Litania ya Watakatifu Wote Upadrisho wa Mapadre 9 Jimbo kuu la Dar Es Salaam

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Adhimisho la Misa Takatifu ya Upadrisho Ikiambatana na Kilele cha Maadhimisho ya Kijimbo ya Miaka 50 ya Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo
    Katika Misa hiyo Mashemasi 9 walipata Sakramenti ya Daraja Takatifu la Upadre ambapo Mashemasi 6 ni Jimbo na Mashemasi 3 ni wa kutoka katika Mashirika.
    #daressalaam #breezonlinetv #africa #kanisakatoliki

КОМЕНТАРІ • 1