kuachwa wazi

  • @joelsule4111
    @joelsule4111 5 років тому

    Tangu nianze kuzikiliza nyimbo za Rose Muhando siamini kama historia yake hii ni ya kina!! Kwa sababu kabla huo mwaka 2005 Rose alishafanya kazi na kwa ya mamajusi anglikana majengo Moshi, alisika vizuri ktk wimbo wa "hey haleluya" baada ya hapo akawa solo artist. Sasa kama alianzia Chimuli basi safari yake ilianzia mbali zaidi!! Na je? Alipataje watoto nje ya ndoa ilhali alikuwa mwalimu wa kwaya na na kanisa kumvumilia kwa kutokua tayari kuolewa? Hebu fanyeni utafiti wa kutosha kuleta historia ya mtu aliye hai kwa kmshikisha yeye binafsi na ikibidi mwenyewe ndo azungumzie historia yake.

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 5 років тому

    acha vipodozi hauwezi kuona ufarme wamngu

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 5 років тому +1

    😞😞😞😞😞😞😞

  • @stanleymbwana4828
    @stanleymbwana4828 5 років тому

    Historia ya Rose alitokea kwaya ya Mama Jusi Majengo ndio iliomlea mpaka akaanza kutoka pia akaenda chimuli kwaya na alirecord nao nyimbo moja ya video zao walivaa kaniki nyeusi mkitaka kuuza habari muweke historia vzr OK

  • @khalidunited5978
    @khalidunited5978 6 років тому +2

    kweli umepotea umeacha kwenye utamu umefata kwenye uchungu rudi kwenye dini yahaki

    • @salomecharles5954
      @salomecharles5954 5 років тому +1

      mungu alituma mwanae yesu afekwa ajili ya watenda dhambi,rozi mwacheni ameokoka,

    • @sammrema2538
      @sammrema2538 5 років тому

      Maombi ndio dawa so historia

    • @barickndile7118
      @barickndile7118 5 років тому

      Muludie mungu anasamehe

    • @stuartmntangimntangi4132
      @stuartmntangimntangi4132 5 років тому

      Ndg usiwekama kibao

    • @robertfabian3030
      @robertfabian3030 5 років тому

      Swala lakupotea si kwasababu yakutoka uislamuni.bali alikua akiimba nyimbo zake kwakumtegemea shetani,huku akitumia kivuli chayesu,
      Munguu kumuonyesha kua yy hataniwi ,ndipo akampa pigo kama ulivyoona,nakama,waislaam wenzie walimtuma kuiharibu ukiristo wamechemka.amen

  • @johnmuthuri9989
    @johnmuthuri9989 5 років тому

    How can I get this idiot called Nathan...????

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 5 років тому

    Alifanya ukahaba wa kutoxha na kuzaa mtt kl mtt an baba yake yalivyomxhinda ndo akaamua kuokoka na sasa ni mla vumbi na htamaniki me nina jiran ake kisasa Dodoma

    • @hoseamapogo1112
      @hoseamapogo1112 5 років тому

      Dr

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 5 років тому +2

      mwenye haki ajapo anguka atasimama tena

    • @lufunyoedson7168
      @lufunyoedson7168 5 років тому

      Sijui hayo mengine, ila haishi kisasa anaishi Meriwa, assess info yako

    • @jacklinebahati3450
      @jacklinebahati3450 5 років тому +3

      Afadhali wewe umejua ya Rose. Nani anajua yako huenda umalaya wako umezidi wake Mara elfu, so stop pointing fingers at her, she was lost yes BT she repent ed, nakwambia atauna ufalme utabaki jehanamu

    • @frankemmanuel7945
      @frankemmanuel7945 5 років тому +1

      Yeye ndomwenye sili yamaisha yake Kama alijificha hapo aonekane mwema kwamwanamu shaul yake mungu hajalibiw ila Kama nimatatizo2 naunamtumikia mungu kwel kwaroho atakuokowa mi sna kibali chahumu

  • @makalasijani4953
    @makalasijani4953 5 років тому

    Kila mmoja anasema yake Kati ya waliotoa picha hizi na wanao comment nani ana ukweli? Acheni usenge nyie sio Mungu pumbavu zenu watoa comments