Kwa mtanzania kama uko peke yako itakugharimu kama Tshs 800,000 hivi minimum, hapo ni kila kitu umekamilisha, andaa angalau laki nane hivi. Kama mnafika angalau kuanzia watatu kuendelea gharama inaweza kupungua maana vitu vingi mta-share, pengi mpaka kwenye Tshs 600,000 labda. Kama sio Mtanzania andaa sio chini ya Tshs 3,000,000 hivi kama mko wengi inaweza kupungua. Hayo nimeweka ni makisio ya chini ya gharama ya kupanda na kushuka kwa siku 6,7 au hata 8 kutegemea na njia utakayopita
Mmm jaman mbona nilizania watanzania bure kumbe hela nyingi hivo kitu kimeletwa na mwenyez MUNGU leo tunatozwa pesa nyingi kias hicho cc masikin tutaishia kuona kwenye tv😷😷
kwa hiyo chakula upewe bure , vifaa bure , watu wakukuongoza kukusaidia bure kwa sababu vyote hivyo ni vyenu. hiyo pesa unayotoa Mtanzania ni kwa ajili ya ww kupata huduma
Sasa mm ndio maana siwezi kuja panda mlima Kwa sababu mm nimtanzania na ukizingatia nina watoto kwetu masasi na Nina shida ya ada ya wanangu je nitapata wapi iyo ya kuja kupanda mlima ishauli serikali iseme Kila mtazania kupanda Bure kama autatuchoka apo
You are the Best tour leader good job brother.
huyu jamaa mzoefu kweli.. anajua kujielezeaa.. big up aisee
yaan umeeleza vizr sana nimependa coz mm mwenyew ndo kaz yangu thanks brother
Tuliowahi kupanda like apa....
@Hank Jalen Damn app
Wow ! keep it up bro.
Sawa Asante
Ivi ni bei gani kwa mtanzania kupanda mlima na mie nataka nikapande inshaaallh nataka kujua gralama zakupanda mtanzania
Kwa mtanzania kama uko peke yako itakugharimu kama Tshs 800,000 hivi minimum, hapo ni kila kitu umekamilisha, andaa angalau laki nane hivi. Kama mnafika angalau kuanzia watatu kuendelea gharama inaweza kupungua maana vitu vingi mta-share, pengi mpaka kwenye Tshs 600,000 labda. Kama sio Mtanzania andaa sio chini ya Tshs 3,000,000 hivi kama mko wengi inaweza kupungua. Hayo nimeweka ni makisio ya chini ya gharama ya kupanda na kushuka kwa siku 6,7 au hata 8 kutegemea na njia utakayopita
@@sebastianmoshi7200 asante
@@sebastianmoshi7200 weee minilijua kwenye lakin mbili au tatu kumbe kujipanga
Cjajua vifaa ila per day ni Tsh. 11700/=
Mmm jaman mbona nilizania watanzania bure kumbe hela nyingi hivo kitu kimeletwa na mwenyez MUNGU leo tunatozwa pesa nyingi kias hicho cc masikin tutaishia kuona kwenye tv😷😷
Home sweet home
Jamani Kwani sh. Ngapi gharama za kuupanda huu mlima
Mlima kilimanjaro nchini kenya...karibuni...
Kenya mnajivunia mgongo wa mlima Kilimanjaro
Cost zake zinafikaje ?
Ok bei gani kwa mtanzania kupanda? .
Bhana kingel kingiii wengne hatukijui mnashindwa kutumia lugha yenu mnakera
Jamani yuko kitaliii zaidi!
Standard language kwa wapandaji wanaolipa ma guide/ wanaowalipa
watanzania mngewafanyia hata 100,000 tu mana mlima ni wao Mungu katupa why walipe migarama mikubwa wakati ni Mali yao mana matajiri ndio wanao panda
Kweli
kwa hiyo chakula upewe bure , vifaa bure , watu wakukuongoza kukusaidia bure kwa sababu vyote hivyo ni vyenu.
hiyo pesa unayotoa Mtanzania ni kwa ajili ya ww kupata huduma
Fact,
Hik ni kikwazo!!
Rahisi gharama
Sasa mm ndio maana siwezi kuja panda mlima Kwa sababu mm nimtanzania na ukizingatia nina watoto kwetu masasi na Nina shida ya ada ya wanangu je nitapata wapi iyo ya kuja kupanda mlima ishauli serikali iseme Kila mtazania kupanda Bure kama autatuchoka apo
Kilema huja ita ja ambayo Ni siku moja.
Acha nije Tanzania nije nipamde huo mlima in shaa Allah
Vzr sana
Ongea swahili boya ww
Natamani kuja jamani
nenda mpendwa
Si ujeee
Ati kupanda ama kukwea😂...and the tzs tell that they are the custodians of swahili..
Sasa hujaelewa nini google maana ya kukwea mshamba ww
Jamani Watanzania amueni kama mnahitaji kijifunza kiingereza ama la ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama vile huyu jamaa anavyo jionyesha hapa
Amesahau kusema bei ni ngapi
Chakufia nini loo nitapanda milima ya makoka tu sio lazima kilimanjaro yani mateso yote alafu nilipie kuchoka
Kwel best ulipie hela bado kuna kufa na kupona unanunua kifo huku wajiona