SKIZA CODES 1.Code 6930218 - Ameniweka huru 2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza 3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka 4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki 5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli 6.Code 6930224 - Enyi kundi 7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi 8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri 9.Code 6930227 - Kisima chema 10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu 11.Code 6930229 - Maisha katika dunia 12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu 13.Code 6930244 - Msifuni 14.Code 6930245 - Mwokozi wetu 15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja 16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali 17.Code 6930249 - Pendo la Mungu 18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba 19.Code 6930251 - Sawa na kisima 20.Code 6930252 - Siku moja mavuno 21.Code 6930253 - Tu watu huru 22.Code 6930254 - Tutazame kule 23.Code 6930255 - Uzima ninao 24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
Number 117 NYIMBO ZA WOKOVU 1 Nilipofika Golgotha - When I arrived at Golgotha nikaiona huko - I saw there neema kubwa kama mto, - a great grace like a river, neema ya ajabu. - a wonderful grace. Neema ya Golgotha - The grace of Golgotha ni kama bahari kubwa, - it is like a great sea, neema tele na ya milele, - abundant and everlasting grace, neema ya kutosha! - sufficient grace! 2 Nilipofika moyo wangu - When I arrived my heart ulilemewa sana, - was very heavy sikufaamu bado vema - I did not yet understand neema yake kubwa. - His great grace. 3 Nilipoona kwamba Yesu - When I saw that Jesus alichukua dhambi, - took away sin, neema ikadhihirika, - grace appeared, na moyo ukapona. - and the heart was healed. 4 Mbinguni nitakapofika, - When I get to heaven, furaha itakuwa - happiness will be kuimba juu ya neema - singing about grace milele na milele. - forever and ever.
From Kenya tooo I'm completely blessed and touched by this songs,since 2 pm bn listening to this songs,was to attend a prayer meeting in our church but I missed,how I feel the vacuum of the holy spirit ant God in my life,may those songs come with revival in my life in Jesus mighty name 🙏
Many believers put aside this Grace and focus on self righteousness...such struggle with sin forever and shall enter hell easily while still shouting,"Praise Jesus..." No matter how anointed you are,no matter how holy you think you are,you desperately need this Grace for you to see God.. There is more than casting demons and raising the dead,the more is in the grace... I desperately need His grace.. Ephesians 2:8🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Been listening to your songs daily...I can feel the atmosphere change and my heart just sinks with humbleness. May Almighty God bless you abundantly. Listening from UK 🇬🇧
How i wish gospel singer's women can copy dressing code of this great Woman Dorcas, becouse many are lost showing off their shoulders, chest and thighs sometimes were left wondering do Musicians recognize Spirit of God or its just singing n singing....... thanks a lot Dorcas you've really portrayed nice example of a great musician as a someone's Wife... Kenyan diaspora we love you all may Allah protect and cover this union
SKIZA CODES
1.Code 6930218 - Ameniweka huru
2.Code 6930219 - Bwana Yesu Anatuuliza
3.Code 6930220 - Damu yako yenye baraka
4.Code 6930221- E Mungu mwenye haki
5.Code 6930222 - E mungu mwenye kweli
6.Code 6930224 - Enyi kundi
7.Code 6930225 - Fanyia Mungu kazi
8.Code 6930226 - Je umelisikia jina zuri
9.Code 6930227 - Kisima chema
10.Code 6930228 - Kuna mji huko juu
11.Code 6930229 - Maisha katika dunia
12.Code 6930230 - Matendo ya Mungu
13.Code 6930244 - Msifuni
14.Code 6930245 - Mwokozi wetu
15.Code 6930246 - Nchi nzuri yatungoja
16.Code 6930248 - Nilikwenda mbali
17.Code 6930249 - Pendo la Mungu
18.Code 6930250 - Roho yangu inaimba
19.Code 6930251 - Sawa na kisima
20.Code 6930252 - Siku moja mavuno
21.Code 6930253 - Tu watu huru
22.Code 6930254 - Tutazame kule
23.Code 6930255 - Uzima ninao
24.Code 6930256 - Uhesabu mibaraka
Amen 🙏
9
I like your songs am mambwe but I can understand a little bit of this language the spirit is working
21❤❤❤❤
Cool
Nyimbo zenu zina kubali cha Mungu zina mafuta nabarikiwa hadi nalia
Bwana yesu asifiwe
Amen
Munguweee biraryosh
NAWAOMBEA MUWE WASANII WAKUBWA DUNIANI!!MPATE MAISHA MAZURI SANA!MUNGU NAOMBA UWAINUE WATUMISHI WAKO ILI WASICHOKE KWANI WANAMOYO SANA
Imana ijye ibaha umugisha mwinshi cyaneeee kuko mudufasha kwegerana n'Imana kandi tubifurije kurushaho gutera imbere mubyo mukora byose
Who is here 2024?
❤I Here Watch Again and Again🎉 The Greace of Golgotha. Jesus Is LORD.
Imana ibahe umugisha bakozi b'Imana ntimukabure ku byiza biva mu kuboko kwiza kw'Imana 🤝"Ndabakunda"♥️♥️😍😍
Nukuri lmana ikwiriye kuririmbirwa iteka kuko ibyo idukorera nibyiza gusa 🙌🙌🙌🙌🙌
Bwana yesu asifiwe nyimbo zenu zina upako sana adi nasikia furaha tena zina niliza
Hallelujah!!! Neema yatosha
Kiswahili gospel songs for Africans and the world at large,,
Live long in God,
Much love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Amen amen mungu awabaliki
Ndabakunda cyaneeeee❤❤
Number 117
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Nilipofika Golgotha - When I arrived at Golgotha
nikaiona huko - I saw there
neema kubwa kama mto, - a great grace like a river,
neema ya ajabu. - a wonderful grace.
Neema ya Golgotha - The grace of Golgotha
ni kama bahari kubwa, - it is like a great sea,
neema tele na ya milele, - abundant and everlasting grace,
neema ya kutosha! - sufficient grace!
2
Nilipofika moyo wangu - When I arrived my heart
ulilemewa sana, - was very heavy
sikufaamu bado vema - I did not yet understand
neema yake kubwa. - His great grace.
3
Nilipoona kwamba Yesu - When I saw that Jesus
alichukua dhambi, - took away sin,
neema ikadhihirika, - grace appeared,
na moyo ukapona. - and the heart was healed.
4
Mbinguni nitakapofika, - When I get to heaven,
furaha itakuwa - happiness will be
kuimba juu ya neema - singing about grace
milele na milele. - forever and ever.
Amen
Thank you so much for the blessing even in the season when my saviour is hanging in the tree 😢😢
thanks for the lyrics
Be blessed family
Amina AMEN
Jina lake yesu tamu..nyimbo za tenzi..Naomba muimbe hiyo..
Neema tele na ya milele, I'm blessed much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
From Kenya tooo I'm completely blessed and touched by this songs,since 2 pm bn listening to this songs,was to attend a prayer meeting in our church but I missed,how I feel the vacuum of the holy spirit ant God in my life,may those songs come with revival in my life in Jesus mighty name 🙏
Ndabakunda. Murakajya mwijuru gusa
Nyimba zenu nzurisana kabisa zinaongeza rohomutakatifu
Imigisha myinshi
Asante Yes Kwa Golgotha....
Mubarikiwe saaana
Amen 🙏 amen 💖 Imana ibahumugisha
Amen amen amen 🥰🥰🥰
Amen❤❤❤❤❤🎉
Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mbalikiwe Sana kwanyimbo zuli mungu awatie ngunu
Jamn hiz nyimbo zinanibariku
🇰🇪tuko pamoja
Mbakunda byindani❤️❤️🥰💯💯💯💯💯💯💕💕💕💕💕
Mbarikiwe na muinuliwe....
nubwo imana yaba itabaho,these two pipo re happy
Yesu kote Duniani🕊🤝👏Yesu Juu Yesu Kila kitu🤝🕊YESU TOSHAA🕊🕊🙌
Hakika Yesu ndani ya yote God bless you
@HildaMacharia AMEN
I am in kenya i love that song
Neema ya Golgota ni kama bahari kubwa oh my my 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nazipenda nyimbo zenu
Yoo Murakoze cyane mukomereze aho Yesu abagure cyane rwose muduhaye pasaka namwe ibabere nzaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🫶🏼🫶🏼
Barikiwa sana
Nyimbo zenu zani bariki sana
Hallelujah!!! Dorcas never forgets her little Hymn book!!!❤️❤️❤️❤️❤️
natamani maisha yenu
Mungu awabariki na kuwalinda
Daaa!nawapenda tuu neema yake yatosha aamina
Je vous aime beaucoup.
Mukama abawe omukisa
Mungu awape maicha marefu yimbo zenu zinaticha chana
Neema ya Bwana izidi kuwa nanyi.
Wekeni nyimbo zenu audio mack jamani tunazidownload huku youtube sio kila muda mtu ana bando,, nyimbo zenu zinatia moyo sana🥰🙏🏻
ziko tubidy
@@Sylvia547 huu ni uimbaji tena ni biashara,kwa hiyo wakiweka ma audios,biashara itasimama
Tubidy utapata audio
Kweli Kabisa dada umenena ....I support you
Kweli dadaangu
May good continue blessing you
Add me as the 4th in the vocals😝😝🎤🎤
I love your songs❤
Amen amen Neema ya bwana ikatoshe.
Asanteni sana, kesha ilikuwa poa kabisa uko maximum miracle centre. Mungu awazindishie baraka
Many believers put aside this Grace and focus on self righteousness...such struggle with sin forever and shall enter hell easily while still shouting,"Praise Jesus..."
No matter how anointed you are,no matter how holy you think you are,you desperately need this Grace for you to see God..
There is more than casting demons and raising the dead,the more is in the grace...
I desperately need His grace..
Ephesians 2:8🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Uwishyigikiye agira ijambo
Amen Asante pappi clever & Dorcas kwa nyimbo za injili be blessed 🙏🙏🙏
Amen 🙏
Ndabakunda cyane muhabwe umugisha ni Imana
Muzashyireho number zanyu
Papi Clever holding Dorcas on the part saying "Mbinguni nitafika" is an assured signature that they will be in heaven ❤❤
Every woman needs husband like him, spiritual protector
How they motivate me.
Uganda 🇹🇿🇹🇿
I can stop crying while listening to your songs,mnanibariki sana,barikiweni saana,Neema ya Golgotha iwe nanyi daima.
Que Dieu vous bénisse abondamment fier de vous les amis ❤❤❤
Depuis la République démocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nashukuru sanaa
Aki nyimbo zenu inanifanya kuona Binguni nice and blsd song aki inanigusa ya dunia nimeiacha aki. Mungu awapee nguvu zaidi
Tumebarikiwa asanteni sana tunawapenda ❤
Mbarikiwe sana mnaimba kwa hisia like Ur now going to Heaven but still Heaven is our first ever destination.
Kumurimo w'imana kuraje ndabakunda.
Weah, how he's grabbing his wife that final stanza❤❤❤❤, kweli ni neema🙌🙌🙌🙏🏾🙏🏾, love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imana igibaha imigisha yamabara yose
Glory to Jesus
Pongezi sana nikiwa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
Been listening to your songs daily...I can feel the atmosphere change and my heart just sinks with humbleness. May Almighty God bless you abundantly. Listening from UK 🇬🇧
Me too😊
waaah! ni vizuri sana.
Amen amen mubarikiwe kbs neema ya Golgotha ❤
Nyimbo zenu zinatoa faraja, kuvutia na kufundisha nipo tanzania ila nyimbo zenu nazipenda sana nikija rwanda natamani niwaone
Golgotha grace...amazing grace enough
How i wish gospel singer's women can copy dressing code of this great Woman Dorcas, becouse many are lost showing off their shoulders, chest and thighs sometimes were left wondering do Musicians recognize Spirit of God or its just singing n singing.......
thanks a lot Dorcas you've really portrayed nice example of a great musician as a someone's Wife...
Kenyan diaspora we love you all may Allah protect and cover this union
❤
Neema tele na ya milele
Kamahutaki kufuata nyimbo hizi yamaanisha,hauna kiroho ndanimwako
Ruhanga abongere mikisa ..... you're a blessing to this generation
Thank you for bringing back a forgotten treasure - annointed hymns. God bless you.
Neema ya Golgotha. May God bless you.
May God bless this team ,na Mungu awainue juu in Jesus Christ's name!!
Aksanti sana kwa Kuni kubusha kwetu ,mungu amibariki saana n'a muhendeleye kutumikiya baba 🙏🙏🙏🙏🙏
Nawafuatilia sana kutoka Mozambique.
Ndabakunda bidasubirwmo kuburyo mbanumva arimwe Imana izakoresha mukuririmba yandirimbo itararirimbwa❤❤❤ God bless you knd never give up!
Nyimbo zenu zuri sana ,sibanduki kwa iii channel
Neema kubwa neema ya Golgota Mungu azidi kuwabariki
Inspired 🎵 🎶 🎵 🎶 🎵
Much love (KENYA
Mubarikiwe n'a bwana nyimbo hizi zinani bariki sana
God bless u all
Muzaturirimbire indirimbo 120
Mugushimisha muyiririmbe muri sebeni muzarebe apôtre sosthene
Ameeen ameeen Yesu Kristo atunze daima NYIMBO HIZI NI ASILI YANGU TOKA UTOTONI NAMTUKUZA KRISTO KWA AJILI YENU
Neema ya Golgotha yanitosha,Imana ibahe ibyo mwifuza,kndi turabakunda
Soul touching song's watumishi..Naomba muimbe jina lake yesu tamu..nyimbo za tennis....
Nimeona neema ya Golgotha....Today after undergoing a successful head surgery....Kweli ni neema ya kutosha..
Thank you God ...
God bless you.
Am from Zambia may almighty God be with you guys nothing can separate you from the love of God 🙏🙏🙏🙏
Nawapenda Sana blessings
Very good songs.
Am blessed
Imana ibahe umugisha
Bwana Yesu Asifiwe
Imana ijye ibaha umugisha bakozi b'IMANA