Mkasa mzima wa mashabiki wa Yanga kufanyiwa vurugu DR Congo dhidi ya TP Mazembe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 19 днів тому

    Poleni sana ndugu zetu. Kama wamechana bendera ya nchi ni kuikosea nchi. Nchi ya kongo waombe radhi na fidia kwa walioumizwa na kuibiwa. Wahache uhuni na ushamba.

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 19 днів тому

    Poleni sn na asanteni kwa ushauri wenu

  • @kedmonmpangala2294
    @kedmonmpangala2294 19 днів тому

    Poleni sana

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 19 днів тому

    Dah polen san

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 18 днів тому

    Ubaya ubaya tuu, hakuna kulipa wema zama hizi zimebadilika. Wao wamemwaga Mboga sisi tutamwaga Ugali.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 8 днів тому

    Hivi vitu kwa nini ubalozi uko kimya? Hivi na sisi tukifanya kama wao si ndio amanj iinatoweka kati ya nchi?

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 19 днів тому +1

    Yaani hao wakija viti vyao vipakwe upupu hy itakuwa adhabu tosha

    • @kabujeasukile5462
      @kabujeasukile5462 19 днів тому

      Wakongo hawakai kwenye viti wanashangilia mwanzo mwisho😁😁😁

  • @saimontipaa6887
    @saimontipaa6887 19 днів тому +1

    kawaida ya wakongo

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 17 днів тому

    Iyo ndio congo tukiwaambia madereva wanapata shida mjue nchi wanaiweza wenyewe

  • @AlfredBowa-b8r
    @AlfredBowa-b8r 19 днів тому

    Ndundu

  • @Sey-n3n
    @Sey-n3n 19 днів тому

    Nous vous demandons pardons pour tout ce qui vous est arrivé. Au Congo nous avons une tribu qui est très problématique, dont je ne peux pas citer le nom ici, cette tribu est très connu partout au Congo pour des actes des vandalisme et des malfaisance. Malheureusement ils sont remplis à Lubumbashi et à Kolwezi. Est-ce que tous les Congolais sont comme ça, non. La faute est aussi aux autorités qui prennent tout à la légère. C'est inacceptable, et c'est une erreur grave, on espère s'améliore pour la prochaine fois.

  • @MustaphaJaffary
    @MustaphaJaffary 18 днів тому

    Ngoja waje kwetu, kisasi ni haki