🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 9 - JULY 11
Вставка
- Опубліковано 10 лип 2024
- 🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 9 - JULY 11
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Mm np Belgium nimpenzi sn wa simulizi za kweli na nazipata vzr sn update asante sn dd vero
Mungu nusuru vizazi vyetu kama Eli hakuna kitu amekosa malezi pesa vyote kavipata lkn wapi ameishia tuombee saaana watoto wetu 🫠
Dad Veronica wew ni mzur sana nakufuatilia kila siku mm rehema mollel na kwa kweli simulizi yako yanijenga kwa kweli nakushukur sana dada yangu
Eli kweli halitoka family ya kitajiri answaaaa ndomana alilelewa km mapumbu,milion 2 siku 3 imeisha nawe ni mwanafunzi mh💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔🙌
A wise man once said that nanukuu ““Hard times create strong men, strong men create good times, good times create weak men, and weak men create hard times. Mwisho wa kunukuu
Toka juzi Redio yenu Kweny Azam mbn haikamati daa
Mungu asaidie kizazi chetu jamani daahh ni uzuni kwakweli
Ni huzuni kwa kweli, uuuwiiii
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
jmni Elibariki, unatuliza wenzio huku Mungu wangu..Jmni huyo dada uliekutana nae jmni kijana wa watu 😨😰😰😰😰 eii kijana wa Baba Elibariki wa watu jmni Ibilisi akaenda mkaanga kweli...Aisee Elly siutuambie kama ulipona jmni?
we nae kuvumilia huwezi. sasa akwambie kama alipona. angekuwa hajapona. angekuja. kuongea hapo na sisi. tukasikia kupitia veronica. sema hivyo vitu vilimuasili kwa kiasi kikubwa sana.
Kweli nimeamini kisichoriziki hakiliki
Huyo kaka nae yaan mpka baba ake anafariki bila kujua mwanae anavuta madaw ya kulevya et jamn eee
Ebu iishe tu maana
Sasa uyu kaka ilibido wamchukue kinguvu wampeleke soba
Kwakweli iishe hii🙌 inaboaaa
Hi👋Dada Vero naitwa iman Nina simulizi yangu vp nakupataj? Na nipo Tabora Kwa sasa
Huyo kaka naye alikosea sana kukaa kimya yeye pia alisababisha elly kufikia hapo angeweka mambo wazi asingefkia huku tujifunze kutokuficha maovu
Huyo kaka aliogopa uhasama ndo maana alikuwa anamtaka eli mwenyewe aseme
@@ScholarPeterkabisa aliogopa uadui😢😢😢ishanikuta hii unaficha kitu badae unaonekana wewe ndio m'baya
Kumbe Eli mpuuzi ivyo?, aise.
Habar Vero naitwa festo Toka mwanza
Festo karibu
Kumbe wa Mwanza tuko wengi😁
Hivi ukikosa madawa ndo unasinzia au ukishatumia
Ukitumia unasinzia
@@SabrinaIbrahim-jl5um ooh sawa
mmmh. we kunaualakini 🤣🤣🤣🤣🤣 litakukuta jambo zito
Sikio la kufa.
😂😂😂