HADI RAHA! ALIKIBA APIGIWA SHANGWE AKIIMBA RUN DUNIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 87

  • @iddynyandwi1724
    @iddynyandwi1724 Місяць тому +4

    Nimerudia tena leo 24.08.2024

  • @OmaryMpili-tk2fp
    @OmaryMpili-tk2fp 10 місяців тому +15

    Ivyo ndio msanii anatakiwa aimbe kwenye show na sio kupiga makelele tu na kufosi watu washangilie ujinga

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 Рік тому +11

    Halafu kuna mjinga ana mfananisha na wapuuz wapuuz 😂😂😂😂

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 Рік тому +13

    Nyie huyu Alikiba ni Nyoko🔥🔥🔥 He deserves a crown 👑👑

  • @allyalvine1864
    @allyalvine1864 Місяць тому +2

    Jamani Alikiba halinganishwi na msanii mwengine katika nyimbo za wosia tena zenye mguso halisi wa mahaba ❤❤...maisha mema kiba🎉

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 Рік тому +10

    Isingekuwa sio kwamba mziki unabadilishwa na ukisasa dah alikiba ni mtunzi mzuri na kabarikiwa sauti ,ukitaka kuamini hilo sikiliza nyimbo za zamani za alikiba,kama macmuga,hadidhi, mapenzi yanarun dunia,na zingine nyingi

  • @olicendayihimbaze4074
    @olicendayihimbaze4074 7 місяців тому +4

    Nimeludia mala ya 7 leo 22/02/2024 Hiyi concert kabixa ilikua ya kawaida Get your Flowers 🌺🌹 Mfalme wetu wa East Africa 🇹🇿🇹🇿👑🥇🪙

    • @mwinyiadno9495
      @mwinyiadno9495 5 місяців тому

      Niko hapa leo tarehe 18/04/2024 💪😊 on repeating again and again

  • @madagaandimligo2643
    @madagaandimligo2643 Рік тому +6

    Huyu jamaa ajengewe sanamu tu popote nchini serikali wanasbur nn

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 Рік тому +22

    Kupafom live na kuwaridhisha watu si mchezo 🧐 hasa Kwa bongo flavor..ambayo imejaa auto tunes.

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 Рік тому +11

    Ila Kiba anajua kucheza na jukwaa

  • @ThabitiMkemwa
    @ThabitiMkemwa 2 місяці тому +1

    Maana ya mzik kuongea wenyew ndo hii siyo weka mikono juu 😂😂 alah nimelipa hela yangu bado unambie niruke ruke aweee

  • @ThomasFrancis-hh7cm
    @ThomasFrancis-hh7cm 4 місяці тому +1

    Anyone 2025😅

  • @edwincain849
    @edwincain849 Рік тому +7

    King kiba ni mmoja tu Africa!hujutii kulipia kiingilio kwenye show yake..!#UNYAMA.

  • @assanisass6641
    @assanisass6641 Рік тому +10

    Mpigaji wa piano ,wa kidar yani stage yote imeenjoy

  • @djumakandolo6090
    @djumakandolo6090 Рік тому +9

    Nakubali nikiwa South Africa 🇿🇦

  • @ROBERTKASSIAN-kz4fd
    @ROBERTKASSIAN-kz4fd 11 місяців тому +2

    ua-cam.com/video/Sd0uUyteGtM/v-deo.htmlsi=DOsXhOrZtl_wssGC ANGALIA KISANGA

  • @madagaandimligo2643
    @madagaandimligo2643 Рік тому +3

    Huyu jamaa ajengewe sanamu tu popote nchini serikali wanasbur nn

  • @godfreymartinegodfour7272
    @godfreymartinegodfour7272 Рік тому +6

    The True King of Bongo Flavour ✊🏼✊🏼✊🏼🔥🔥🔥🔥

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 Рік тому +5

    Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha viliniumiza, Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibuni nini kiama, Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa👑👑👑🔥🔥🔥

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 Рік тому +7

    King of voice tz,,,,the only one King 👑 see u Nairobi next tm

  • @darhustler
    @darhustler 10 місяців тому +3

    Nice 1 na hapa ndipo tunapomsahau yule HASIMU wake. Alikiba is real King

  • @rahimmombo5365
    @rahimmombo5365 6 місяців тому +2

    Jamaaa anajua live dah ni mnomaaa

  • @milalaemmanuel445
    @milalaemmanuel445 Рік тому +4

    Jamaa fundi tumpe maua yake

  • @naplousemukunzi10
    @naplousemukunzi10 23 дні тому

    King of the King
    Munyama❤

  • @jamesmwangia.k.ajaymo1659
    @jamesmwangia.k.ajaymo1659 3 місяці тому +1

    it's a frag🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 Рік тому +8

    Greatest of all time

  • @angelalema4804
    @angelalema4804 11 місяців тому +5

    King kiba is very creative 💪💯💯

  • @Ara-MozDaddyFina-sp6we
    @Ara-MozDaddyFina-sp6we 16 днів тому

    King Kiba he got much talent on the stage when singing live

  • @rachelpeter7032
    @rachelpeter7032 3 місяці тому

    Swala zima la kuimba live muachieni uyu baba amina

  • @MaimunaMohammed-cy8ot
    @MaimunaMohammed-cy8ot 11 місяців тому +3

    Mwanamuziki

  • @HeritierAugustinBukurukuru
    @HeritierAugustinBukurukuru Рік тому +4

    Mwenye Muziki wake

  • @joshuawekesa7094
    @joshuawekesa7094 10 місяців тому +2

    Huyu ni kiboko kwa live stage

  • @kisayonasaid
    @kisayonasaid 11 місяців тому +2

    show imejaa utulivu sn

  • @RobertMopao
    @RobertMopao 8 місяців тому +2

    💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @geofreysolomon3728
    @geofreysolomon3728 9 місяців тому +2

    Mashairi yasiyo hata na chembe ya matusi😊😊😊

  • @nkussabakariikoki1963
    @nkussabakariikoki1963 Рік тому +5

    King. Hana mpinzani kwenye anga za live show

  • @hassanmweta7244
    @hassanmweta7244 Рік тому +4

    Fundiiiiiii wa live bongo
    Hugusikii brooo it was so dopest

  • @danielmkoba4230
    @danielmkoba4230 Рік тому +5

    GOAT 👑

  • @stanleyshedrack2386
    @stanleyshedrack2386 9 місяців тому +2

    Bro you killed it on this lit.....

  • @halimaamani4095
    @halimaamani4095 Рік тому +3

    Jamani jamani king ajengewe sanamu

  • @twabapamogospelzambia
    @twabapamogospelzambia Рік тому +4

    national asset

  • @sautiisiyosema
    @sautiisiyosema 11 місяців тому +3

    The king

  • @seviahikhoni8646
    @seviahikhoni8646 5 місяців тому

    2024 0n may 04

  • @tuko5717
    @tuko5717 8 місяців тому +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @noeledward2899
    @noeledward2899 9 місяців тому +1

    Hakuna makelele show live band safi kabsa na watu wameenjoy

  • @medisonnilahi6559
    @medisonnilahi6559 Рік тому +2

    Mwamba kweli jamaa

  • @mwasitz6123
    @mwasitz6123 10 місяців тому +1

    We ni king 👑👑👑 tu ila yupo xmba mtu huko Hy mi kelele kwenye xitej huxikii nyimba wala nn yani vurugu tu

  • @BonnelBone
    @BonnelBone Рік тому +2

    mshkaji yupo vizur

  • @FidelNdishingio
    @FidelNdishingio Рік тому +3

    Wapi jamani nimepitwa

  • @samuelbyamungu5602
    @samuelbyamungu5602 11 місяців тому +2

    ❤😂😂🎉🎉

  • @senkp
    @senkp 9 місяців тому +3

    King kiba❤

  • @THOMASMATHIAS-zy4dh
    @THOMASMATHIAS-zy4dh 9 місяців тому +3

    King of music 🎉🎉

  • @mariampaulo7894
    @mariampaulo7894 Місяць тому

  • @EmmanueliBakali
    @EmmanueliBakali 9 місяців тому +2

    noma sana❤❤❤

  • @mwinyiadno9495
    @mwinyiadno9495 Рік тому +5

    King of music 🔥🔥🔥🙌🏾

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 Рік тому +4

    King him self 🎉🎉🎉🎉

  • @MickMichael123-fd1te
    @MickMichael123-fd1te 11 місяців тому +2

    Jamaaa ana jua

  • @AdaboyTz
    @AdaboyTz 10 місяців тому +2

    Nakukubali alikiba kaka

  • @chiefosward1376
    @chiefosward1376 Рік тому +3

    KingKiba🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅

  • @prochtz4342
    @prochtz4342 Рік тому +6

    King 👑🔥🔥🔥🙌🙌

    • @amosisimtowe
      @amosisimtowe 9 місяців тому

      Kwa Sasa hii ndo miziki inayo takiwa ya live sio play baki mtu amechomeka frashi eti Ana imba uongo huu ndo uana mziki jamaa alikiba ni no1tanzania

  • @HassanAbdul-xb3dk
    @HassanAbdul-xb3dk 5 місяців тому +1

    King kiba nakukubar sana,chukua maua yako🎉🎉

  • @benjaminndubi
    @benjaminndubi Рік тому +2

    Huyu jamaa ni noma sana

  • @tembagentil
    @tembagentil Рік тому +4

    The king himself

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 Рік тому +6

    The great artist 4life ❤❤❤

  • @k-frexxmpenzi
    @k-frexxmpenzi Рік тому +3

    King kiba 💯

  • @bernmagesse3606
    @bernmagesse3606 Рік тому +6

    Mwenye bongofleva yake

  • @AishaSwalehe-c7d
    @AishaSwalehe-c7d 8 місяців тому +1

    Ata Mimi naa hinjoh🙏

  • @Lando_Anthony
    @Lando_Anthony Рік тому +3

    Unyama mwingi sana 💯

  • @chiefosward1376
    @chiefosward1376 Рік тому +2

    King Kiba🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎶🎶🎵🎵🛠️✅

  • @fundimaloti6192
    @fundimaloti6192 Рік тому +2

    fundi

  • @SmilingIguana-eh6nc
    @SmilingIguana-eh6nc 4 місяці тому +2

    Alikiba ako zaidi ya sawa 💯👑

  • @fredrickomondi6558
    @fredrickomondi6558 Рік тому +1

    African chrismartin

  • @MagrethMatiko
    @MagrethMatiko 3 місяці тому

    Jamani king mungu akulinde na akutunze

  • @gloryfredrick656
    @gloryfredrick656 6 місяців тому

    Till goose-bumps wallah❤

  • @JYmanStarSniper
    @JYmanStarSniper 4 місяці тому

    one man army De King Himself 🎉