- 237
- 1 368 412
Sports 24 Media
Приєднався 7 сер 2024
Sports 24 Media is the home of Sports' videos on UA-cam featuring highlights from every game , as well as post match interviews, exclusive player access and top level analysis!
Make sure you subscribe and turn on notifications so you don't miss a single upload!
Make sure you subscribe and turn on notifications so you don't miss a single upload!
KVZ WAPANIA KUWAVAA M/MAKUMBI
Msemaji wa KVZ umesema kuwa kesho wataonyesha namna ya ubora wa kikosi chao kilivyo kwa kikosi cha wafuga punda kutoka Mwembe Makumbi utakaochezwa Uwanja wa Mao Zedong.
KVZ kesho wataikaribisha Mwembe Makumbi kwenye mchezo wa ligi kuu ikiwa ni mzunguko wa kumi nne.
Ofisa Habari wa KVZ, Abduljalil Muhammed amesema wanatambua ushindani uliopo kwenye ligi na namna kila timu inavyotafuta matokeo ila wao wataonyesha utofauti.
"Kikosi kipo sawa na tupo tayari kwa mapambano, tutaingia uwanjani tukiamini kwamba tunacheza na timu ngumu, ila kikubwa tutakachofanya ni kutumia vema Uwanja wa nyumbani," amesema Abduljalil.
#pbzpremiareleague #kvz #zanzibar

Переглядів: 18
Відео
ALI KAMWE AFUNGUKA HATMA YA GAMONDI YANGA/ UWANJA WA KMC COMPLEX/MSIMU HUU UBINGWA...
Переглядів 1821 день тому
ALI KAMWE AFUNGUKA HATMA YA GAMONDI YANGA/ UWANJA WA KMC COMPLEX/MSIMU HUU UBINGWA...
Goli la Pacome Zouzoua wa Yanga dhidi ya Jkt Tanzania
Переглядів 22Місяць тому
Goli la Pacome Zouzoua wa Yanga dhidi ya Jkt Tanzania
ANGALIA GOLI LA MICHAEL JOSEPH AMBALO LIMEPELEKA FURAKI KVZ KWENYE MCHEZO WA LEO DHIIDI YA JKU FC.
Переглядів 144Місяць тому
ANGALIA GOLI LA MICHAEL JOSEPH AMBALO LIMEPELEKA FURAKI KVZ KWENYE MCHEZO WA LEO DHIIDI YA JKU FC.
Goli la ushindi | Azimio fc 3-1 Ponchiki City | Ndoyamle Cup Fainal 12/10/2024
Переглядів 125Місяць тому
Goli la ushindi | Azimio fc 3-1 Ponchiki City | Ndoyamle Cup Fainal 12/10/2024
GOLI PILI LA AZIMIO FC DHIDI YA POCHINKI CITY | AZIMIO FC 3-1 PONCHIKI NDOYAMLE CUP FAINAL
Переглядів 126Місяць тому
GOLI PILI LA AZIMIO FC DHIDI YA POCHINKI CITY | AZIMIO FC 3-1 PONCHIKI NDOYAMLE CUP FAINAL
Goli la kusawazisha la Azimio dhidi ya Pochinki City - Ndoyamle Cup Fainal
Переглядів 68Місяць тому
Goli la kusawazisha la Azimio dhidi ya Pochinki City - Ndoyamle Cup Fainal
GOLI LA KUONGOZA KWA PONCHIKI LILILOFUNGWA NA MUNDHIR IMAN AZIMIO 3 -1 PONCHIKI | NDOYAMLE CUP
Переглядів 60Місяць тому
GOLI LA KUONGOZA KWA PONCHIKI LILILOFUNGWA NA MUNDHIR IMAN AZIMIO 3 -1 PONCHIKI | NDOYAMLE CUP
BEKI WA KMC, ABDALLAH SAID LANSO AKIZUNGUMZIA FURAHA YAKE BAADA YA KUITWA TIMU YA TAIFA "
Переглядів 99Місяць тому
BEKI WA KMC, ABDALLAH SAID LANSO AKIZUNGUMZIA FURAHA YAKE BAADA YA KUITWA TIMU YA TAIFA "
ANGALIA MAGOLI YA MAFUNZO WAKIWACHARAZA MWENGE FC
Переглядів 92Місяць тому
ANGALIA MAGOLI YA MAFUNZO WAKIWACHARAZA MWENGE FC
CHUMA YA IBRAHIM BACCA KADHAMIRIA KIATU KWELI.
Переглядів 62Місяць тому
CHUMA YA IBRAHIM BACCA KADHAMIRIA KIATU KWELI.
NDONDO CUP NA YAMLEYAMLE YAJA NA KUBWA KULIKO (NDOYAMLE CUP)
Переглядів 882 місяці тому
NDONDO CUP NA YAMLEYAMLE YAJA NA KUBWA KULIKO (NDOYAMLE CUP)
ZUNGU AELEZEA UBORA WA KIKOSI CHAKE CHA AZAM
Переглядів 1222 місяці тому
ZUNGU AELEZEA UBORA WA KIKOSI CHAKE CHA AZAM
ANGALIA MAZOEZI YOTE YA AZAM FC KABLA YA KUWAVAA SIMBA.
Переглядів 4482 місяці тому
ANGALIA MAZOEZI YOTE YA AZAM FC KABLA YA KUWAVAA SIMBA.
SIKILIZA KWA UMAKINI TAMBO ZA IBWE KUELEKEA MZIZIMA DABI (KESHO HAPATOSHI SIMBA LAZIMA TUMKALISHE.
Переглядів 5742 місяці тому
SIKILIZA KWA UMAKINI TAMBO ZA IBWE KUELEKEA MZIZIMA DABI (KESHO HAPATOSHI SIMBA LAZIMA TUMKALISHE.
AWESU TUMEJIANDAA VIZURI NA MZIZIMA DABI TUNAHAKIKISHA TUNAWAPA FURAHA WAPENZI WETU HAPO KESHO.
Переглядів 662 місяці тому
AWESU TUMEJIANDAA VIZURI NA MZIZIMA DABI TUNAHAKIKISHA TUNAWAPA FURAHA WAPENZI WETU HAPO KESHO.
LUSAJO KWA NIABA YA WACHEZAJI TUNAKWENDA KUWAPA FURAHA MASHABIKI WA AZAM SIMBA TUNAWAHESHIM SANA.
Переглядів 1482 місяці тому
LUSAJO KWA NIABA YA WACHEZAJI TUNAKWENDA KUWAPA FURAHA MASHABIKI WA AZAM SIMBA TUNAWAHESHIM SANA.
BAJANA AMERUDI KIKOSINI (HASHIM IBWE AMEWEKA WAZI MAANDALIZI YAO YA KUMKABILI MNYAMA.
Переглядів 432 місяці тому
BAJANA AMERUDI KIKOSINI (HASHIM IBWE AMEWEKA WAZI MAANDALIZI YAO YA KUMKABILI MNYAMA.
KMKM 4-1 ZIMAMOTO WASILIZE MANAHOZA WAKIELEZEA MCHEZO KIUJUMLA.
Переглядів 922 місяці тому
KMKM 4-1 ZIMAMOTO WASILIZE MANAHOZA WAKIELEZEA MCHEZO KIUJUMLA.
Goli la Chama dhidi CBE SA | Yanga 1-0 CBE SA | CAF CL
Переглядів 6322 місяці тому
Goli la Chama dhidi CBE SA | Yanga 1-0 CBE SA | CAF CL
KESHO TUNAKWENDA KUFWEKA KICHAKA AMBACHO WALIKUA WANAJIFICHIA SIMBA.
Переглядів 552 місяці тому
KESHO TUNAKWENDA KUFWEKA KICHAKA AMBACHO WALIKUA WANAJIFICHIA SIMBA.
ARAFAT AWEKA WAZI MIPANGO YAO MWAKA HUU "TUNAKWENDA KUWEKA HISTORIA"
Переглядів 392 місяці тому
ARAFAT AWEKA WAZI MIPANGO YAO MWAKA HUU "TUNAKWENDA KUWEKA HISTORIA"
KAMWE AWAOMBA WAZAMIN KUSHIRIKIANA NA TIMU ZA CHAMPION LEAGUE TUU WASIJEKUINGIA CHA KIKE.
Переглядів 452 місяці тому
KAMWE AWAOMBA WAZAMIN KUSHIRIKIANA NA TIMU ZA CHAMPION LEAGUE TUU WASIJEKUINGIA CHA KIKE.
MAPYA:FEI TOTO KUHUSU YANGA | SIMBA ENG.HERSI TUNAONGEA SANA | KOCHA NABI | SINA SHIDA NA YANGA
Переглядів 4052 місяці тому
MAPYA:FEI TOTO KUHUSU YANGA | SIMBA ENG.HERSI TUNAONGEA SANA | KOCHA NABI | SINA SHIDA NA YANGA
COACH WA ZAMANI WA AZAM MOHAMMED BADRU ATIMUKIA (NEW CITY) TIMU YA LIGI KUU ZANZIBAR.
Переглядів 2312 місяці тому
COACH WA ZAMANI WA AZAM MOHAMMED BADRU ATIMUKIA (NEW CITY) TIMU YA LIGI KUU ZANZIBAR.
MWALIM WA MAFUNZO COACH SHEHA AELEZEA MBINU ALIZOZITUMIA KUWAPIGA NEW CITY.
Переглядів 952 місяці тому
MWALIM WA MAFUNZO COACH SHEHA AELEZEA MBINU ALIZOZITUMIA KUWAPIGA NEW CITY.
MLINZI WA KATI MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AKIPATA ZAWADI YA MCHEZAJI BORA WA MCHEZO.
Переглядів 7332 місяці тому
MLINZI WA KATI MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AKIPATA ZAWADI YA MCHEZAJI BORA WA MCHEZO.
MWALIM WA KVZ FC AKIELEZEA MATARAJIO YAO KWENYE MCHEZO WA KESHO DHIDI YA CHIPUKIZI
Переглядів 652 місяці тому
MWALIM WA KVZ FC AKIELEZEA MATARAJIO YAO KWENYE MCHEZO WA KESHO DHIDI YA CHIPUKIZI
Sawa bongo zozo a,k, a saidi kipua wa kurasini 😀😁
Yuko vzr
Yanga Kubwa Mgunda
Aseee naipenda Sana SIMBA 🥰🥰
YANGA BINGWA 💪💪💪
Mojomba kesho tufanyie kwel...jitahid vijana wawachape wale vibabu
Wamechapwa na vibabu
Mgunda ni refa na ana akili sana
Ni refaa au nimeelewa vibaya
Ww mzee unajua mpira
TAWI
Saaafiiiiii
We nibwa kabsachumba wewe chogo kaa mwko
Was crazy watching live the moment he got subbed the stadium emptied 😂😂
😮😮😮😢😢😢khaaaaa! Sio fair unaropoka sana kaka sanaaaaaa unatokwa na maneno machafu mnooooo jua kuna mpira na kuna ubinadamu unamkosea Baleke na unawakosea wachezaji wote na hata hao waliopo simba kwa sasa! Weka akiba ya maneno kaka! Nilikuwaga nakuheshim lakin kwa hili nimekuona ziro brain kabisa
Wakati anakusaidia Ile mechi yake ya kwanza dodom jiji na Simba ulipata point 3 miguuni kwake acha ujinga ongea kama mtoto wa kiume usiwe kama demu
watu wa mpira hawaongeagi hivyo kaka hata kama mchezaji ulimchukia kiasi gani acha hiyo tabia wachezaji waliopo hapa unafikiri wanajiskiaje kwa hayo maneno yako ya kejeli na wao pia watafikiria mengi cku watakapoondoka,kifupi utawaogopesha wachezaji kujisajiri Simba kwa ajili ya hizo kejeli zako Hamed.Usidharau na kudhalilisha Talent za watu kaka huo sio mpira
Mtu wa football hawezi ongea ujinga kama huu. Watu wa kandanda kama huyu jamaa ndio wanasema hovyo.
Sure bro. Kwa kweli mi Simba but hii siisupport, ongelea utani na maendeleo
Hapo ni utani Tu Ndg angu... Unadhani Hayo anayoongea yana ukweli au Nawe hujui shombo za watani wa jadi kijiweni... 😂
😂😂😂 raha sana na hio ndo maana ya utan wa jadi@@ericklibaba1198
timu iko vibaya yanga
Apewe sofa zake kwakweli nikipa
Jamaniiii!!?
Iconic ❤
Kwenye riadha Naona atashinda ,Ila Kwa mpira Tena Bongo yenye maneno meeengi 😅 nawaambia mapema hiyo suti itamkimbia ,Sasa hivi ataanza kivaa track.yangu macho Na mtakuja kuniambia
😂😂😂
Sisi ni simba ila kumzodoa sio poa. Kumbuka hata waliokuwepo watajawa na hofu ya kuja kusemwa baadae. Kuna maisha yanaendelea nje ya klabu unayotoka. Sio sahihi hapa ahmed
Aliokoa Simba mechi yake ya kwanza kabisa dodoma jiji na Simba half mbona kibu nayeye alifukuzwa mbona usemi
Acheni ahad za kijinga mpira gani ssa wa ahad hizo
Sijui nd nn mnakusudia kweny jmiii
Yanga hapa wameshapigwa😅😅😅😅😅
Usione mtu anapatwa na presha anakufa ushabiki unaendana kabisa na hisia za roho
Ubaya ubwela ndo mtindo
Mshuwa wetu anakosea bhn anazid
Mtakul a nying nyie mmejichanganya
Ubaya ubwela❤❤❤
Mtoto ameingia kwenye mambo ya kijinga akiwa mdogo
Afu akuwa mchezaji ewa simba bali alikuja kwa mkopo ko amkuwa na ela za kumvunjia mkataba wanaume wamevunja
Kwani mpanzu ndy yeye ni nan?
Oooya wanangu huyu mwamba akishangilia ivo kwa mashabiki ataibiwa mpaka ndevu😊😅😊😊😊😊😂😂boonge la KOCHA....let's go YANGA
😂😂😂😂😂bongo tena
😂😂😂jamani Hadi ndevu
Waswahili walisema tenda wema uende zako usisuburi shukurani Yani mchezaji ambaye aliondoka akiwa anaongoza kwakufunga magori mengi kuliko wengine Leo hii amekuwa mbaya kweli niubaya ubwela
Kwahiyo mnatakaje sasa😅😅😅
Faul😢
😂😂😂.... huyu atakuwa mwandishi ndezi Dodoma jiji ya Mwanza au??? Na goli halokukataliwa maana filimbi ilishapigwa hata kabla mpigaji wa kichwa kuupiga
Typing error
Dodoma jiji ya Mwanza ..? We nawe punguza Shobo..Filimbi umeisikia au na wewe ndo walewale akina mkuu wa Mkoa 😂
Typing error
🔥🔥👌👌👌🦁🦁🦁Hatari❤
😂😂😂😂😂 kweli tena, hata hivyo sikuhizi wanaitwa JANGWANI GOLD
Tanzania 🇹🇿🇹🇿❤🎉
iyo ndo Simba sasa
So KWA soka la bongo😂😂😂😂😂
Majungu mengi
Kama kuna cku tumepata furaha watanzania ki ftbll ni hii cku bravooooooooooo Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nchi yang
Mmmh huyu Binti Simba anaipenda Simba mpaka siyo rahisi kuelezea
💚💛💚💛💚🙏
Mhhh
Matatizo hayana cha staa hongera sana kaka Mwakinyo