Kijana wa Kizanzibari apasua anga Uturuki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @barwani890
    @barwani890 2 роки тому +3

    Mashaallah mashaallah Allah akuongoze ktk kheri mtt wetu

  • @husseinsalim623
    @husseinsalim623 2 роки тому +3

    Congratulations my young brother Allah akuongoze ufike mbali zaidi

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 роки тому +1

    Inshallah ,, tunakuombea kwauwezo wa Allah Utashinda t ,Ilove Zanzibar

  • @yussufsaid8223
    @yussufsaid8223 2 роки тому

    Mashallaah Tabarallah Allah akuzidishie ujuzi na akuhifadh na husda Inshaallaah

  • @mohamedabubakar9852
    @mohamedabubakar9852 2 роки тому

    Mashallah Tabarakallah...Unaweza sana tu mdogo wangu ndio Fanni zangu hizo....keep it up big thumb 👍 👌 🇰🇪

  • @Suleiman5050
    @Suleiman5050 2 роки тому +1

    Mashaallah kila la khery broo tunakutakia safari njema

  • @receptionifabeach1329
    @receptionifabeach1329 2 роки тому +3

    Allah afanye wepesi lakini uvae kanzu na koti na kofia ya kizanzibari ya kushona na in Sha Allah tuwakilishe vyema from Zanzibar island

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 роки тому +4

    Proud of wazanzibari

    • @alush3138
      @alush3138 2 роки тому

      Mashallh broo allh akuzidishie kipaji zaidiiii

  • @SafiaKhamis-i2e
    @SafiaKhamis-i2e 12 днів тому

    mashallah

  • @mwigaali1942
    @mwigaali1942 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 3 роки тому +3

    Aaaaaaaah fundi utaniliza baaas inatosha mashallah khatari..........

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 роки тому +3

    Zanzibar home

  • @burudani9901
    @burudani9901 2 роки тому +2

    Na akishinda final tunaenda kumchukua uwanja wa ndege

  • @burudani9901
    @burudani9901 2 роки тому +2

    Kijana yupo nusu final Jana kashinda

  • @salehmasoud5104
    @salehmasoud5104 2 роки тому

    Kijana ulikua unasoma quran na sauti nzuri MashaAllah na sasa unaimba nyimbo. Unahisi ni mafanikio au ni kupotea? Km ni kipaji basi ni huko ulikokua awali katika quran sio hapo. Allah akufanyie wepec zaid.

  • @hamadkhamis7311
    @hamadkhamis7311 2 роки тому

    asante

  • @burudani9901
    @burudani9901 2 роки тому

    Waambie wasisahau kufuatilia Kila alhamiss ictv network UA-cam mashindano yanafnyika

    • @saidabdallah4877
      @saidabdallah4877 2 роки тому +1

      Big up mwanangu Allah akulinde na hasada za wenye kuhusudu tunakuombea kwa sana ufike final na ushinde ishallah kaza kamba mwanangu

    • @sirlymmabersy8581
      @sirlymmabersy8581 2 роки тому

      Saa ngapi?