Dakika 15 za Ali Kiba Akumbushia Sindelela Shangwe lake Usipime

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 335

  • @chadrckbybo7543
    @chadrckbybo7543 2 роки тому +64

    Bro wewe nikiboko yaoo kabisa unakumbusha nyimbo ambazo nilikiwa naimba kipindi ambacho nilikuwa kwenye shule lamsingi so ongera saaana bro kwenye kazi ya mziki🎵🎵🎵🎤🎤🎸🎻 mimi nakusiliza kutoka drc🇨🇩

  • @savanny_music
    @savanny_music 2 роки тому +85

    Kuamka kwa wenza wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa wimbo wa Utu ni dhihirisho kuwa Huu wimbo ni mkomavu sana na King kapokezwa baraka na wazee . ..gonga like tafadhali shabiki wa King

  • @johnsblack572
    @johnsblack572 2 роки тому +49

    Kama kuna siku mtu alikusema vibaya @Alikiba ataomba msamaha tu 🙏.
    #Kingkiba unajua Sana 💥💪

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 2 роки тому +50

    Kikweli hamna kama Ali kiba bongo ni kama marehemu Kanumba hamna kama yeye be blessed kiba Mungu akujalie maisha marefu InshaAllah 🙏

  • @jojoskitchen1210
    @jojoskitchen1210 2 роки тому +46

    Uzuri wa nyimbo za kiba unawezakuzisikiliza ukiwa na mtu wa rika lolote

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 Рік тому +18

    YES ITAPITA MIAKA 100 KUPATA MWANAMZIKI MWENYE VOCAL RANGE INAYO MATCH NA HUYU MWAMBA 💪💪💪

  • @praygodmtera9907
    @praygodmtera9907 2 роки тому +40

    daah! sometimes mtu anafeel sorry kama ulimsemaga vibaya vijiweni. Umeimba vizuri sana king kiba 👏

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 2 роки тому +23

    Alikiba pekeake ndio msanii anaweza kuimba sauti ileile ya kwenye audio.yan hata akiimba akapela utasema km anaimba kwenye nyimbo.wengine xx🤣

  • @djkayumba
    @djkayumba 2 роки тому +19

    Uzuri brother hajuagi kulinga nampenda sana love kubwa sana kwa wana😂😂🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salhatmboweto9226
    @salhatmboweto9226 2 роки тому +10

    Af anatoka mlevi mmoja kanywa wanzuki anajifananisha na Hy mwamba😅

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 2 роки тому +44

    Ngoma za mfalme zinaishi utafikiri zimetoka jana saluti kwako king kiba kwa mziki mzuri kings for life👑👑🌎

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 2 роки тому +38

    Ameua...ameuaaaa...ameuuuaaa....ameuuuuuuaaaaaaaaaa.......🙌🙌🙌🙌

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 2 роки тому +14

    King my bing boss🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏aiiishii maisha mafefuuu tunu ni zaadhabuuu tuliyoletewa na mwenyezimunguu tuituzee tunamsamini💯💯💯🙏🙏🔥🔥

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 2 роки тому +24

    Kwenye hii show kina umechangamka sana 🤣🤣 by the way dj alikuwa mzuri sana

  • @hassaninkoja284
    @hassaninkoja284 2 роки тому +28

    Huyu mwamba ana kila kitu na achoboa Zaid Yani hata umsemeje hajali na haringi🤗

  • @jastinimushi5992
    @jastinimushi5992 2 роки тому +12

    Muache kumfananisha king kiba na utopolo mwengine

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 роки тому +15

    💯💯💯dj mnoma San apewe kitu kwa bill yangu..ma dj kama Hawa wamebaki wapi kweli back to back nimeipenda sana

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 роки тому +21

    Unyama sana,,kiba wa moto kiboko huyu mtoto wa mama kiba God continue giving you energy my brother ♥️♥️🇰🇪

  • @ramamtanga3482
    @ramamtanga3482 2 роки тому +23

    Bongo fleva iko salama kwenye mikono ya kiba

  • @bonifacemfaume9788
    @bonifacemfaume9788 2 роки тому +18

    Heshima sana sana kwako Alikiba show umeumiza kinoma noma make hadi meza KUU umeinua MamaSalma hadi nae anakubali#UTU🎵❤🔥🔥

  • @marosylvester2851
    @marosylvester2851 Рік тому +10

    Ally kiba kiukweli wewe ni mwimbaji na mtunzi mzuri wa muziki.sinderera ni wimbo ambao unasawiri Maisha halisi ya jamii nyingi za kitanzania zilivyopitia hatua mbalimbali coz watu wengi waliamini kuwa Kila binti lazima aolewe na tajiri au msomi mkubwa kumbe .
    Fasihi inatufundisha kuwa Maisha ni harakati ambayo walio Safi Sana Kwa sasa ni kipindi Tu cha mpito na hata wasionacho mungu Baba kesho Yao watakuwa katika stage ya umaarufu na wataheshimika Tu.Nakutakia mafanikio mema katika bongo flavour

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 2 роки тому +9

    Kachangia damu na kapanda stejini kukiwasha

  • @robathcarlos8068
    @robathcarlos8068 2 роки тому +23

    Namuona mzee jakaya anamwangalia kwa Makini king wa Mziki

  • @fidelykabote8519
    @fidelykabote8519 2 роки тому +22

    Dj ✅ anajua then ni King 👑👑👑 kibaa always ni fundi 🔥🔥

  • @babitojnr4886
    @babitojnr4886 2 роки тому +22

    💯 kwa dj,alikiba all time legendary in tanzania

  • @msilibi
    @msilibi 2 роки тому +49

    Salute to the King of bongo flavor somo anajua mpaka anakera🔥🔥🔥alafu hiyo Playlist ya huyo Dj ni zaidi ya moto du yani mpaka nashikwa na goosebumps i say.. Vibe la kibabe sana,, love from 254 🇰🇪 Mombasa

    • @mussalydforex6726
      @mussalydforex6726 2 роки тому +2

      Same bro huwa napata goosebumps kwa huyu mchizi wa bongo ali k for real

    • @msilibi
      @msilibi 2 роки тому +2

      @@mussalydforex6726 anajua kuimba na vocal zake ni za ukweli acha wale wa kuongezewa,huyu ni mkali wao sema ameridhika alipo... Angekua mbishi angekua mbali sana

    • @ramamtanga3482
      @ramamtanga3482 2 роки тому +1

      @@msilibi yas ameridhika sana kiba ila anajua sans

  • @championboy7
    @championboy7 2 роки тому +44

    Ali ni mwanamuziki bora wa muda wote... hongera sana kwa kazi nzuri na zinazoishi. Tutaelewana tu!

  • @teesmartguy8829
    @teesmartguy8829 2 роки тому +10

    Ali ni wengi SEMA kiba ni mmoja tu🤟🤟🤟💯💯🙏❤️👏🤟🤪😜😂😅😆

  • @davidnyigu2061
    @davidnyigu2061 2 роки тому +13

    nani kagundua hii love ya kutosha inatoka kwa wana tena wanaume

  • @gustavemwimbilwa330
    @gustavemwimbilwa330 2 роки тому +30

    "Utu" est la meilleure chanson de l'année 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 👑

  • @nguduboy3132
    @nguduboy3132 2 роки тому +22

    Hatari sana king kiba una voice kali sana🔥🔥

  • @halimambena6110
    @halimambena6110 2 роки тому +12

    Nakupenda kwa Ajili ya Allah my king Kiba Mungu azidi kukulinda na azidi kukupa Afya njema na kheri nyingi ktk maisha Unajua hadi unajua tena solute nyingi kwako my brother💪

  • @Captainnkand
    @Captainnkand 2 роки тому +8

    mbona show tam alafu mwamba hatumii nguvu kama wakina naniliu.....

  • @atukuzwemwakaleja4683
    @atukuzwemwakaleja4683 2 роки тому +11

    Dj anakitengo chake mbingunii🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Рік тому +6

    Ali kiba watakuchukia dunia zima ila mimi ♥ nakupenda uko poa sana

  • @mahfoudhjuma4833
    @mahfoudhjuma4833 2 роки тому +23

    Baba yetu ni alhaji ila birthday kwa mziki innalillah mungu turudishe kwenye njia uipendayo

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 роки тому +11

    Uzur WA Ngoma zako ni Kali sanaaaaaa harafu hazina ukakasi

  • @abderemanemaecha4054
    @abderemanemaecha4054 2 роки тому +21

    Macha allahh toujours king force a vous dieu t’es protégé

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 роки тому +10

    Huyu jamaa anamziki wa kikubwa Sana Latisha Sana mbele ya kiongozi wetu msitafu namuona kainjio party yake uwepo wa king kiba umependezesha haswa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому

      Nyimbo zake unaweza kuzisikiliza hata ukikaa na Baba mkwe 😂😂

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 роки тому +7

    Yani we ndo king wengine wanaiga tu

  • @bakarisalim3313
    @bakarisalim3313 2 роки тому +6

    "Mala 10 mwanangu wa cinderella ye hapendagi makiki" onanaaa

  • @harounernest1516
    @harounernest1516 Рік тому +18

    This Man has a special love to the fans

  • @MilkaTom-f9c
    @MilkaTom-f9c 2 місяці тому +1

    Kadogo dats for our sister''Amina'' 254 Kiba's wife wap likes z 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rehemamahmoud8453
    @rehemamahmoud8453 2 роки тому +5

    Chalinze ilizizima jomon

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 роки тому +6

    Unyamaa

  • @kelvinstephano8089
    @kelvinstephano8089 2 роки тому +8

    Namuona mweshimiwa kwenye utu amenyosha mikono na inaashiria UTU ni wimbo wa taifa

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 2 роки тому +4

    Kikweli hata waheshimwa walikuja jukwaani wallah wewe kiba ndo kiboko yao coz nyimbo zako zinaimbwa hata na wazee

  • @hassansawasawa6753
    @hassansawasawa6753 2 роки тому +15

    Muheshimiw jk, kasikiliza nyimbo zote ila huu utu imemfanya kanyanyua mikono juu💖💖💖💖

  • @fadhiliirunde318
    @fadhiliirunde318 2 роки тому +8

    Huyu jamaa Mungu kamjalia kipaji congratulation king Kiba wala hata hatumii nguvu lkn watu wanatiii vzr tu

    • @mapekhamis3882
      @mapekhamis3882 2 роки тому

      Kwl (kitu kikiwa chako hutumii maguvu mengiii uaminisha watu

  • @dulliy654cyptrocurrency3
    @dulliy654cyptrocurrency3 2 роки тому +4

    Jamaa hata kama mziki ukizimwa sauti yake sasa utasema ndo tayari ashachanganya na beat

  • @inocentmwambage8648
    @inocentmwambage8648 2 роки тому +5

    Mfalme ni mmoja tu hakuna ufalme ndani ya ufalme wote yebabaa

  • @kiya0910
    @kiya0910 Рік тому +2

    Wote wataimba nakin hapa Kwa king hamna kama yy nyimbo yake haziishi ham

  • @fatmarashid3137
    @fatmarashid3137 2 роки тому +7

    Mwanamme na nusu.mwanamziki Bora wa kizazi kipya

  • @husseinbhatia434
    @husseinbhatia434 2 роки тому +8

    Voice hatar nilichopenda permance ya nyimbo za kale but still wapi go kiba goooo

  • @MuedasomosnosMML
    @MuedasomosnosMML 2 роки тому +12

    Kila nyimbo ya king kiba ni 🔥🔥🔥 akuna kwiksipai são músicas que sempre vive em alta qualidade na há histórico como ele eu gosto muito de Alikiba on fire

  • @happylimo5766
    @happylimo5766 Рік тому +3

    Mara paah ajichanganye mdabiliusibi mmoja stage moja na Alikiba atapotezwa mbaya na atarudi akasimulie usafini

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 2 роки тому +4

    The King ov Bongo huyu sio wakufananisha na boya yyte bongo

  • @magiemaziku1672
    @magiemaziku1672 2 роки тому +4

    Jamaa anajua anajua tenaaa yupo vzr

  • @jiwahassan
    @jiwahassan 2 роки тому +23

    This is Genius... More blessings to you King

  • @godfreynyoni1159
    @godfreynyoni1159 2 роки тому +7

    King anatupa rah zhabiki zake

  • @violethtingo7703
    @violethtingo7703 2 роки тому +14

    🔥🔥🔥🔥 KING KIBA🙌🙌🙌❤❤❤

  • @mostar3630
    @mostar3630 2 роки тому +3

    Njoo usikilize cover ya nyimbo ya Alikiba itakushangaza ila USISAHAU kukoment

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 2 роки тому +5

    Dj yuko makini sana nimemkubali🎶🔥👑💕
    King always uko on top🔥🎶👑🙌

  • @1000Brain
    @1000Brain 2 роки тому +4

    Msanii pekee Wa bongo fleva unayeweza kusikiliza nyimbo zake mbele ya wazazi wako. Kingi kiba

  • @bahatihance4071
    @bahatihance4071 2 роки тому +10

    Kibaa ni mmoja tu🙏🎸

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 2 роки тому +6

    Wapi like za king jamani

  • @sideboy3768
    @sideboy3768 2 роки тому +8

    TBT za kibabe kutka kwa king🔥🔥🔥🔥

  • @lindogrupo201
    @lindogrupo201 Рік тому +1

    Kikubwa ninachomkubal hana mbambamba live anaimba kma vile yani ni balaaaaaah tupu

  • @ramamtanga3482
    @ramamtanga3482 2 роки тому +16

    Kingkibaaaa magic voice

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому +1

      Vocal hatariiiiiiiii 👍👍👍

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 роки тому +3

    Hujawai niangusha KING upogo juu toka wakati uleeee

  • @abdulrahmanhassan3334
    @abdulrahmanhassan3334 2 роки тому +36

    King kiba..best vocal, best sing..bigup👍🏿🇹🇿

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому

      Vocal yake hata Mimi naikubali, hamna msanii anayeimba vizuri live kama Kiba 🙋🙋

  • @benmkare1095
    @benmkare1095 2 роки тому +7

    KINGKIBA anajua mpaka wachaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥💯✅

  • @daudymusa3783
    @daudymusa3783 2 роки тому +12

    Unforgotable memory

  • @shaibufadhili1192
    @shaibufadhili1192 2 роки тому +3

    kuna utofaut mkubwa kati ya mziki na nyimbo kiba ni mwanamziki ila wengine wasanii sion msanii yeyote tz hii wakumfikia huyu tukubali tukatae ila najua tumejitengenezea uaminifu kwa wale tunaowapenda ila so dhambi kila mtu ana haki yakupenda k2 anachokipenda ila mm team kiba damu

  • @yasminomar6235
    @yasminomar6235 2 роки тому +4

    Huyu ni muimbaji tofauti na wengine

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 Рік тому +2

    Watanzania wako mbele saa hii kisanaa.
    They deserve a live band.
    CD PLAYBACK ni za upcoming na watoto

  • @masudindimila6809
    @masudindimila6809 2 роки тому +5

    Huyu jamaa ni noma

  • @nurudiningoda7928
    @nurudiningoda7928 2 роки тому +4

    Wejamaaa unanjia zako bhn

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 2 роки тому +4

    Awakuwezi bana waachetu na ngenga zao wakuache miaka mia❤❤❤❤❤❤💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @malerojr2231
    @malerojr2231 2 роки тому +12

    Salute to the king himself....

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 роки тому +7

    Mashallah uyo ndio mfalme wetu

  • @bravenkombe2201
    @bravenkombe2201 2 роки тому +6

    Wasalimie kigoma

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 2 роки тому +2

    Alikiba anasauti nzur bila kutumia vyombo lkn inatoka imenyooka atari

  • @saifushaiburamadhani3754
    @saifushaiburamadhani3754 2 роки тому +7

    Happy birthday mweshimiwa

  • @salminitamla9673
    @salminitamla9673 2 роки тому +5

    Msanii wa dunia

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 2 роки тому +3

    Kiba amekuwa kama JOHN CENA

  • @AlvinMuluvi
    @AlvinMuluvi 2 місяці тому

    Hivi ni Cinderella ama sindelela?lakini wabongo mbona mnang'oa hivi vitu ndogondogo mbona mtu asimakinike akiandika ?why,why

  • @yusuphsammysammy7424
    @yusuphsammysammy7424 2 роки тому +3

    yani hapo malegend tupu ndo tunaelewa hizo ngoma kali

  • @usowambuziusowambuzi8675
    @usowambuziusowambuzi8675 2 роки тому +3

    ukuna wakukupinga mzee

  • @simonbukuru3521
    @simonbukuru3521 2 роки тому +3

    Umetisha kiba salute hakuna kama ww bongo

  • @issa_yusontv9953
    @issa_yusontv9953 2 роки тому +8

    Kwani ally umeumia mkono

  • @allyjuma9498
    @allyjuma9498 2 роки тому +2

    Hili jamaa ni jini linalo onekana.by ALLY

  • @elishamgaya6305
    @elishamgaya6305 2 роки тому +13

    I love dis guy💜🎼🤴

  • @usowambuziusowambuzi8675
    @usowambuziusowambuzi8675 2 роки тому +3

    unyama mwingi kig

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 2 роки тому +4

    utu jamani😋😋😋😋

  • @shirimahappiness9642
    @shirimahappiness9642 2 роки тому +3

    Anajua,anajua ,anajua tena

  • @salehjumahassan9986
    @salehjumahassan9986 2 роки тому +8

    Kiba very nice

  • @shaluamkumbo9880
    @shaluamkumbo9880 2 роки тому +5

    King4life

  • @issa_yusontv9953
    @issa_yusontv9953 2 роки тому +7

    Safi sana ....

  • @MudySamila
    @MudySamila 26 днів тому

    Tunakupenda sana tunakuombea mungu akupe maisha marefu bdo tunaitaj kukuona