Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ndugu zangu tunao usikiliza 2023 Like tutembee pamoja
👍👍👍
Pamoja Sana....
Nice. Song
@@joachimjoachim2528qqqqqq
Tuonasikiliza hii nyimbo 2024 tujuane
Nasikiliza tarehe 16 august 2024. Wimbo wa karne
Daah za kali haziishi utamu kabisaa yanii Wanaosikiliza hii ngoma mwaka huu 2021/01 tujuane apa kwa like....
Ambao tunakumbuka kusikiliza huu wimbo mwaka 2022 tujuane
Safi sana
Pamoja Sana.....
Hongera kwa wimbo wako (babaParoko)
Yani kila nikienda band furaha yangu nisikie hii nyimbo kwa garama yoyote baba parako
Wimbo mzuri sana kwa wanandoa una mafunfisho sana
Listening here 2023😊Old is more than gold🎉🎉
Ni tamu pale isipolenga tatizo la ndoa yakoIla ikilenga inahuzunisha sana ukute na mama watoto unampenda ile mbaya.
Wimbo mzuri sana,umetulia na maneno yake pia mazuri.
Hii nyimbo kwa walio funga ndoa na hakuna kuachana wanajua bet zote 😂😂😂2025
Huu wimbo nilipata kuusikiliza Radio Free Africa 2012.Nkautafuta mtandaoni bila mafanikio. Asante sana kutuletea. una mafunzo kweli
Nikiisikia hii nyimbo huwa nakumbuka kaka yangu alikuwa anaipenda Ile mbaya mke akimnyima kitu❤
2024 🎉 like apa twende sawa
Wimbo pendwa usiopitwa na wakati kwa wanaojitambua.Hii ni kabla maadili hayajazorota
Tonight I dreamed about this song. Good thing I could hear it on You tube. 24/5/2023. What a great song.
heshimayako mzee🎸
Duuu Sisi tuliosomea quber tujuane Kwa song hili, aiseee 🤸🔥🔥🔥
Hii ndo nyimbo zilikuwa zinaimbwa kabla shetani hajawa producer
Producer shetani au sio😂😂😂
Kweliii kabisaaa
Pembeni uko na Safari Moja baridi saaff kaabsa
Hhahaaaa😆😆😆 Umepiga Pentagon,Mi mwenyewe hapa Kwa msaada wa Whisky🙃🙃
@@aymankhadija619 af uwe unakunywa polepole, sio fast shots
@@josephmcha6978 Ndo manake😁
Umesahau na bonge Moja la toto..😆😆😆😆..
Kilimanjaro ndogo
Hakika nyimbo hii ni nyimbo bora ya karne
Hakika
Tujuaene jamani tunaoteseka kwenye ndoa❤❤❤❤❤❤
Great song of all the time
Hii nyimbo haichuji haipoi
Wimbo huunimzuli sana❤❤
NAISIKILIZA LEO TAREHE 7 JANUARY 2024 ❤KWEL ZAMAN WALIKUWA WANAIMBA VITU AMBAVYO VINAIGUSA JAMIII MOJA KWA MOJA YAAN HII NYIMBO INATOKA MIE BADO SIJAZALIWA NKAZALIWA NIKAKUA NKAJA IPENDA NA IKAWA NYIMBO YANGU PENDWA ❤LIKE ILI NIWE NARUDII APA
❤
Waimbe wote jamani ila sio kwa utamu waa huu wimbo ni noma Sana baba paroko ni zaidi umetisha mzazi
Hogera
aseeee hili jimbo❤
Safi sana !
Safi Sana Baba Paroko Kwa Wimbo Wako wa Makasey.
Napenda sana nyimbo hii
Nimeusikiliza tena leo Tarehe 20/2/2024.
listened to this song a whole day and am not done yet.
Mziki mzur sana, Mukazi wange ija nkutore, ompe bigonzo byawe, nkuhe ebigonzo!!
Aliimba kilugha gani hicho? Natamani kujua
@@deusdedithclement6807 Kihaya
Ulikuwa bora sana pia hauchuji huu wimbo
Hhahahaa😆kupigwa kipepsi tenaaa!!!??Majangaa😆Nacheka kama mazuri
Niko hapa 2022 naomba tujuane kwa like
Nasikiliza kila Leo bar nkifika Kwa galama yyte lazima niisikie hii ngoma
Ni ngoma kali
Hongera sana kwa wimboJe! Ulijuwa matatizo ya mtu ao
I love this song i never get tired of it. Keep it up Makassy !!!
Nipo hapa 2021 #babaparoko😂😂🙌🙌
Tupooo🤣🤣🤣
Wimbo ni mkali😂sana jamani
Duuh htl sana makasy nimekubali baba hata paloko hapo ameelewa
Nyimbo naipendasana aisee
Wimbo mzuri sana sio singeli sielewi wanaimba nini
2021 bado ina bamba
hii nyimbo jamaa alikuwa anaipenda thana tulipokuwa tunagombana daaah na mm ndio mnuno htree
🤣🤣🤣🤣 Ujue mbinguni utapasikia tu kwa mbali!
Nzuri sana wapendwa
Bado naipenda sana 2024 ❤❤
Umetulia sana.huu wimbo
Hakuna Kama yy❤sana😊
2021 twenzetu ngoma nikali Sana zilipendwa
2024 Bado naielewa ngoma like hapa
Zama hizooo dunia dunia ikiwa tamuuu
SIjawahi kuichoka hii
2024 like hapa
Daah, nyimbo moja tamu sana, 11/1/2024
Tunao sikiliza huu wimbo 2025❤❤🎉
2024 mpooooooo
Ujumbe mzuri
Adi raha, nakumbuka mbali sana.
Mungu atatenda mema watatoka
2024 gonga like
Zilipendwaaaa raha sana
Ak this song is Soo emotional en sweet
nice song with good message
Baba paroko
Nyimbo nemetokea kuipenda tyu
Bonge bonge la song🎉
Wow ❤❤
Tareh.. 20/09/2024.. Nasikiliza Nyimbo ya Karne..
Kali sana
Mimi Hz Nyimbo Zinanitoa Machozi Sana.....😭😭😭😭
Nipo kamanda nakumbuka ni shida kubwa sipati usingizi bila kuusikiliza yamenikuta
Nice song ever😍😍😍
Live jaman
Nzuri sana
July 2024 still here
Nakubuka mbali saana mis you my mother
One of my favorite songs.
Nice song 👍
2020 🔥
Nakumbuka mwaka 1920 nilikua naupenda Sana huu wimbo 😂
kidenga Tv 😀😁😂
Hii ipo wa2 tunalizwa sn kipepisi kisigino kw sn.baba parghoko. Nitetee
Mpka Sasa bado up kka
Hahahahahhaahhahah had badoupo duuuh shikamooo Babu mzaa Babu yake baba 😆😆😆😆😆
Paroko alitoa ujumbe mzuri xanaaa kwamba ndoa ni maeleano si kulumbana bali kusameheana na kusonga mbele
still good wachakabisa !
Maisha maisha mama maisha ya ndoa
Father paroko dah
Nilikua najua ni nyimbo ya zahir zorro
Hii noma sana
Imetoka mwaka gani hii nyimbo jmn?
Sijui tu mm nimekua nimekuta ila ni fire kama umetoka leo
Naburudika leo date 14 mwaka 2024
October 2024 ninasikiliza
Love the music
Hawa walikuwa mafundi wa mziki bana duh hatal
Here I am today 13th Aug. 2023
2024 I still this song 🎵
old is gold
Hii Ngoma bado ipo TU na ukali wake
Sijawai kuchoka ihi nyimbo
Team 2024 tujuane
Naikubal xana
2023 Niko hapa
Wimbo unavuta hisia
Ndugu zangu tunao usikiliza 2023 Like tutembee pamoja
👍👍👍
Pamoja Sana....
Nice. Song
@@joachimjoachim2528qqqqqq
Tuonasikiliza hii nyimbo 2024 tujuane
Nasikiliza tarehe 16 august 2024. Wimbo wa karne
Daah za kali haziishi utamu kabisaa yanii
Wanaosikiliza hii ngoma mwaka huu 2021/01 tujuane apa kwa like....
Ambao tunakumbuka kusikiliza huu wimbo mwaka 2022 tujuane
Safi sana
Pamoja Sana.....
Hongera kwa wimbo wako (baba
Paroko)
Yani kila nikienda band furaha yangu nisikie hii nyimbo kwa garama yoyote baba parako
Wimbo mzuri sana kwa wanandoa una mafunfisho sana
Listening here 2023😊
Old is more than gold🎉🎉
Ni tamu pale isipolenga tatizo la ndoa yako
Ila ikilenga inahuzunisha sana ukute na mama watoto unampenda ile mbaya.
Wimbo mzuri sana,umetulia na maneno yake pia mazuri.
Hii nyimbo kwa walio funga ndoa na hakuna kuachana wanajua bet zote 😂😂😂2025
Huu wimbo nilipata kuusikiliza Radio Free Africa 2012.
Nkautafuta mtandaoni bila mafanikio.
Asante sana kutuletea. una mafunzo kweli
Nikiisikia hii nyimbo huwa nakumbuka kaka yangu alikuwa anaipenda Ile mbaya mke akimnyima kitu❤
2024 🎉 like apa twende sawa
Safi sana
Wimbo pendwa usiopitwa na wakati kwa wanaojitambua.Hii ni kabla maadili hayajazorota
Tonight I dreamed about this song. Good thing I could hear it on You tube. 24/5/2023. What a great song.
heshimayako mzee🎸
Duuu Sisi tuliosomea quber tujuane Kwa song hili, aiseee 🤸🔥🔥🔥
Hii ndo nyimbo zilikuwa zinaimbwa kabla shetani hajawa producer
Producer shetani au sio😂😂😂
Kweliii kabisaaa
Pembeni uko na Safari Moja baridi saaff kaabsa
Hhahaaaa😆😆😆 Umepiga Pentagon,Mi mwenyewe hapa Kwa msaada wa Whisky🙃🙃
@@aymankhadija619 af uwe unakunywa polepole, sio fast shots
@@josephmcha6978 Ndo manake😁
Umesahau na bonge Moja la toto..😆😆😆😆..
Kilimanjaro ndogo
Hakika nyimbo hii ni nyimbo bora ya karne
Hakika
Tujuaene jamani tunaoteseka kwenye ndoa❤❤❤❤❤❤
Great song of all the time
Hii nyimbo haichuji haipoi
Wimbo huunimzuli sana❤❤
NAISIKILIZA LEO TAREHE 7 JANUARY 2024 ❤
KWEL ZAMAN WALIKUWA WANAIMBA VITU AMBAVYO VINAIGUSA JAMIII MOJA KWA MOJA YAAN HII NYIMBO INATOKA MIE BADO SIJAZALIWA NKAZALIWA NIKAKUA NKAJA IPENDA NA IKAWA NYIMBO YANGU PENDWA ❤
LIKE ILI NIWE NARUDII APA
❤
Waimbe wote jamani ila sio kwa utamu waa huu wimbo ni noma Sana baba paroko ni zaidi umetisha mzazi
Hogera
aseeee hili jimbo❤
Safi sana !
Safi Sana Baba Paroko Kwa Wimbo Wako wa Makasey.
Napenda sana nyimbo hii
Nimeusikiliza tena leo Tarehe 20/2/2024.
listened to this song a whole day and am not done yet.
Mziki mzur sana, Mukazi wange ija nkutore, ompe bigonzo byawe, nkuhe ebigonzo!!
Aliimba kilugha gani hicho? Natamani kujua
@@deusdedithclement6807 Kihaya
Ulikuwa bora sana pia hauchuji huu wimbo
Hhahahaa😆kupigwa kipepsi tenaaa!!!??Majangaa😆Nacheka kama mazuri
Niko hapa 2022 naomba tujuane kwa like
Nasikiliza kila Leo bar nkifika Kwa galama yyte lazima niisikie hii ngoma
Ni ngoma kali
Hongera sana kwa wimbo
Je! Ulijuwa matatizo ya mtu ao