MKE WANGU : Full movie
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- #clamvevo #comedy #filamu #akabenezer #africawedeytv #snakeboy #africawedeytv #mwakatobe #afrakoma #filamu #amaghanatv #comedy #kicheche #kichechecomedy #joti #xxl #behindthescenes #wachawi #mlevi #mwizi #malaya #sengomk #directorkakoso #kiparavevo #mrmwanya #diamondplatnumz #harmonize #mariootz #zuchu #utanioa #nampenda #rayvanny #simbasc #yanga #azamtv #sinemazetu #mapenzi #dvoice #nyimbompya
Latest Nigerian Movie This WeeK
Laughter Nation Comedy Club
South Africa New Comedy
Barry Katz Entertainment
Kenyan Comedy Videos
Ujinga za Victor Naman
Comedy Tanzania 2023
Ghanaian Comedians
aKabenezer Comedy
Kenyan Comedians
Nollywood Movies
Pixar Short Films
Zizinga Comedy
African Comedy
Comedy Video
Ghana PranKs
VicheKesho
Short Movie
f
NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
#AMAGHANATV
#CRIMINALGHOST
#GhanaMovies
#NewEntertainerMovies #CelebritiesParties
#GhanaEntertainment #LatestGhanaMovies
#GhanaMovies2018 #BestGhanaMovies ##AFRICAWEDEYTV# #AKABENEZERCOMEDY
#LIKEEVIDEOS
#TRENDING#
#APPLE#
#LIVE#
#RECENTLYUPLOADED# #CARDPLAYGAMES#
FAUZY#
#AFRAKOMA#
#BUSTY#
#newkumasitv #,
#AKABENEZER#
#KYEKYEKU#,#39/40#comedy
Mke anauma sana kazi nzuri ukiona mtu mpole usimdharau watu wapole ni wabaya sana kama unamkubali mbwela bc usipite bila kugonga like jamani nimejifunza kitu hapa🎉🎉🎉❤❤❤
Kaka mbwela katuleteya kitu kipya kama unamukubali kaka mbwela gonga links ❤❤❤
Bailam yupo Mbwela nae yupo daaah ntake nin mim jaman nawapenda mnooh 💓💝❤️❤️❤️❣️
The movie is nice ❤ I love it bro mbwela
Kaz nzur mbwela nakupenda kwa ajili ya Allah na Allah akuzidishie zaid ufike mbali ❤❤
Mbwela kazi nzr sana hii❤❤❤🎉🎉🎉
J'aime beaucoup votre travail que Dieu vous bénisse et que vous réussissiez comme vos collègues très bon travail
Well Come bro ❤❤🎉🎉
Ila mbwela maneno yak ya busara xan na kijan bhailam hongereni
Mume wa Alice kiboko😂😂😂nampnda huyo mganga nifanyw hili tukio kwa mume wang 😂😂😂akiwa juu ya kifua cha mchepuko😂😂😂😂patamu ❤
Smart sana kaka mbwela alafu plz nisaidie jina la hile movie yako umeachiwa usia na babako ulinde bahari plz naitafuta lkn sijui jina yaitwaje plz mbwela nipe jina la movie ❤❤❤❤❤❤❤
Inaitwa ndonga
@@mbwelamedia3469 hewaaaah shukran sana broo
@@mbwelamedia3469mbwela mimi fan mkubwa sana nafatilizia sana episode movie 🎥 zako hhhhhhhhh mpeni combined uyo sudi mnyamwezi ajakoma 😅😂😂😂
@@mbwelamedia3469nyinyi jamaaa seriously munaweza seriously baihalamu, Zumba kauzu con tawa generally na sengo senior chief mwenyewe mbwela 🎉🎉🎉 lakin mbona naomi akikuona uwakupa hagg uwakukulilia mpaka baihalamu akatorosha na panga wake wenza 😅😅😅😅😅😅😂😂😂 ule bonge mwanamke akudanganya Mtoto wako seriously amemficha uko ila akupeleka makaburini zuchu ule mwanamke c mtu lakin hii movie mungemshirikisha Zumba kauzu con tawa generally au chibu ingekua poa sana
@@mbwelamedia3469 mbwela wewe kabila gani kutoka wapi wewe nasikia n mjaluo kutoka Kenya mama n mjaluo kutoka Kenya baba n mzaramo kutoka Tanzania n kweli coz walai uko smarty sana movie zako seriously nazifatilizia kwel movie zako zote ila 😂😂😂😂😂😂nilifurahisha kuona watoka mbio kweli walai ulivyo muona baihalamu akishika panga kisa Naomi akupa hagg
Ila huyo jamaa ana busara xan kijan
Mjitahid kwenye sound mnyooshe vizuri jameni ❤ much love from Congo 🇨🇩
Mbwela unasema hakuna kulala 👍...mashallah Mungu Aibariki kazi ya juhudi zenu
😂😂😂😂 siku hizi nnajikuta nasema kumanganuka alafu ata sijui maana yake 😂😂
Maana yake ni kuongea ongea kwa mfululizo bila mpangilio wa maneno unayo ongea
Kujiachia wazi wazi
@@mbwelamedia3469 😂😂😂😂
Kaka unatisha sana kwenye kazi zako piga kazi kaka mdgo wako nipo nyuma nakufata
Mideko❤❤❤
Mmetisha saaanaa jamaaa abane ushuzi kwa wake za watuuu
Kaka mwenyewe anae wabebea wake zenu anasura mbaya kama hamorapa,
🤣
😂😂😂😂niuwe😂😂😂
😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ From zanzbr
Kazi nzuri kaka Mbwela. Ila sound urekebishe kaka. Nakufuata toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
Mbwela safi brooo nimependa unasimama km kaka
Mbwela nakukubali sana ❤karibu chuga mwana
Mbwela, nakukubalia kwa onyo lko 🎉❤❤
Congratulations mbwela🎉🎉🎉🎉
Kaz Kama Kaz nakubali broo🎉
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 number one.na stahili kupewa hata ka like basi🤷🤷
Bana ushuzi kwa wake za watu utakuja kuganda😂😂😂😂😂😂
Nice 👍 Kazi nzuri❤❤
Watatu nimejitaid jamani plz like zenu
Kim mashallah ni mrembo kwa kweli 🎉🎉🎉🎉
Mbwela ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉kutoka kenya 🇰🇪
Kazi nzuri
Mrekebishe sauti jameni mwambieni producer aweke vizuri sauti
😂😂😂 Mbwela dada yako ana mang'anuka tu
Waooooh kitu New 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Mbwela kama mbwela kazi nzuri
My man😊😢 nakupendag tyu
Nawapenda kwa ajili ya Allah awajalie kwa vipaji vyenu inshallah 🙏
Much ❤from kenya
Much love from saudi
Atasijui wangp bora tuu nipo nipen tuu like nione rajah❤❤🎉🎉
❤❤❤❤hta ni Leo stell wanachepuka 2 wake kwa wanaume 😂😂😂😅😅
Nzuri jamani
Kaka Omary, Hongera sana
Safi
Nice
❤❤❤❤hatari
Hamjui,hata mume wa mtu anauma.following you fro from Bujumbura Burundi 🇧🇮
Nakubali sana jamaa
Mbwela una weza sana wewe moto😊????
Mbwela ulivyo kata kesi utazani ni mzee wangu 🤣🤣🤣
Mbwela nakumang'anuka 😂😂😂😂😂
Hii nayo nmeikubali tokea kenya
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Kaz Kaz hii Ni Kali sana
😂😂😂😂❤❤
🔥🔥🔥🔥💪
❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaz nzur sana
🥰🥰🥰🥰🥰
Eti bana ushuzi
❤❤❤
Jaman sauti hazi kutoka vizuri jaman ila story ninzuri ime tulia
Good❤❤
I am from Kenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana🙌🙌
🔥🔥🔥🔥
😅😅😅😅
Kazi nzuri sana
kazi nzul
Kazi nzuri sana hii Mwenyezi mungu awazid8shie kipaji kizidi kukua
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉from Burundi 🇧🇮💕
❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
bro kwenye sound set vizurii mitambo
Bwelaa kama Bwelaa huna baya jamani
Duuh kwenye maisha tunafel tunapo fanya ujinga tuk Amin hatutaachwa
Hii ni 🔥🔥🔥
Kazi safi sana kaka. Kenya 🇰🇪 tunakukubali sana
😏😏😏😏uyu mume boyaaa kweli
Shikamo 😅😅😅😅
😂 kwani mbeba mzigo simtu
Naikubali Sana mbwela nakufata kutokea Congo ,burundi
Wow mashallah ❤❤❤ keep it up you guys
Limemkuta jambo😂😂😂😂😂😂😂😂mke wa watu.......ngoja nkurekebshie mke w mtu
Asantee sana mbwela❤
Uyu mkaka mgen kwa mbali anafanana na kanumba
Na kukubali mbwela ❤
Ila mbwela ana misemo ety bana nn ...😂😂😂yani syllabus inaenda chapu sijacram kumanganuka tayari jipya lishaingia
Nakubali Kaka %100
Inaitwa ndonga
I love u mbwela
Jamani nimerudi Tena nyinyi wenye mko kwnye ndoa hamtulii dawa yenu Niko nayoo 😂😂😂😂
Kazi Nzuri sana Ila Kuna Changamoto ya Sauti kwenye baadhi ya Scene but ni jambo la kawaida ila linatakiwa kuwekwa akilini na kuangaliwa kwa Jicho la 6 ili Next Time Kazi iwe Safi zaidi 🙏🙏✍️
Kamwana ume kenyewe sass
Much 💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nice 👍🇰🇪
Duh
Kuna part2 pease
noma sana