Sweden na Finland wakajiunga NATO cyo shida sna kwa urusi kma Ukraine kwasababu wapo karibun na Moscow, na kihiatoria huwez ivamia urusi bila kupitia Ukraine
Lengo ni suluhisho, pia urusi anafuata sana sharia ya vita, naanataka urafiki na nchi nyingi hvyo km atafanyahnyo atakosa ushawishi kwa nchi nyengine, hvyo lazma awe makini sana,
Ohoo 😂😂 KAMA HUJUI MAREKANI NDO ISRAELI MYAUDI ANADOMINATE ENEO LOLOTE ANALOISHI ndo maana Hitler akaanza kuwaua hadi wakaamua kurudi kwenye ardhi yao na kuwakuta wavamizi "wapalestina" wamejitaifishia ardhi ya Israeli BAADA YA KUVAMIWA KWENYE ARDHI YAO WALENDA NCHI KIBAO DUNIANI KAMA WAKIMBIZI WAKAISHI WAKASHIKA NYENZO KUU ZA UZALISHAJI NA UONGOZI KWA TAARIFA YAKO WATU KIBAO WAKUBWA DUNIANI KIUCHUMI NA KISIASA WANABACKGROUND YA KIYAHUDI Fuatilia 😅
Jamaa ajui analolijua na hayupo comfortable na anacho kisema kiukwel mambo yamebadilika zamani tuliaminishwa uongo sisi wa africa kwakua walijua niwavivu wakudadisi lkn saiz kila kitu kipo wazi msiwe wavivu wakujua mambo2 kama mkitaka kujua ukwel unaoendelea uko al jazila habar utaona kila kinachojiri
😂😂😂😂hapo ni jaba na mfuniko haujiulizi kwann marekani yenyewe kashindwa kuingia Iran katika nchi ambayo haija ingiliwa kijesh pale middle east ni Iran pekeyake Tazama Iraq sirya Lebanon zilivo fanywa na marekani yamebaki magofu tu Iran pekeyake ndo hajaguswa
Yuko vizuri ila iran kwa sasa anayo nyuklia, pia uslma wanamazaifu ni bin Adamu, hta hamasi wliwtka waisrael ndn ya Israeli bila yawaokujua au kuwa na taarifa yyte,
IRANI NI KUBWA LAKINI WATU WA IRANI HAWANAGA AKILI NDIYO MAANA IBRAHIM RAYS ALI LIPULIWA AKIWA KWENYE HELKOPTA MOSSAD HAO WALI LIPUA CHOPPER kama Irani inae akili na intelligence leteni stori hapa
Israel hakuna aliyemtoa JASHO labda HAMAS, lakini Kwa upande wa Hezbollah Israel wanapigwa kama ngoma na muda si mrefu wataondoa wanajeshi wao walioingia kule kusini mwa Lebanon Kwa sababu kila siku ripoti za vifo na majeruhi ni wengi SANA nadhani wataondoka Kwa AIBU kubwa sana
Huyu jamaa mchambuzi anataka kufanana na mchambuzi na mtaalamu mmoja wa masuala ya saikolojia na MIKAKATI anaitwa "Thabit mrangi" huyo Jamaa anajua sana masuala ya "geopolitics"🙌
@@paschalcharles3617 endelea ku-cope na propaganda Ila ka ukijua wote waliovitani na Israeli ni kilio tu Huko Iran wanaanza kushutumiana baada ya kiongozi wao aliekuwa analindwa kweli kuuawa miongoni mwao 😂
Madhara ya nyuklia ya sasa hivi hata angani yapo maana sumu itokanayo na hilo bomu inakwenda kuzuia mionzi ya jua kuifikia sawasawa dunia hivyo kufanya kiwango cha joto katika eneo husika kushuka
@abdillahiharuna0029 sasa hivi Google na UA-cam ni kila kitu please, andika ujumbe wako vizuri kwenye mtandao upate majibu zaidi na zaidi ya madhara ya hilo bomu yaani ni mengi kuliko
Hkk mungu wa Israel n mungu
Kutoka kwenye uchawa hadi kwenye media 🎉🎉🎉 congratulations Big Brother
Safi sana , mmekuja mkiwa mbadala wa waongo akina Ibrahim Rabi na wengine
Okay sawa Jordan
Baba levo nakupongeza kwahilii ila jalibu kutofautisha mavazi umevaa kama unaenda kwenye show ya music 😂😂😂
bi levo babaa💯
Kwenye hii chanel ya baba levo sibanduk mana anamzuka
Nawaelewa sana
Wewe mongo sawa urusi ana makombora za nyuklia 5869 Marekani ina 5269
Sweden na Finland wakajiunga NATO cyo shida sna kwa urusi kma Ukraine kwasababu wapo karibun na Moscow, na kihiatoria huwez ivamia urusi bila kupitia Ukraine
Yaani baba levo anavyo elezewa anasikia utamu kichizi😅😂😂😂
Iran ina nyuklia nyinyi kabla ya Israel. Iran hawawez kutoa siri zao
Lengo ni suluhisho, pia urusi anafuata sana sharia ya vita, naanataka urafiki na nchi nyingi hvyo km atafanyahnyo atakosa ushawishi kwa nchi nyengine, hvyo lazma awe makini sana,
Suala la sudan nimependa sana hongereni👍
Korea bado hawapelekwa uwanja wa mipigano
Baba levo improve muonekano wako. Unavaa kisanii kwenye habari muhimu
Irani ana nyukilia uwongo uwo uwongo uwo
Anayo Tena sio Moja karibu 8 Hadi 10. Fuatilia usiweke ushabiki kipaumbele
uyu boya ana jipya ajui chochote
Mna maneeeno miiingi lete store chap chap bablai
Baba levo amna kitu ye anapewa story anamzuka balaa😂😂😂. Ndio ukweri Iran hana bado nyukria
Anayo ila ni siri
Israel ni marekan na ndo wayahud wameshika marekan ndo wny viwanda
Ohoo 😂😂
KAMA HUJUI
MAREKANI NDO ISRAELI
MYAUDI ANADOMINATE ENEO LOLOTE ANALOISHI
ndo maana Hitler akaanza kuwaua hadi wakaamua kurudi kwenye ardhi yao na kuwakuta wavamizi "wapalestina" wamejitaifishia ardhi ya Israeli
BAADA YA KUVAMIWA KWENYE ARDHI YAO
WALENDA NCHI KIBAO DUNIANI KAMA WAKIMBIZI WAKAISHI WAKASHIKA NYENZO KUU ZA UZALISHAJI
NA UONGOZI
KWA TAARIFA YAKO WATU KIBAO WAKUBWA DUNIANI KIUCHUMI NA KISIASA WANABACKGROUND YA KIYAHUDI
Fuatilia 😅
Jamaa ajui analolijua na hayupo comfortable na anacho kisema kiukwel mambo yamebadilika zamani tuliaminishwa uongo sisi wa africa kwakua walijua niwavivu wakudadisi lkn saiz kila kitu kipo wazi msiwe wavivu wakujua mambo2 kama mkitaka kujua ukwel unaoendelea uko al jazila habar utaona kila kinachojiri
Al Jazeera wenyew ndio wale wale Kama BBC tu kwa mzungu. Nae yupo special for Arabic
😂😂😂😂hapo ni jaba na mfuniko haujiulizi kwann marekani yenyewe kashindwa kuingia Iran katika nchi ambayo haija ingiliwa kijesh pale middle east ni Iran pekeyake
Tazama Iraq sirya Lebanon zilivo fanywa na marekani yamebaki magofu tu
Iran pekeyake ndo hajaguswa
Marekani imebaki magofu 🤣🤣🤣
Huy mchambuzi anachambua kiwepesi sana hujazungumzia maslahi ya watu wa donbas
Yuko vizuri ila iran kwa sasa anayo nyuklia, pia uslma wanamazaifu ni bin Adamu, hta hamasi wliwtka waisrael ndn ya Israeli bila yawaokujua au kuwa na taarifa yyte,
IRANI NI KUBWA LAKINI WATU WA IRANI HAWANAGA AKILI NDIYO MAANA IBRAHIM RAYS ALI LIPULIWA AKIWA KWENYE HELKOPTA MOSSAD HAO WALI LIPUA CHOPPER kama Irani inae akili na intelligence leteni stori hapa
Baba levo mtafute mtu anaitwa Ally masubi anachambua hayo maswala sns jamaa anajua technologia ya kivita hatari.
Kabisa
😂😂PROPAGANDA TUPU HAKUNA MCHAMBUZI HAPO
ATASAPOTI WAISALMU WENZAKE
@@fredducaunthapana Masubi ni mchambuzi haswa hana upande Ndani yake . Ila Kuna mmoja anaitwa DjSmaaa ndio Amna kitu
@@GabrielSky64Ni mchambuzi mzuri sana, japo kuna wakati unajua kabisaa yupo upande gani
Kama Israel ingekuwaa inaukubwaa sawa na Iran ingekuwaa hbr nyingine,hata hivyo bado israel inawatoa jasho huko middle East😮
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, Nchi ngp zina msapoti Israeli?? Acha yy awe kama YY nchi ndg km Palestine ina mtoa kamasi
Israel hakuna aliyemtoa JASHO labda HAMAS, lakini Kwa upande wa Hezbollah Israel wanapigwa kama ngoma na muda si mrefu wataondoa wanajeshi wao walioingia kule kusini mwa Lebanon Kwa sababu kila siku ripoti za vifo na majeruhi ni wengi SANA nadhani wataondoka Kwa AIBU kubwa sana
Huyu jamaa mchambuzi anataka kufanana na mchambuzi na mtaalamu mmoja wa masuala ya saikolojia na MIKAKATI anaitwa "Thabit mrangi" huyo Jamaa anajua sana masuala ya "geopolitics"🙌
Hkk
@@paschalcharles3617 endelea ku-cope na propaganda
Ila ka ukijua wote waliovitani na Israeli ni kilio tu
Huko Iran wanaanza kushutumiana baada ya kiongozi wao aliekuwa analindwa kweli kuuawa miongoni mwao 😂
Madhara ya nyuklia ya sasa hivi hata angani yapo maana sumu itokanayo na hilo bomu inakwenda kuzuia mionzi ya jua kuifikia sawasawa dunia hivyo kufanya kiwango cha joto katika eneo husika kushuka
Huo utafit ulifanyia wp au vitabu
@abdillahiharuna0029 sasa hivi Google na UA-cam ni kila kitu please, andika ujumbe wako vizuri kwenye mtandao upate majibu zaidi na zaidi ya madhara ya hilo bomu yaani ni mengi kuliko
This interview had too much double standard Iran Russia and china south Korea are more than NATO.nuclear wote wanazo za kutosh
𝙽𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚊𝚗𝚊 𝙸𝚛𝚊𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚍𝚞𝚗𝚒𝚊 𝚒𝚝𝚊𝚛𝚞𝚍𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚣𝚊𝚖𝚊 𝚣𝚊 𝚋𝚊𝚜𝚔𝚎𝚕𝚒