Ukweli na uongo kamwe haviwezi kaa sehem moja, sawa na maji na mafuta hata siku moja haviwezi kaa sehem moja!! Dunia ya sasa si ile ya Afghanistan na Iraq au Libya
Me nakumbuka wakati wa operation tuliona wakitafuta mabomu yaliyo tegwa je ni nani aliye yatega??? Hawa nato ndio chanzo na hiyo ndi maana ya operation
Kumbukumbu ya mwanzo kabisa wakati wa kuanza operation ya mpaka kati ya urusi na Ukraine na mrusi alikuta mabomu je mtegaji ni nani????nipeni jibu hapoo
Uraya wamezoea vitu vya Kona Kona wameona wamtumie zelenski kuibomoa urusi ili wachukue mali za bule bule maana urusi anamali nyingi na Hana mambo ya Kona Kona mkisainiana biashara mnafanya biashara kweli sio hao ulaya mifumo yao sio ya kutuinua Africa kiuchumi isipokua kutunyonya angalia mikopo ya mabenk sio yakumuinua mwananchi msipokua kumumiza kabisa yote hii mifumo yakutokea huko
Wengi tu wanamkubali PUTIN Ila wanakificha 😅😅😅 nawatasema mpaka waseme #russia #africa.... Isnt is fault is BORIS JOHNSON who provoking this WAR we know the true
Hata huyo mkosoaji anaongea hamalizi anapuliza na kung'ata sio kwamba urusi 🇷🇺 ilikiwa na kosa kuivmia Ukraine 🇺🇦 urusi 🇷🇺 alienda kuwakomboa warusi wanaongea kirusi ila alivyo sema kwamba NATO ndio ilichochea vita na ndoo Bado inachochea Yuko sahihi
Magharibi wameumbuka walijifanya sana wanatetea uhuru wa maoni, kumbe wanasema wengine ili wajue ya webgine sasa zamu yao nao wawaache watu watoe maoni yao tuwajue nao walivyo wasimtishe
@@djsma255 fanya kazi mtegemee mungu tu.unakipaji kikubwa Sana na una akili kubwa mno kwenye uchambuzi mm nakufatilia Sana Dj muda mrefu tu Hawa wengine juzi tu ndo wameanza kukufahamu.na ndio Mana Wana kuattack sana.wachambuzi n wengi TZ lkn km serekali inatoa tuzo kwenye wachambuzi 10, Wallahi DJ sma na wewe unastahiki..Dj sma mm na miss Sana harakati zako vile ukisema nilikua Kenya kesho nitakuja Senegal kwasbb y kushare mawazo na watu na kutafuta habari pia za kina hii Ina nifanya hata mm nielewe kua life Ni kupambana One day naweza nikafanikiwa.so!! Unatufunza mengi tu DJ.but majitu yasiyo challenge akili yanataka kukurejesha nyuma inaumiza sana..Ila one day watakuelewa ingawaje wao humu ndo the first kununua bando na kusikikiza taarifa za SNS..pig up DJ sma sky Ally n frenk good jop under leader DJ sma.
Kaka hawangilii chanzo chanzo wanakianzisha wao ukilipiza wewe unakua mwenye hatia umesahau chanzo cha mauji ya rwanda alieanzisha yukoadarakani tena anaendeleza ushenzi kwa jirani yake alielipiza alihukumiwa
Rabda ujui tu bro mimi ninajua cna cku moja nipe nafasi nikupe story kwanini putin kuivamia Ukraine na sio urusi kuivamia Ukraine hapa kuna vitu viwili tofauti pili uyo kasuku pia anatengeneza njia za siasa tramp ni atali cna anaweza kuigawanya america sio nato tu
Mbona unadandia treni sio Marekani bali mlengo au sera za mambo ya nje ya Chama au uongo I wa Fulani ndio mbaya kama ni Marekani mbona Trump alikuwa fresh tu na huyo Putin ila Obama na Biden ndio wamezingua halafu kama Marekani alikosea kuvamia Iraq,Libya,Afghans basi hata Urusi walikosea pia maana isiwe Mkuki kwa nguruwe
@@radjamtaki5597 nafuatilia sana kama hujui au hunijui maana Marekani aliwavamia wote hao kwa sababu ya kuvunja mikataba ya uchimbaji wa mafuta walioita ni yakinyonyaji ambayo walitia saini na serekali zao wenyewe wakati wauongozi wa watu waliotangulia ambayo waliona sio unyinyaji wakapata walichotaka yaani wakati una njaa unahitaji kushiba ukishashiba unataka mengi sasa ni bora ungekaza tangu mwanzo ikaingia mkataba mzuri kuliko kufanya ujanja ujanja kama wenzao Saudia,Kuwait,Jordan nk
Babu wewe Sky na Dj smaa, mmetawaliwa na chuki but the truth ni kwamba hapo akili yenu inaishia watu walikuepo miaka 50 ilopita. Dj smaa nakurudilia ukiona ADUI yako anakusifu jua ..., kaona udhaifu wako, Mark my words.
😂 Kuna watu wagumu kuelewa. Din inahusiana na Nini kwenye madini ambayo hujawai PATA popote Toka uzaliwe elewa kuwa smaaa nachukua nafasi pia kufundisha. Kwa upande wapili hata kama mtu hajaenda mskitn au kanisan. Wapo wanaojifunza kitu wew huku sio mahali Pako 😂😂 dj smaa pmj kwaelmu
Ww unajua maaana ya kuegemea kaegemea wapi apo na wakat anachambua interview au ayo maneno anayotafsiri ni katunga kweli walimu wana tabu kama mwanafunzi ndo yuko hivi unaweza ukampiga shoka dara sani
Asante sana sky na dj smaa the best channel
Nilikuwa simpendi Farage kwa kauli zake za ubaguzi, lakini katika hili amesana ukweli, western wamem provoke Putin, haina ubishi.
SNS to the world🎉...Kweli huyu DJ SMAA kiboko
Baada ya crown media ninayoipenda ni Sns
Msema kweli kila siku atapingwa na Marekani na Ulaya
Exactly
❤❤❤kasema kweli kabisa na maisha yake yapo hatarini mungu amsimamie❤
Uko sahih mzee
Wapo wanamkubalu putin ata uko magharibi na marekan
MWANETU DJ SMA THE GENIUS MAN
asante sana dj 🇨🇦
Uwongo ndio Democrats ya Marekani na Nato.
Kama ccm hapa kwetu
SHIDA YA MASHOGA UKIONGEA UKWELI APOAPO UMEGEUKA ADUI KWANI WALIZOEA KUUDANGANYA ULIMWENGU
NDIOOO
Kabisa
😊
Nimekubali bj sma
Hatari sana
Big up SNS
Siku zote ukweli watu hatuupendi😢
Sns ni number one
💯💯💯💯💯💯
bro sky tunashukulu kwa kuweka vjana wajuz ktka jukwa la siasa za dunia ni jambo kubwa xana lakupongwe mimi napenda wanavyo tofautiana mitazamo
Magharibi c waongo na propaganda za media ....Uongo ni dalili ya siku za mwisho....
That is the reality everybody know
Yupo sahihi
Alooo nyie watu acheni tyuu niwaombee kwa mungu maana Sina feza ila yooh❤ mnanikisha sana
Ukweli na uongo kamwe haviwezi kaa sehem moja, sawa na maji na mafuta hata siku moja haviwezi kaa sehem moja!! Dunia ya sasa si ile ya Afghanistan na Iraq au Libya
Ingekuwa afrika wangeingia na na viatu
The man has said the truth. Anyway nation kin could not allow that
Sma kama kawaida yako, Facts na logic
Yupo sahii
Asiofaa kafaaaaa 😂❤❤❤.
Wasiemuhitaji . Wamemuhitajii😅
Kizi mkazi😅😅😅
Bint yangu
❤❤❤❤
Please kindly bring discussion on Vietnam war
Me nakumbuka wakati wa operation tuliona wakitafuta mabomu yaliyo tegwa je ni nani aliye yatega??? Hawa nato ndio chanzo na hiyo ndi maana ya operation
Smaaa noma na bwana masubiiii wanatupa madin sanaaaa
Ukweli utabaki kuwa Ukweli, wanajikuta wanauongea bila kupenda
Km wanaupigia upatu ushoga hawawezi kua wakweli kwa jambo lolote wamagaribi watapinga chochote kinachoenda kinyume na matakwa yao
Bro tunaomba sitori zakenwa Kenya
Awa jamaa wanapaswa kujua uongo unakikomo chake😂 ila nimeenjoy sna wakipeana doz wenyew kwa wenyew kwanza
Putin point zinaongezeka hata wao wanamwelewa kwa kazi yake
Very true
Kumbukumbu ya mwanzo kabisa wakati wa kuanza operation ya mpaka kati ya urusi na Ukraine na mrusi alikuta mabomu je mtegaji ni nani????nipeni jibu hapoo
Hii vita hawaijuii, akili zao ni fupo sana kufikiria chanzo au. Watu wa na lengo gani kuanzisha hii vita.
Hata wakimkosoa kwa jaziba lakini meseji sent
Ukraine has Gold Haiti natural resources Gaza natural Gass..
Uraya wamezoea vitu vya Kona Kona wameona wamtumie zelenski kuibomoa urusi ili wachukue mali za bule bule maana urusi anamali nyingi na Hana mambo ya Kona Kona mkisainiana biashara mnafanya biashara kweli sio hao ulaya mifumo yao sio ya kutuinua Africa kiuchumi isipokua kutunyonya angalia mikopo ya mabenk sio yakumuinua mwananchi msipokua kumumiza kabisa yote hii mifumo yakutokea huko
Garage yupo VIZURI, Kama aliweza kutabiri vita Ukraine/urusi miaka 10 ikiyopita nikutokana na mwenendo wa EU NA NATO,
Kawapasua kwani hawajui waliyatimba wenyewe, acha putini awahangaishe
Tatizo la wazungu ukiwambia ukweli wanakuatack kwa matusi na kejeli hawana hoja. Putin hata sisi huku masikini tunamuelewa sana kuliko ulaya na Nato
Watu huwa hawapendi ukweli au kuambiwa ukweli
Kiukweli mchabuzi upo sahihi kabisa ugomvi huu unaendelenzwa na Mataifa ya maghalibi
Nigel faraj he man of true
But he is anti Muslims
Uraaaaaa
tunakuelewa mkuu
🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿👏
Best best
Wengi tu wanamkubali PUTIN Ila wanakificha 😅😅😅 nawatasema mpaka waseme #russia #africa.... Isnt is fault is BORIS JOHNSON who provoking this WAR we know the true
Hata huyo mkosoaji anaongea hamalizi anapuliza na kung'ata sio kwamba urusi 🇷🇺 ilikiwa na kosa kuivmia Ukraine 🇺🇦 urusi 🇷🇺 alienda kuwakomboa warusi wanaongea kirusi ila alivyo sema kwamba NATO ndio ilichochea vita na ndoo Bado inachochea Yuko sahihi
Ivi ni kweli madem wanapenda hela au sipendwi😢
Madem wala awaelewekagi wapo kama vibwengo tu😂😂.
Kwan weww huna ela
Adi Morgan kamshambulia
Wazee wa double standard 😂😂😂
Wakiambiwa ukweli wanaupinga miongoni mwao ni wao wanasema ukweli kisha wanatengwa na kuzushiwa kesi, mizengwe kibao km walivo ya kw Donald Trump
Wakwanza leo 😂
🎉
Fact 10:40
Sasa mim ninachojiulza kwann hio ukraine hawaiingizi NATO??
Hee wanajua mziki wa urusi ndg watagongwa vibaya sana
Mungu atawaanika watakuja kusema yote
Hata ashambuliwe ukweli umefika
Amesema ukwelii kbs yn ila lazima wamchukie kwasababu katowa kauli za ukwelii mtupu
Putin is master mind
Magharibi wameumbuka walijifanya sana wanatetea uhuru wa maoni, kumbe wanasema wengine ili wajue ya webgine sasa zamu yao nao wawaache watu watoe maoni yao tuwajue nao walivyo wasimtishe
Sasa wanaongea ukweli wenyewe
Mpaka mseme si Kaz tu Amna maneno Ni vitendo tu
Nchi za Ulaya zinamkubali huyu mwamba lakin wanamuogopa mmarekani tu. Na huyu wakimfukuza uengereza atakimbilia urusi.
Lete vitu dj sma qamekula za uso 😂😂😂😂😂
Uingo na hadaa ndio vinaongoza dunia
Wacha wamtukane anaongea ukweli kaamua kua mkweli bass
Asema kweli puten pekeyake ❤
DJ sma huna mbaya kila habari unayoitoa nondo.halafu nimekwambia achana na machawa na mashoga wanaotumwa kukupinga ili kukuchafua.sisi tutadeal nao
🤝
@@djsma255 fanya kazi mtegemee mungu tu.unakipaji kikubwa Sana na una akili kubwa mno kwenye uchambuzi mm nakufatilia Sana Dj muda mrefu tu Hawa wengine juzi tu ndo wameanza kukufahamu.na ndio Mana Wana kuattack sana.wachambuzi n wengi TZ lkn km serekali inatoa tuzo kwenye wachambuzi 10, Wallahi DJ sma na wewe unastahiki..Dj sma mm na miss Sana harakati zako vile ukisema nilikua Kenya kesho nitakuja Senegal kwasbb y kushare mawazo na watu na kutafuta habari pia za kina hii Ina nifanya hata mm nielewe kua life Ni kupambana One day naweza nikafanikiwa.so!! Unatufunza mengi tu DJ.but majitu yasiyo challenge akili yanataka kukurejesha nyuma inaumiza sana..Ila one day watakuelewa ingawaje wao humu ndo the first kununua bando na kusikikiza taarifa za SNS..pig up DJ sma sky Ally n frenk good jop under leader DJ sma.
Ukweli lazima usemwe from 🇧🇮💐🙏
WOMUHIRA❤🎉
Mpuuzi huyo
Mnaanza kuwakataa mashoga wenzenu
Kaka hawangilii chanzo chanzo wanakianzisha wao ukilipiza wewe unakua mwenye hatia umesahau chanzo cha mauji ya rwanda alieanzisha yukoadarakani tena anaendeleza ushenzi kwa jirani yake alielipiza alihukumiwa
Ushahidi na fact za SNS ndo utofauti wa yeye na wengine. Bro ile tunzo ulistahili kabisa
Unatoka Sana nje ya maada
Chambua hoja
MASHOGA MPO weng hahaha
Ww choko unaumia kwann usiende bbc
Putin uwe makini na mtu huyu asije kuwa ametumwa na NATO ikawa ni mbinu tu za kivira
Ukweli ndio uongo na Uongo ndio ukweli tuko katika akhiri zaman Dj Sma unajua ninachokisema
Rabda ujui tu bro mimi ninajua cna cku moja nipe nafasi nikupe story kwanini putin kuivamia Ukraine na sio urusi kuivamia Ukraine hapa kuna vitu viwili tofauti pili uyo kasuku pia anatengeneza njia za siasa tramp ni atali cna anaweza kuigawanya america sio nato tu
Ww unaongea nini mbona usomeki au ww choko
Na muuseme ukweli wa siasa za tz
Hawajipendi???? 😂😂
Wataanzia wapi tz nchi yetu ni kama kakakuona
Marekan ndio nchi yenye uongo
Mbona unadandia treni sio Marekani bali mlengo au sera za mambo ya nje ya Chama au uongo I wa Fulani ndio mbaya kama ni Marekani mbona Trump alikuwa fresh tu na huyo Putin ila Obama na Biden ndio wamezingua halafu kama Marekani alikosea kuvamia Iraq,Libya,Afghans basi hata Urusi walikosea pia maana isiwe Mkuki kwa nguruwe
Labda wew
@@mwlpierreunataka kusemaje labda????kuna watu mnahtaj elimu sana,jarbu kufatilia mambo vzur ndo uanze kutoa coment
N vibaraka wake
@@radjamtaki5597 nafuatilia sana kama hujui au hunijui maana Marekani aliwavamia wote hao kwa sababu ya kuvunja mikataba ya uchimbaji wa mafuta walioita ni yakinyonyaji ambayo walitia saini na serekali zao wenyewe wakati wauongozi wa watu waliotangulia ambayo waliona sio unyinyaji wakapata walichotaka yaani wakati una njaa unahitaji kushiba ukishashiba unataka mengi sasa ni bora ungekaza tangu mwanzo ikaingia mkataba mzuri kuliko kufanya ujanja ujanja kama wenzao Saudia,Kuwait,Jordan nk
Ukweli utabaki kua ukweli tu daima
Ushoga bhana sasahapo alichokosea nini? Marekani na NATO ndo wachokozi
Sio kweli hamsemi kweli mnaongelea kwa ushabiki...Eti fyuzi 😂😂😂
Toa ukweli wako wewe unataka tuwe mashoga au kwani umelazimishwa kufutilia Sns sikiliza BBC.
Pita kushoto we bado mpuuzi
Huez kuelimika hata ukielimishwa
Huez kutofautish ukwel upi na uongo ni upi pole san
Achana nae mmawia huyo kutoka msumbiji wagumu kuelewa😂😂😂
Ok,huenda fuse haisemi ukweli vp huyo mzungu naye?.Au nayy ni fuse?
Babu wewe Sky na Dj smaa, mmetawaliwa na chuki but the truth ni kwamba hapo akili yenu inaishia watu walikuepo miaka 50 ilopita.
Dj smaa nakurudilia ukiona ADUI yako anakusifu jua ..., kaona udhaifu wako, Mark my words.
Keep ur words....yangu yananitosha
@@djsma255 Usiogope kusema ukweli. Kwa nini unashangilia ujambazi wa Urusi?
We dj siku ukiacha na ww itikadi zako za kiisilam utaeleweka maana mchambuzi hua haegemei ww sio mwana siasa
utakuwa ulipata zero form 4 maana huelewi kitu 😂
Sasa udini gani na ww au ni akili huna
😂 Kuna watu wagumu kuelewa. Din inahusiana na Nini kwenye madini ambayo hujawai PATA popote Toka uzaliwe elewa kuwa smaaa nachukua nafasi pia kufundisha. Kwa upande wapili hata kama mtu hajaenda mskitn au kanisan. Wapo wanaojifunza kitu wew huku sio mahali Pako 😂😂 dj smaa pmj kwaelmu
Well said Jasta, nimekupenda bure 😊
Ww unajua maaana ya kuegemea kaegemea wapi apo na wakat anachambua interview au ayo maneno anayotafsiri ni katunga kweli walimu wana tabu kama mwanafunzi ndo yuko hivi unaweza ukampiga shoka dara sani
ukweli umesha fika,,wapinge wasipinge ukweli umewafikia
Ni kweli wao wamenchokoza russia
Hii channel imekuwa ya propaganda qmmk ila mjue tu 🦅🦅 tupo around for next 1000 years kenge nyie na kama sio shoga tuguse 😎
Bob hakuna wakumtisha hii dunia kama hutak pita hiv au shobo na sns😂😂😂😂😂😂
Mbona hueleweki kama popo
@@user-rt1wf6se5fkwani we shoga babu