Kweli kweli madogo wametoka moja hadi mbili... wamepiga hatua hawajarudi nyuma. Hata sijaona makosa katika hii ngoma..DOGO KINDIMU ana hatari sana iyo sauti yake...
Kinachoniuma zaidi ni kutomuona KINYOKA MDIMU kwenye hii sanaa kwa sasa. Uyu kijana alikuwa na talanta na sauti. Anajiaminia sana hata kwenye video zake. Podo na Osama natumai mnaendelea vizuri na Aslay?????
These boys have demonstrated a unique talent and are using it to propagate critical social and moral issues in decent manner equivalent to their predisors like the late Baraka Mwinshehe, Remmy Ongala, Marejani Rajab etc. Shine on boys, the sky is your limit
Alieshiri kuipoteza hili kundi hatoona Pepo still 2023 bado nasubiri ngoma yenu nyingine 😢😢
Am here 2024. Wapy likes❤❤❤❤🎉🎉🎉
Tulio Kuja kuangalia hii Ngoma 2023..likes zenu muhimu hapa
Hawa madongo walipotelea wapi au wako shule @2024
2024 Bado nawapenda. Kama unapenda piga like
Jaman hili kundi limeishia wapi aisee , i miss them
Jamani 2024 hili group lingekuwa mbali jmn😮😮😮
Kama upo 2021 bado umekuja kuangalia hii ngoma nipe nusu like tu😁
2023 😁
Nakubali sana osama umewapoteza sana mwanangu
wazuri sana
kazi imekwenda shule wanangu nimekubali
2024 wapi?!
Fety n kijoka mdimu mko juu sanaaaa.......
vipaji vimesambalatishwa naviongoz wao
Kinyoko Mdimu was born to sing so talented.2019
He just doesn't have those people to push him
Kinyoka*
Yaan nyimbo nzur kweli yaan msikubali kuvunjwa kama yamoto
2021 am still in love with the song
84.33
Anatamba kwa rafiki zake hahaaa anasema gusa unase 👌nimekupenda bure fety
hapana chezea fety weweeeh
Kwan hii bendi iliendanga wapi jamen I love the songs 😢
Mko wap jmn
Fetty, Kinyoka and Osama are the best here
mungu awajaliye sababu muna kipaji sana.
No like to see and the things
Podo unavyo imba uki move salute mzee
kinyoka ndimu i loved his voice sana na podo
muko na sauti tamu nyote
Hapo umenena sis wajuu tu kwa sana wakaze buti
hi
amazing voices bbygal
+Dennis Nyoni hallo
Osama.pacha wa Aslay😍
Hatareeee #mfuko #Salamtmk
jaman zuber wanguuuu nakuona nakuona
kinyoka Adimu u r voice tho 😋 😋
Saf sana mdogoweto kinyoka
Kinyoka mdimu uko juu,all the best
kinyoka mdimu olyz your fan😘,podo ur talented bro,,,,,, well done guys
WHO'S LISTEN TO THIS SONG NOW 2022💕💕❣️❣️
Hiyo nyoka ni hatariiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kinyoka mdimu got the best voice 💯👌
Kweli kweli madogo wametoka moja hadi mbili... wamepiga hatua hawajarudi nyuma. Hata sijaona makosa katika hii ngoma..DOGO KINDIMU ana hatari sana iyo sauti yake...
Nipo hapa tena guys❤
2023 we still together with Yamoto Band
Mi nawapenda wotee ilaa osama,kijoka ,fetty,podo,zuberi, nawapenda sanaa sanaaa.siku zijazoo mtakuwa gumzoo😍😍💋
talent ipo ila mko wengi kiupande wangu mwaeza form band mbili kila moja akwanza kushine
2024
kinyoka mdimu big up.....
tamu zaidi.... saluti kwa wale wanaosapoti vijana wadogo...,. #naipenda_zaidi
Nenda msangaaaa ha ha haaa haoni umri anampenda mfuko ndo Kila kituuuuu
nice song well done SALAM TMK Mnakuja vizuri sana..........
Nice song 🔥🔥🔥
Fela ume peleka wapi watoto , mbona ni wasani wazuri
asante nimewakubari kinoma
iko poa sana iyo tena saaaana
from America nampenda kinyoka ndimu
2022♥️💃🔥🔥🔥🔥
kujifunza xo lazma uingie darasan kwan hata kusikiliza wimbo unaweza kujifunza na kubadilika. nice say guys.
Who still waching this aaaah bull it kills so awesome ewaaaah
Vipaji hivi vimekosa usimamizi2 dah!!
Good job Salam tmk
Kinachoniuma zaidi ni kutomuona KINYOKA MDIMU kwenye hii sanaa kwa sasa.
Uyu kijana alikuwa na talanta na sauti.
Anajiaminia sana hata kwenye video zake.
Podo na Osama natumai mnaendelea vizuri na Aslay?????
Uxhaur wangu kwa mr. Mkubwa
Awagawanye hawa watu watoke makundi mawili au matatu na yawe na majina tofaut
We wacha unataka waw kama ya moto band
wawaoooooo jamani mashallah mnzweza melodi zimekubali saaana bing up sana mkubwa na wanae
wazi kinyoka mdimu
i like the song
Kinyoka mdimu i like voice
Kinyoka mdimu umetisha kafunika
2/7/2024 tulikuwa huu mwaka njoooni
Pendeza sana madogoo
mhhh mfuko sio mzur ma dad zang
ebuye ebuye
nice song wooooh
Kinyoka mdimu nic sanaaaa
Wote mko powa mwezimungu awajalie mkubwa fela anyanyue vipaji vyenu
kinyokaa mdimu unajitaidi Sana Shem wangu
nice nawapenda sana mungu awasaendie mfike mbali
sikosi cku kabla sijaliona video ktoka mkumbwa na wanawe
jamani kweli wa mama kama hawa yamenitokea
Kinyoka mdimu utabaki keleleni popote ulipo, pili kijina changu kinapotea mamaaa
kweli huyu ni mkubwa na wanawe, big up kwa kuinua vipaji vya vijana
Kwan hawa vijana wapo wapi 2021 jaman kama umewamiss gonga like
eeh bhana ee,,wadogo wapya hawa,,imetulia sana
Wahawa ndiowatakiwa kuwa yamoto band
duuuh hatareeeeee nyimbo tam sana
2024 nipo naangalia
Safi xana kinyoka....sauti nzuri sana,258
napenda hii combination ya Podo na Osama when it comes to chorus jamaa munajua hasa sio kama muna bahatisha.......big up brothers
safi sana salamu TMk mnafanya vzur sanaaaa
nimetoka kenya na kuna madogo kama mimi wenye hio talanta
daah haka kawimbo bana! kazur sanaaa! nyie watoto mko vzur so siri!
This man kinyoka ako poa kwa move hadi kuimba. Ameweza!
Fetty
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kinyoka dogo yupo fresh sana sema ushauri aabadilishe jina
big up Vijana iko poa zaidi
VRAIMENT BELLE LA MUSIC TANZANIENNE
These boys have demonstrated a unique talent and are using it to propagate critical social and moral issues in decent manner equivalent to their predisors like the late Baraka Mwinshehe, Remmy Ongala, Marejani Rajab etc. Shine on boys, the sky is your limit
Nawakubali sna 🥰🥰🥰🥰
Kinyoka Mdimu a talent to watch fella Mola akupe Maisha Mkubwa
nice voices keep it up you will go far mungu awaongoze
Napenda sauti ya kijoka mdimu na osama
Je vous aime
Shirko kama k kazi safi aisee na vijana pia vocals wamesimama wima.
Nyimbo iko poa sana nliskia nkiwa 2016
jina langu lafifia gogogo lov u mdimu
osama upo vzr kaza buti as well as kinyoka mdimu podo and fety
Kinyoka mdimu upo vizuri
I liked the songs
podo Osama and kinyoka ndimu I love them