SAKATA LA KAGOMA KUSAINI YANGA LAWEKWA WAZI NA MWANASHERIA WA YANGA "PESA HAZIJARUDISHWA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @FabianDotto
    @FabianDotto Місяць тому +1

    Makolo acheni kukatalia mali za watu ludisheni hio mali so yenu😅

  • @inocentlukumay767
    @inocentlukumay767 Місяць тому

    Kwa nini hamkumtangaza siku ya utopolo day?

  • @inocentlukumay767
    @inocentlukumay767 Місяць тому +1

    Ally komwe

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 Місяць тому +1

    Huyu msemaji akiendelea hivi mmmmh hana Muda kwenye club ya Yanga, Utoto umemzidi sana

  • @manuchochannel5538
    @manuchochannel5538 Місяць тому

    Elimu ni muhimu sana,tuwapeleke watoto wetu shule,maana hapo Ali komwe anajichekea tu hata hajui anachojichekesha

  • @franccoz94
    @franccoz94 Місяць тому +1

    YANII UTOPOLO HAWANA AKIRI TIMAMU BADALAA YA KUPELEKA SEHEMU HUSIKA HIZOO DOCUMENT ZAO WANAKUJA KUTAFUTA HURUMA ZA MASHABIKI HUKU ,UTOPOLIZATION OF AFRICA

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 Місяць тому +2

    Yaani mm yanga hata siwaelewi na huyo mwanasheria wenu ,kagoma alikuwa mchezaji wa singida ,kama asain kwenu kwann hao singida wakatia realize reta Kwa Simba na nyie mkanyimwa na tff na wakampa kibali acheze Simba ,huyo mwanasheria wenu 😂😅

    • @regpane
      @regpane Місяць тому

      Wewe ni mbumbumbu Kolokwinyo . . . Jitambulishe hivyo, Yanga haina watu wenye UKOLO kichwan

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 Місяць тому

    KWANI SISI NDO TFF SASA NAAMINI UTOPOLO HAWANA AKILI

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley Місяць тому +1

    Nye Yanga mbona mnanongwa kweli ,

  • @FabianDotto
    @FabianDotto Місяць тому

    Aombe musamaha Kisha alejee home tunamutaka😊

  • @MichaelDaud-k9s
    @MichaelDaud-k9s Місяць тому

    Daaa. ... Jamanii mambo yenu mbona si kisoka na kwanini club ya yanga migogoro kama hii imekuwa ni kama desturi ndug zanguni nyie mnashida...Tafadhali mijtathimini...

  • @daudisekwao889
    @daudisekwao889 Місяць тому +1

    Hivi aliyevunja mkataba ni mchezaji kagoma au klabu yake ya fountain gate ndio imevunja mkataba wa mauziano? Kwa sababu kilichouzwa kinavujaje mkataba kama sio anayeuza? Ikisikiliza mwanzo mwisho lawana za yanga ni kwa mchezaji na sio klabu iliyomuuza mara mbili Yani kwa yanga na simba. Kuna Nini kati ya yanga na fountain gate?

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 Місяць тому

    Mungu ni mkuu kuliko Klabu! Hilo nalo litapita, watu watasahau, maisha yataendelea! Kulikuwa na sababu yoyote ya kulikuza jambo hili kwa kiwango hiki?

  • @japhetjames9331
    @japhetjames9331 Місяць тому +1

    Kwa hayo yote unayosema kama ni mchezaji wenu Kwanini hamjamtangaza yanga day

  • @abdallahlyuu8432
    @abdallahlyuu8432 Місяць тому

    Mmahangaika na Nini nendeni mkachane Release letter kutoka Singinda na leseni kutoka TFF hizo ndiyo zitakazomrudisha Kagoma kwenu
    Wacheni kuwanganya washabiki wenu

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley Місяць тому

    Hiyo yote ni kwa sababu Yanga inaidhamini Fontenget , kupitia GSM ,

  • @FeruziIsa-nc5vo
    @FeruziIsa-nc5vo Місяць тому

    ALLY KAMWE NI MJINGA KAMA WAJINGA WENGINE

  • @MichaelDaud-k9s
    @MichaelDaud-k9s Місяць тому

    INSHORT; CLUB KUBWA KAMA YANGA, Viongozi wapuuzi kama hawafai kuigwa kwenye ulimwengu wa soka. Huko ni kujizalilisha. Ockey, imagine last morrison case mlifika mahakamani hatima yake morrison alishinda.Fanyeni vitu kwa hekima na busara nyie ni viongozi wakubwa wa club kubwa....

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f Місяць тому

    Wasafi tunawasubiri kesho musipo liongelea hili tuna wa unfollow

  • @UmmukulthumAbdalla
    @UmmukulthumAbdalla Місяць тому

    haw viongz wa yang wot mambumb hawajui wanalolifnya
    ss simb tukiw na mivutan tunakaa kusuluhish vzr t wal haturopokw km nyie
    yang mnatakiw mjifunz kw simba sc kwn bad nyiny chokoraa
    simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka Місяць тому +1

    Mbona mlipo shindwa kwa morison amkuja kutueleza

  • @SeifSaid-s4m
    @SeifSaid-s4m Місяць тому

    Kama ni mchezaji wenu kwa nn aombe msamaha

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 Місяць тому +1

    hawa matapeli ...wamesajili vp wakati walikuwa wamefungiwa..hahahah hakuna mwanasheria hapo

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 Місяць тому

    Usajili ulianza lini ? Makubaliano nje ya Sheria

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela Місяць тому

    WACHEZAJI WAKIFIKA HAPO MNA WALISHA SUKARI NA CHUMVI, NDIO MAANA WANA AMUA KWENDA KWENYE MAZIWA NA ASALI NIMECHOMEKEA2 HUYO MCHEZAJI MCHUKUENI HATA KAMA AKIZIRA NA KWENDA KUVUA SAMAKI MWACHE AENDE HUKO

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles Місяць тому

    Acheni kuchezea wachezaji nyie Kila siku kagoma mmetuchosha kwanza hamna huruma mmezoea kuwa nyanyasa wabongo hata kama wewe ndo ingekuwa kagoma Simba wametoa 70 nyie 30 nani boya kwenye pesa Kila mbuzi hula urefu wakamba kamba yenu fupi

  • @mawazochaula3642
    @mawazochaula3642 Місяць тому

    Kama umemsikia Vizuri MWEZI WA NNE, TAR 30, WALILIPA. Baada ya kufanya MALIPO (Yaani mwezi wa nne ) WAKARUHUSIWA KUONGEA NA MCHEZAJI. Tarehe 27 MWEZI WA TATU😮😮😮 WAKAMTUMIA TIKET TAREHE 28 MWEZI WA TATU AKASAIN. HUYO NDO MWANASHERIA WA YANGA. 😂😂😂😂😂😂 INAHITAJI AKILI NDOGO KUELEWA HAPO.

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 Місяць тому

    Nyie walalamikieni singida siyo Simba ,Simba amepewa kibali vyote

  • @richardsesa7494
    @richardsesa7494 Місяць тому

    Kwa story hi mlo sema wenyewe mbona wenyewe mtafunika kombe ili ubaya ubwela upite na baada ya miaka 10 ndo wa wafunue kombe tena

  • @Joseph-e2x6g
    @Joseph-e2x6g Місяць тому

    OYA ALIKAMWE UNALIA NINI TULIA UTAUMIA SANA BAADA YA KUSIKIA SIMBA INAMPIGA MTU SITA BILA SABA BILA HADI UKONDE MWAKA HUU.

  • @richardsesa7494
    @richardsesa7494 Місяць тому

    Yanga funiken kombe kwanza msim hu ubaya ubwela unapita

  • @Joseph-e2x6g
    @Joseph-e2x6g Місяць тому

    Heee mna lalamika muda wooote kisa tuuu UBAYA UBWELA

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 Місяць тому

    AULIZWE HUYO JAMAA ANAITWA KISOKI CSE NAYE MPOTOSHAJI,.

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Місяць тому

    Hivi kwa bei hiyo mlikuwa mnanunua matango mwitu?🤣🤣

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 Місяць тому

    😂Hizi ni dalili za kuukosa ubingwa msimu huu, na bado hamjasema😂 Ubaya ubwela

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama Місяць тому

    Mmehamia Kwenye migogoro isiyo na Tija Kwa club yenu wajinga nyie

  • @ThobiasThobias-vv1pd
    @ThobiasThobias-vv1pd Місяць тому

    Subirini afikishe miaka 40 ndo and kwenu nyookl nyie

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles Місяць тому

    Kwann sijasikia pesa mlizompa kagoma au mnadai ticket yandege

    • @Lusindehalima-si3ej
      @Lusindehalima-si3ej Місяць тому

      Hujaenda kwa sababu huna passport sio kwa ajili ya kagoma usidanganye watu, lkn mwisho wa yote mtabaki na aibu

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 Місяць тому

    SIMBA WAAACHE KUENDESHA MPIRA KWENYE BARABARA,WANALAZIMISHA WAKIJUA KAMATI ZOTE ZA TFF NA MFUMO MZIMA WA TFF(BODI YA LIGI) UPO UPANDE WAO

  • @boniphacenashon7083
    @boniphacenashon7083 Місяць тому

    Kwani dilisha la usajili ni mwezi wa 4 na mchezaji alikuwa na mkataba na fontenget na alisajiliwa usajli gan