Kwenye gari mwanzo umefeli, lakini kwenye mwijaku kujitahidi ni jambo na kukubali hapo ume ongea point, hata kama ni ni 50 by 50 plot but ni chako na ni lazma kujivunia
Nyumba inategemea ni ya sh ngapi?Je gari unayoendesha inaendana na gharama ya nyumba unayotamani kumiliki?unaweza kumiliki gari kurahisisha mambo yako the ukawa unajenga.
@@mohamedally5225 alafu gari alilo nalo la kutembelea kaongea vitu vingine vya maana ila nyumba mwanangu aisee mimi ndo inanitesa mpaka sasa ningrkilia gari zamani sana ningekuwa nalo niliwaza ntaishi kwa nani nyumba ya kupanga 😄🤣 nikakakataa lol nalizia kajumba kangu kisha gari itafuaata tena ya kuniingizia pesa kila siku
Leo juma kaongea ukweri kbx❤❤❤❤
Nimejikuta nampenda juma leo
Leo juma umeongea vizuri sana
Leo Juma uko sahi
Umeongea ukweli juma kwako ni kwako atapaweje
Wah mupitie na kwangu wapenzi ❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Akuna baba mwenye gari ila siku zote kuna baba mwenye nyumba kwa mtu mwenye akili timamu lazima aanze na nyumba kwanza then after unaweza nunua gari
Mawazo yko binafsi nayakubali
Baba mwenye nyumba kama unapangisha mzee kama unakaa na familia yako n baba tu
Hela ya gari haijengi, hayo ni mawazo ya asie na nyumba wala gari
😂😂 labda gari za kibongo 😅😅@@belak999
@@kelvsss3824 ukihitaji gari ya dhamani gharama yk yawezekana kujenga nyumbani ni mtazamo na pendekezo lako
Juma umenifurahisha mno Leo
Hapo juma umeongea ukweli mwenye chake tumupe hongera hata kama ni kidogo
Juma 2024 vou a sistir suas intervista . Gud big juma na mwaka u wew jumy.
Bonjur😂
Juma umeongeya point kubwa sana una uelewa mapana sana
❤❤
Juma umenena ukweli 🎉
Mimi bora nijenge kwanza usafiri nitapanda daladala😂😂😂😂 mpaka nipate gari inshaallah
Kumbe Juma una watoto na walitoka ndani yako😮😮😮
Tena watot wa ndoa
Juma umependa ulivyosema maswala ya jumba ya mwijaku kweli unachokisema alicho nacho anacho ata kama kidogo ni chake
Kwenye gari mwanzo umefeli, lakini kwenye mwijaku kujitahidi ni jambo na kukubali hapo ume ongea point, hata kama ni ni 50 by 50 plot but ni chako na ni lazma kujivunia
Kijana umeongea vizuri sana.kijana mwijaku kafanya vizuri sana hata kama ni kibanda cha wakala.wanaoongea waonyeshe vya kwao.
Kwa mara yakwanza juma nimekukubali umeongea fact akili kubwa sana
Ujamaa mjinga sana we unaweza kulala kwenye ngari 😂😂😂
Uyu jamaa juma lokole nimekuwa simkubali Ata kidogo ila leo ameongeya kama mwanaume
Kuna mda juma kama unaongeaga vitu vya msingi ivi
Nyumba inategemea ni ya sh ngapi?Je gari unayoendesha inaendana na gharama ya nyumba unayotamani kumiliki?unaweza kumiliki gari kurahisisha mambo yako the ukawa unajenga.
Jumaa umeongea kweli kabisa ila gari isiwe ya kutembelea tu iwe ya kukuingizia pèsa
Wabongo wengi hawana akili uwe na gar kwanza Kisha ndo nyumba hizo akili matope nyumba ndo muhim kuliko gar
@@mohamedally5225 alafu gari alilo nalo la kutembelea kaongea vitu vingine vya maana ila nyumba mwanangu aisee mimi ndo inanitesa mpaka sasa ningrkilia gari zamani sana ningekuwa nalo niliwaza ntaishi kwa nani nyumba ya kupanga 😄🤣 nikakakataa lol nalizia kajumba kangu kisha gari itafuaata tena ya kuniingizia pesa kila siku
Shoga promax😂
Juma kumbe wakati mwingine zimo
Hoje Juma deixou de ser gay e falou a verdade. Congratulação pra juma🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Tukisha kuona na gari ufahamu wako ni mkubwa?huna akili jinga ww!
Uyu dogo bwege Sana, hasa we una kazi gani ambayo itakufanya upumzike
Kuna muda kichwa chako kinachaji
kumbe huyu jamaa anakuaga anakilii cku mojamoja
Namwijaku aliambiwa hivo kumbe anaakili
Huwa akikosaga uboo tuu ndo huwa mwehuu
Maimatha anakaa kisemvule
Juma 2024 vou a sistir suas intervista . Gud big juma na mwaka u wew jumy.