MAMA WA KAMBO EP [4]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @kumbautv6926
    @kumbautv6926  Рік тому +23

    Samahani kuna tatizo limetokea kidogo sema sasa tumelitatua ep ijayo itaruka baada ya siku 3 Asante
    team Judy mtusaheme😂

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +2

      hilo limeisha mkubwa🔥🔥👊

    • @NajlaaAlly-zm6uc
      @NajlaaAlly-zm6uc Рік тому +2

      Hiyo imeenda😂😂

    • @PamellahAmbari
      @PamellahAmbari Рік тому +3

      Aaaaah navenye nimesubiri qwa masaa hadi nikapitiliza JAMANI naiona usiku sasa
      Ila nawapenda sana
      Judy wewe❤❤❤❤

    • @JudithSilvest
      @JudithSilvest 4 місяці тому

      Jmn waongeze dakikaaa au mnasemajew

  • @hadiaamiri-ig9xm
    @hadiaamiri-ig9xm Рік тому +5

    Japo wamwisho jamani from 🇴🇲 naombeni like zangu

  • @MaryDama-fr4ig
    @MaryDama-fr4ig 7 місяців тому +2

    Judith apo umeweza mamaa congratulations

  • @aminakesi5945
    @aminakesi5945 Рік тому +3

    Duuuuuh Judy ushakuwa mfanyikaz sasa sio mwenye nyumba tena😂😂😂

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 Рік тому +16

    Wakwanz jmn munipe izoo laik zangu muvii nzur tuendeelee kuiyon

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +2

      👊🔥

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 Рік тому +2

    Hapy ujui kabsa kuigiza

  • @MaryDama-fr4ig
    @MaryDama-fr4ig 7 місяців тому +2

    Happy jamn ulisemea wap kuringa dadaaa

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 7 місяців тому +1

    Hyu happy hta hajui kuigiza kama mama wakambo juu ,heri hyu mtoto angechukua part ya happy

  • @MaryDama-fr4ig
    @MaryDama-fr4ig 7 місяців тому +2

    Hongera baba Judith

  • @Rukia-g2l
    @Rukia-g2l Рік тому +3

    Huyu happy hajui kuigiza kbs

  • @MfaumeMoshi
    @MfaumeMoshi Рік тому +1

    Mmesameheka daima mbere nyuma mwiko

  • @ANITHASITIVIN
    @ANITHASITIVIN 4 місяці тому +2

    Judy ongera sana unajua kuigiza

  • @JenhvivaVicent
    @JenhvivaVicent Рік тому +1

    Kajama Judi kwenye hii move amezidi kunikelaa et

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +1

    Nijikute kambo wangu alijua rangi zangu siku moja alipogusa dadangu pasipo kosa aweee

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban Рік тому +4

    Hii muvi imebebwa sana na mtoto

  • @ZubedaFulana
    @ZubedaFulana Рік тому +1

    Jamn nzur san❤

  • @Alidah-kg5hd
    @Alidah-kg5hd 4 місяці тому +1

    Sitakagi kukoment ila leo nacomment kwa sababu ya huyu happy amepooza mnoo anaharibu movie inakua yakishambaaa aaàh tangu mwanzon nikajua atabadilika lakn wp😢😢😢😢😢😢

  • @zuhurarashid958
    @zuhurarashid958 8 місяців тому +1

    Kazi ft san nawapend from kenya

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 4 місяці тому

    Mtoto kiboko yao😂😂😂 twendenalo nko hapa Kenya 🇰🇪 mie

  • @RenatusCholla
    @RenatusCholla Рік тому +5

    Huyo happy hajuwi ata kidgo anaongea Kama hana meno jaman

  • @HappyWilaganu
    @HappyWilaganu 4 місяці тому

    Sisi akina happy niwapole ila tunadhaau ndogondogo. 😅😅 Hongera wajina

  • @HalimaHuseni-nf5pn
    @HalimaHuseni-nf5pn Рік тому +1

    Happy han kaziii hap

  • @awazimalilo3869
    @awazimalilo3869 Рік тому +1

    Tuliisubiri kwa hamu kweli 😊 aya tunaisubiri ya tano

  • @NeemaErro
    @NeemaErro Рік тому +1

    Huyu mtt yuko vizur kweli

  • @jemestumainichangawa386
    @jemestumainichangawa386 5 місяців тому +1

    Uyu happy anaharbu hii movie labsa kuongea n kama analazimishwa na kuringisha macho ata kwa mtoto arekebishe movie anaiboesha....

  • @HalimaJuma-vd8xc
    @HalimaJuma-vd8xc 5 місяців тому +1

    Duu huy mtyotyo au mbn ana maamuz hivy

  • @BeatriceChetum-rd8kh
    @BeatriceChetum-rd8kh Рік тому +1

    So fantastic one

  • @jannetkarisa1749
    @jannetkarisa1749 Рік тому +2

    Wakwanza mm hapa nipeni likes zangu😂😂😂

  • @FerdinandWasike-e2n
    @FerdinandWasike-e2n Рік тому +1

    Movie zenu ziko sawa

  • @NeemaMawazoEca
    @NeemaMawazoEca Рік тому +1

    Kazi zuri sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂Judy ananivunja mbavuu mm jaman 😂😂😂yani kama wakeweza vile

  • @MfaumeMoshi
    @MfaumeMoshi Рік тому +1

    Muongozaji anazinguwa mbn mapicha picha😅

  • @DoreengraceDaniel
    @DoreengraceDaniel Рік тому +2

    Judi kapatukana

  • @AshaMohhamed-bl5dg
    @AshaMohhamed-bl5dg Рік тому +1

    Ujarogwa Judy

  • @KemyKemy-xz9hf
    @KemyKemy-xz9hf 11 місяців тому +1

    Kazi nzur

  • @hawaashaban8567
    @hawaashaban8567 Рік тому +3

    Wa pili leo nipeni like zangu jamani

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r Рік тому +1

    Mateso yashaanza ss kwa judi

  • @AllyShop-x9s
    @AllyShop-x9s 4 місяці тому

    Ni. Wakunyongwa huyo happy hana maana kbx

  • @hawaashaban8567
    @hawaashaban8567 Рік тому +2

    Masha Allah 🎉🎉

  • @rqgabalr7937
    @rqgabalr7937 Рік тому +3

    Hii movie sio mzuri hakuna mtoto atakaefanya hivi kwenye jamii watu wakamiangalia t hyu mtoto Hana anachokijuwa

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +2

      We we nembu acha ujinga baada ya kutoa bgup kwa kazi nzuri unaazna kukatisha tamaa achavtabia mabaya au wewe ni mchawi wa kazi za watu kama wewe hufanyiwi hivyo wapo wanao fanyiwa kunguru mweusi wewe

    • @rqgabalr7937
      @rqgabalr7937 Рік тому +1

      Mm siwez kubishana na ww ila nikulze ktu ww kma mwaname umejifunza ktu gan kupitia hii movie au KAZI yako ni kuangalia t sio kujifunza

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +1

      @@rqgabalr7937 nimejifunza vitu vingi kama vile yule mtoto anavyo mnyanyasa mama yake wa kambo kisa anajua siri yake na mama kumnyanya mtoto kisa sio mtoto wake na vingine vingi tu

    • @salmambeyu5046
      @salmambeyu5046 Рік тому +2

      Hujalazimishwa kuangalia .....kama kwako sio nzuri tuachie sisi team Judy❤❤

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 Рік тому +1

      Huyu naye VIP hii move inafunzo nakama huna chakucoment kaa kimyaa tuu

  • @MhojaFaustine
    @MhojaFaustine Місяць тому

    Hiyoo meikubali❤

  • @NajlaaAlly-zm6uc
    @NajlaaAlly-zm6uc Рік тому +1

    Judith lakini 😂😂😂😂😂😂

  • @saleemsameer9735
    @saleemsameer9735 Рік тому +1

    Jaman naomba part 5 ishushwr leo

  • @jeanebileta7846
    @jeanebileta7846 Рік тому

    Happy ndo ajuwi kabisa

  • @FlaviaPhilemonPhilipo
    @FlaviaPhilemonPhilipo 3 місяці тому

    Yan ww mama jud n mubay

  • @laizalaizimesivLaizalaizimesiv
    @laizalaizimesivLaizalaizimesiv 10 місяців тому +1

    Kwi

  • @zackiakikoti9381
    @zackiakikoti9381 Рік тому +2

    👌👌👌👌👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾👌👌👌👌👌👌👌👌👌🏾

  • @TogolaiHamza
    @TogolaiHamza 3 місяці тому

    Judy kivuruge

  • @suzanbryson4724
    @suzanbryson4724 22 дні тому

    😂😂❤❤

  • @JoshuaEmanuely-l8s
    @JoshuaEmanuely-l8s 9 місяців тому +1

    Judy

  • @حليمهال-ج3ل
    @حليمهال-ج3ل Рік тому +1

    ❤❤

  • @rqgabalr7937
    @rqgabalr7937 Рік тому +1

    Na hakuna mama WA kambo anaekubali kufanyiwa ujinga Kama huu

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +2

      Nembu nyie wachawi acheni kuwakatisha watu tamaa ukiona huwezi kuandika chochote kinachotia moyo acha usikoment🤕🤒👊

    • @rqgabalr7937
      @rqgabalr7937 Рік тому

      Ww ndio umjinga Kwa sababu mm nimekoment ukwel msanii ni kioo cha jamii ila hpo tumeangalia utoto t sio kujifunza

    • @Olebee
      @Olebee Рік тому +1

      @@rqgabalr7937 kama ni ijinga au ni utoto mbona alie sema mabaya ni wewe pekeyako ujioni wewe ni mchawi wa kazi za watu punguzeni uchawi kwa kazi za watu hauna ukweli uliokoment ila wewe ndio umekoment uchawi

    • @HadijaMwaka
      @HadijaMwaka Рік тому +1

      Tengeneza yako nzuri mchawu

    • @HabeebAlkiyumi-oz1eo
      @HabeebAlkiyumi-oz1eo Рік тому

      Kweli

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Рік тому

    Kumbau TV nawaomba mutupe episode ya tano Bilal kuchelewa kwani tunahamu kuona huyo mama wa kambo atafanwa ni na Baba judith

    • @kumbautv6926
      @kumbautv6926  Рік тому

      Sawa tuombe Mungu juma 3 asubuh itakuwa hewani 👏👊

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @MayAshitiba
    @MayAshitiba 3 місяці тому

    Boring mnakera vipindi zenu zinaudhi kwendeni uko

  • @najryaautbya2774
    @najryaautbya2774 Рік тому +1

    ❤❤❤❤