Goli la kusawazisha la Azimio dhidi ya Pochinki City - Ndoyamle Cup Fainal
Вставка
- Опубліковано 10 гру 2024
- Baada ya miezi kadhaa ya mpambano mkali na ushindani usio na kifani, michuano ya Ndoyamle Cup 2024 imefikia kilele chake kwa ushindi wa kihistoria wa timu ya Azimio. Timu hii imeweza kujihakikishia taji la ubingwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya timu ya Pochinki City katika mchezo uliopigwa leo kwenye uwanja wa Mao Zanzibar.
#yamleyamlecup2024 #ndoyamle2024 #Azimiofc #ponchikicity