God bless you Sheikh Izudin for your great teachings. Iam stark where you have reminded us that when God's Grace leaves us we are striped" naked"...this has pierced my heart ...God habe Mercy on me.
Shaykh Masha Allah Mawaida nzuri sana. Pale dakika 13:39 umeuliza Mustashrikina ni nani kwa kizungu. Wanaitwa Orientalist na Mulhidina ni Atheists. BarakAllahu Fikum Sidna.
Ama kweli wanaume nyie!! Sasa tusipo fanya kazi tutaishi vipi!? Waume wenyewe wa dunia ya sasa wanataka kuhudumiwa! Mmetugeuza wanawake kuwa wanaume! Yarabb tupe mwisho mwema in shaallah 🙏
Shukran mm nimesilim muda so mlefu namuomba mungu anipe mme mwema na mwenye hofu na mungu
Mwenyez mungu akujaalie mwenye kher nawee
Hata Mimi nataka nisilim na kufuata dini Kwa Imani, Inshallah mungu anisadie
A alaykum warahamtullah
Nipo mm
Nipo mm,
Asante Sana kwakutuelimisha shekhe Allah azidi kukuongoza
God bless you Sheikh Izudin for your great teachings. Iam stark where you have reminded us that when God's Grace leaves us we are striped" naked"...this has pierced my heart ...God habe Mercy on me.
Asalam aleikum sheikh, darasa zako kweli zaelimisha Sana haswa ss watu wakusilimu Allah akuzidishie, Naomba utuletee darasa Nakuru
Masha Allah
Ukumbusho mzuri MashaAllah
Allah akulipe kila la kheir Ameen 🍇🍇🍇
As salaam aleikum warahmatullah warakhaatu,,,Jazaqallah kheer,,,Rabaana akuzidishie umri uzidi kutupa nasakha,,,
AMEEN, YAA RABBIL ALAMEEN
Mashaallah nafatilia sana darasa zako allah akuzidishie uzidi tupa ukumbusho
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akubariki jazaka Allahu khaer
Mashaallah Sheikh twafurahi kwa darsa zako Allah akupe kheiri inshaallah.
Shaykh Masha Allah Mawaida nzuri sana.
Pale dakika 13:39 umeuliza Mustashrikina ni nani kwa kizungu. Wanaitwa Orientalist na Mulhidina ni Atheists.
BarakAllahu Fikum Sidna.
Maashaallah...jazaka llahu khayra shekhe Wang...Allah akulipe badali ya hay utufkshiayo inxhaallah..,!
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie
Mashaa Allah je shekh dar er salaam ushawai kuja nakama ushawai lina utakuja inshaa Allah,
a.aleikum kiswa adhwim mashallah ,wanawake hahaha kuinteract na wannaume
Shekhe barikiwa sana na MUNGU
😘😘😘😘😘😘
Ama kweli wanaume nyie!! Sasa tusipo fanya kazi tutaishi vipi!? Waume wenyewe wa dunia ya sasa wanataka kuhudumiwa! Mmetugeuza wanawake kuwa wanaume! Yarabb tupe mwisho mwema in shaallah 🙏
Siyo kila mwanaume ataishi kwa kumtegemea mwanamke naye atakua hajitambui wajibu wake
Ameen, yaa Rabbil Alameen. Mwenyezi Mungu yatusahilishie hapa duniani na atupe mema mazuri ya kutuzawadia Kesho Akhera. AMEEN, thumma AMEEN Yaa Rabbil Alameen
Aslm alkm ww..... Jazakallah kheir 🙏 shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde 🙏
Amin
Jazakallahu khaira
Jazzaka Allah kheir
Quran haijaacha kitu,huo ndio mfumo mzima wa maisha inavyotakiwa iwe.
Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Shukran jazakallahu kheiran
Aamiin
Masha Allah
Mashaallh
MaashAllah
Jazakaallah
ASSALAMU ALEIKUM MADA NZURI LAKINI MATANGAZO YANIKERA MAANA NIKISIKIZA MAWAIDHA HUWA NAOSHA VYOMBO AMA KUFUA
WAALEKUM SALAM, WAKEREKA KIVIPI AU NILIPI LILILOKUKERA
Nadhani n hizo advertises za UA-cam
Mashallah
Pao
Mashallah
Enxeodyl
Shukran
Subhanalha AlhahuAkbaru
Nakupenda sana Shehe maana unaongea fasaha.
Mashallah
Shekhe kiswahili kingine hatuelew wenzio
Nifanyeje unielewe?
Sheikh tafadhali naomba namba yako ya simu, shukran.
Shukraan sn
Na sayyidatul khadija alikua mfanyia biashara hapo likua ni vp ustd
abeid juma aliku na watumishi nahatamume saw alikua mtumishiwake,kablahajamuoa
alianza vipi
KHUTBA ZOTE NGONO TUUU
Kwa sababu twaishi ndani ya zinaa na ukweli ndio atutaki kuambiwa maana ndio tabia ime kithiri...
Maashallah
mungu atujaalie tudumu katika darsa hizi ss pamoja nawe ila hatujuwi wapi darsa hizi zinafanyika
Maashaallah...jazaka llahu khayra shekhe Wang...Allah akulipe badali ya hay utufkshiayo inxhaallah..,!
Masha Allah
Shukran
Mashaallah
MashaAllah jazakallahu kheir shekhe wetu
Ma shaa allah
Mashaallah
Shukran
Shukran