SITASUMBUKA 1 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima - I will not be troubled because God always takes care of me anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo. - takes my burdens at all times of movement Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, - I have not seen another day, and yesterday is gone na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. - and today God knows all the needs I have. 2 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. -I will not be troubled because God is my real father Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. - He can't forget me even if he hides 3 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, - I will not be troubled because God satisfies me with grace anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. - gives me all that is good for my soul and body 4 Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga - He clothes all the flowers, And all the birds of the air wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. - receive their food without fields and barns 5 Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. - I rejoice in the Lord, And like a bird I sing Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza. - I know that my father always takes care of me
On behalf of my ancestors, family, friends, church mates, foregners and my wicked landlord i would like to say that this is the essence of true worship, the kind of song which even the children yet unborn shall listen to 🙄🙄 can someone like my comment i wanna come back 🙄🙄
🥰 my favorite . for the last 2 weeks i have been going through a very difficult time......the song encouraged me and now i have peace that only can give. This is my song for 2024. SITASUMBUKA KABISA
Gloire soit rendu qu'a notre seigneur et sauveur Jésus-Christ. Votre soeur en Christ depuis likasi (RDC) ❤❤🎼🎼🎼🎹🎹🎹🎷🎷🎷🎺🎺🎺🎻🎻🎸🎸🪕🪕🌌🌃🌌🌅🌅🏞🏞🏞🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
Am a Kenyan.. This guys have really changed my life...when I joined cumpus. .I get introduced to laxerious life...nilipokuws nikiscroll my phone I heard the song inasema ameniweka uhuru and I decided to change till today...other wise be blessed you have really changed my life❤
Ooh ...very humbling,..may God continue using u to heal many souls through your music ministry ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Us Kenyans we gather and show our love and support 💕
Murakoze kubw'iyo ndirimbo. Nari narayishatse narayibuze. Yaterwaga n'uwitwaga Aimé Kayitana Mashimango kwa muganga i Nyangezi za 94 . Nayikundaga nta n,i jambo na rimwe nsobanukiwemo.
My people ❤my family 🙏my parents in Rwanda am Happy and blessed by this song so much. It’s just amaze my heart how you all sing from bottom of your hearts. We love you so much. We love you so much
SITASUMBUKA 🙏 🙏🙏 sijaiona nyingine siku na Jana imetoweka na Leo mungu anasijuwa hitaji zote ninazo,,,,,,Na Leo mungu anasijua zote ninazo😢😢😢 ,,, Blessed and more touching song ...lord through this song restore me back 🙏🙏🤷
You are annointed for such a time like this. In these tough times full of trouble, hardships and sorrow, your music is soothing and comfort to our souls! Mubarikiwe! ❣
1 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo. Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. 2 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. 3 Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. 4 Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. 5 Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza.
Bonjour vraiment vos chansons me va droit au cœur malgré que je ne comprends pas votre langue je vous suit depuis Burkina Faso que dieu étend vos limite qu'un jour on se voit vraiment vous m'inspire beaucoup
SITASUMBUKA
1
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima - I will not be troubled because God always takes care of me
anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo. - takes my burdens at all times of movement
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, - I have not seen another day, and yesterday is gone
na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. - and today God knows all the needs I have.
2
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. -I will not be troubled because God is my real father
Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. - He can't forget me even if he hides
3
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, - I will not be troubled because God satisfies me with grace
anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. - gives me all that is good for my soul and body
4
Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga - He clothes all the flowers, And all the birds of the air
wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. - receive their food without fields and barns
5
Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. - I rejoice in the Lord, And like a bird I sing
Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza. - I know that my father always takes care of me
Umuteguro wonyene mwakoze untey emotion
❤
Ndabakunda muzabone ijuru
Nice song Ur worships it's prayers too
Trrrgtegex that 😢😢 🎉
?&¢;-+!$11510-7/771vpk lj you I'm so
Fellow Kenyans let's gather here to show love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Rwanda 👏👏👏👏
Tume fika
Big tune🎉
❤❤❤❤❤❤
Y he huhujjjjip0,
In n junkyardb hmm jump in @@mercykibunja9036
❤❤❤
no luxuries, no filters, just God's word ministered professionally,...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Am a Kenyan and can't get enough of your composition,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pia mimi
From Kenya 🇰🇪 show some Love ♥️ ♥️♥️
On behalf of my ancestors, family, friends, church mates, foregners and my wicked landlord i would like to say that this is the essence of true worship, the kind of song which even the children yet unborn shall listen to 🙄🙄 can someone like my comment i wanna come back 🙄🙄
Wicked landlord😂😂😂 eeiih
😂😂😂
🥰 my favorite . for the last 2 weeks i have been going through a very difficult time......the song encouraged me and now i have peace that only can give. This is my song for 2024. SITASUMBUKA KABISA
Peace that only God can give
Mungu awabariki hizi ni nyimbo za faraja. Niko butembo DRC
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 waiting to worship songs 🙏🙏🙏🙏
Another hit, again no filters no fake wigs and borrowed cars. you guys never stop to amaze me. love u!
No palatial houses and changing clothes not forgetting weird dancing styles.
I thought I was the only one who hated that behavior
Very true 💪
❤❤❤❤❤
@@mujechi
Tuko Wengi
Kenyans we gather here to show love 💕
My favourite song !
Just the word ' na Leo mungu anazijua itaji zote ninazo '.. a very encouraging one..
Wow ! simplicity makes it more sweeter,
Listening on repeat with 13million others from Kenya 🇰🇪
Kama nyimbo za mbinguni zitakuwa tamu hivi ,wacha nikae kwako yesu
Hallelujah Hallelujah 🙏
Amen🙏
Amina!
Hallelujah 🙌 Nafsi inatulia kwa ujumbe na mvuto wa wimbo wabarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏
Tukae kwa YESU mana niraha sana..hadi tunasahau magumu ya dunia hii..Nakupenda sana YESU❤❤❤
Haleluya,nabarikiwa sana na wimbo huu...hakika Sitasubuka kwa Mungu ni Baba yangu kabisa atanishibisha MEMA yoteee.❤❤
I think you guys mnapendwa sana Kenya🇰🇪 zaidi ya Tanzania 🇹🇿 tafuteni uraia wa Kenya Sasa
They are from Rwanda not Tanzania but for sure they dont have to change their Nationality we need to spread Love beyond boundaries @samuelthiga4776
We’re all citizens of heaven not here
Hawa sio watanzania ni wa Rwanda
Hawa wa Kenya kwenye Ulimwengu wa Kiroho ni tu Yesu aliwatuma mission mle.
Wanyarwanda siyo wa Tanzania
From kenya 🇰🇪 you bless our souls .... more inspiration .....❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuna vile nyimbo zenu zimeniingia kwa damu😊.Much love from 🇰🇪🇰🇪
Me too aky
Gloire soit rendu qu'a notre seigneur et sauveur Jésus-Christ. Votre soeur en Christ depuis likasi (RDC) ❤❤🎼🎼🎼🎹🎹🎹🎷🎷🎷🎺🎺🎺🎻🎻🎸🎸🪕🪕🌌🌃🌌🌅🌅🏞🏞🏞🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱
Kenyans in the house 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sending Alot of love to your ministry
My fellow Kenyan lets welkam our own Lemayain Papi Clever, kaikai Dorcas and Lemein Merci from Maasai land in Kenya🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂 good job guys
😄 🤣
Hahahaha.
Rwandese also wanaoenda ngombe.
Ni watu wa Ngombe
😂 hii imeweza❤❤❤
Nawapenda sana kabisa. Aksanti kwa baraka za bubujiko la moyo. Mungu awa jalize tena na zaidi naku wabariki sana. From Bukavu, RDC
Haki mungu awabariki nyimbo zenu yaani zimeniingia kwa damu
Am a Kenyan..
This guys have really changed my life...when I joined cumpus. .I get introduced to laxerious life...nilipokuws nikiscroll my phone I heard the song inasema ameniweka uhuru and I decided to change till today...other wise be blessed you have really changed my life❤
Glory to God almighty
Listening from. Malawi... love you guys.. keep preaching
From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 l love ❤❤❤you guyz l always get motivated with your songs kama nyimbo za mungu ni nzuri hivi mambo ya ulimwengu👋👋👋
Feeling blessed by the beautiful song this morning from Nairobi Kenya. Happy Sabbath.
Thank you for allowing GOD to minister to the world through this encouraging music. 🇰🇪🇱🇧
My favorite song ❤ much love from 🇰🇪🇰🇪
Comment section Kenyans 🇰🇪🇰🇪
Sharing this song Kenyans 🇰🇪🇰🇪
Proudly Kenyan 🇰🇪🇰🇪 💪💪
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 to the world 🌎 🌍
May God bless Kenya 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Sitasumbuka Mungu unajua hitaji zote ninazo 🙏
Beautiful Song
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu alishukisha neema 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
Wow nice song ,, Mungu anajua mahitaji yangu. Am praying to God one day i become a massager to blessed others 🤲
Continue praying God is faithful Thank you
Imana ikomeze ibanzigamire bana banjye❤❤❤❤ mukomeze mwubake imitima ya benshi
Rwanda 🇷🇼 is blessed ❤
Kwanini tujisumbuwe na Yesu anajuwa itaji zote tunazo wandugu
Amen 🙏
True God knows all our needs,,, such a blessing song,,,,be blessed.much love from this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah tunawapenda sana love from 🇧🇮
Waow what a song, exactly what i wanted to hear this Saturday morning,feeling uplifted.
Be blessed,mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Not yet a million views? Let me change that...
Someone bless my comment ❤❤❤
Ooh ...very humbling,..may God continue using u to heal many souls through your music ministry ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Us Kenyans we gather and show our love and support 💕
dah nawapenda sana na mungu awazidishie kwa kila kitu❤❤🎉
Wow, such blessing song this morning, thank you papi and dorcas 🥰🥰🥰🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Always blessed by your songs ..SITASUMBUKA
From Kenya 🇰🇪 watching from Saudi Arabia
My favourite song,,,,hakuna kusumbuka tena,,,mbinguni raha
Murakoze kubw'iyo ndirimbo.
Nari narayishatse narayibuze.
Yaterwaga n'uwitwaga Aimé Kayitana Mashimango kwa muganga i Nyangezi za 94 . Nayikundaga nta n,i jambo na rimwe nsobanukiwemo.
Asante sana nyimbo za mungu ni nzuri sana mungu awabariki sana nawapenda sana
MUNGU awabariki sana watumishi Kweli tunafarijika na kuhuwishwa Kwa upya.
Kenya loves you. We embrace and worship together.
From Burundi but now 🇿🇦 P &D we love you 😅Turabakunda kandi turabishimiye , may lord protects you Against
Rwanda iko vizuri kama nchi za Scandinavia 🎉❤❤❤🎉
***God bless you****
Kenyan in Washington, USA. Your big fun❤
Much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless you great ministers
My people ❤my family 🙏my parents in Rwanda am Happy and blessed by this song so much. It’s just amaze my heart how you all sing from bottom of your hearts. We love you so much. We love you so much
Haleluuy
Nawependa sanaaa
Am a Nigerian, dou I don't understand d songs, but they keep ministering to my soul.
Ameen, Nigerians also hv good song bt we can't understand the language
The lyrics has been translated from Swahili to English check the pinned comment in the comments section
They have English translation
team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
SITASUMBUKA 🙏 🙏🙏 sijaiona nyingine siku na Jana imetoweka na Leo mungu anasijuwa hitaji zote ninazo,,,,,,Na Leo mungu anasijua zote ninazo😢😢😢 ,,, Blessed and more touching song ...lord through this song restore me back 🙏🙏🤷
Na leo mungu anazijuwa itaji zote ni nazo Amen Amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Ndabakunda cyanee gusa Imana izabahe ijuru ❤ ndabona mwageze ahantu hataba marariya babahe amata muri mfura❤❤❤❤
Kumungambi w' Imana byose birashoboka kdi mukomereze aho ninabapenda Sanaa ❤❤❤❤
Kuko mukora kumitima yabenshi
Glory, Hallelujah. The just lives by faith.
Thanks alot beloved family you are a great blessing to our world.
Shabbat Shalom from 🇰🇪🙏🙏
Imana ishimwe
From kenya 🇰🇪 eagerly waiting ✋️
Sitasumbuka tena maishani mwangu sababu huyu ementoa theater na sasa mko mzima
What a beautiful song that ministers to the inner spirit ❤ may God continue to bless you servants of God. Kenya we adore you sana
indirimbo zanyu zambereye itabaza rimurikira mugitondo,kumugoroba ,kumanywa na nijoro Imana Rugira ibagaragire
Hallelujah 🙌 Mungu wajua hitaji zangu zote
AMEN AMEN MBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU KWA NYIMBO ZURI ZA TENZI FROM 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kweli anazijuwa nimewewa neema jioni ya leo uku goma❤
Almighty God is my Father, I will never lack anything.
Mungu anishibisha rehema.mungu ajua hitaji zote ninazo.alleluya mungu wangu.keep going watu wa mu ngu this the gospel we need
Dr. Zack from Atlanta GA USA. You guys are a blessing to us all. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Oooh na Jana imetoweka ! Amen 🙏🏽 ! Love kutoka hapa hapa Rwanda 🇷🇼
Mungu hewezi nisahau mimi from congo 🇨🇩
Jana imetoweka...Mungu anajua itaji zote zangu.I trust God .God bless you from Kenya
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni Baba yangu kabisa❤
nyimbo za wokovu...Sifa kwa Mungu wetu...aksanti mu barikiwe kwa utele
Mungu azid Kuwapa nguvu nyimbo zenu zina ni bariki🙏🙏🎉🎉❤️❤️❤️
🇧🇮🇧🇮 From Burundi mwandirimbiye indirimbo yanje ndayikunda numutima wanje wose Yesu abakomeze courage ❤❤❤❤❤❤😂
Swahili: Mungu asifiwe kwa maana yeye ndiye anaye zijuwa itaji zetu.
Kinyrwanda: imana ishimwe kuko niyo izi ibyifuzo byacu.
Mungu awabariki.
Mungu awabariki ni mimi dada Nicole Niko apa luanda Angola
Na Leo MUNGU Wangu anazijuwa hitajii ninazo🙏🙏🙏
Amen aleluya mwinbo muzuri sana que Dieu vous bénisse richement 👏👏👏❤
The passion you guys sing with may God preserve you
Turayitegereje rwose knd turabakunda🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏
You are annointed for such a time like this. In these tough times full of trouble, hardships and sorrow, your music is soothing and comfort to our souls! Mubarikiwe! ❣
I cant get tired listening this song💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥waiting you came back Kenya JCM
Wau always blessing nice voice nice words ..mungu asifiwe
1
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo.
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo.
2
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha.
3
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili.
4
Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala.
5
Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza.
Nimebarikiwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏sitasumbuka tena Jehovah
From Kenya.Your songs are nourishing
sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni Baba Yangu
Mungu azijuwa hitaji zote. Lvu❤️❤️
Belle louange ❤. Soyez bénis frères et sœurs ❤❤❤❤❤
Amen Amen Mungu awabariki sana ninapo sikiza nyimbo zenu hua zaniinua kiroho ❤❤ from Kenyan
Wao,,,sitasumbuka kwa kuwa bwana anasijua hitaji zangu zote,,,,Asante sana mungu
Kweli sitasumbuka kwa kua mungu anajua hitaji zote ninazo.
Feeling blessed 🙏🙏🙏 more 💞💞💞❤ from Kenya 🇰🇪
I can't express what I'am feeling about this hot vibes only our heavenly father knows. Much love from 🇰🇪 🇰🇪 😊
olalaa mungu hawabaliki sana mukazobura ijuru nobabara cane
❤❤❤ 🙏🙏🙏🙏 lmana ikomeze kubagirira neza nshuti zimana
VIAN Kampala Uganda, hii nyimbo imenijenga kwamaombi yangu
Bonjour vraiment vos chansons me va droit au cœur malgré que je ne comprends pas votre langue je vous suit depuis Burkina Faso que dieu étend vos limite qu'un jour on se voit vraiment vous m'inspire beaucoup
Shukurani zote zinarudi kwake mungu mbinguni pokeeni shukrani kutoka kenya