UTAFTENI KWANZA UFALME WA MUNGU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • RATIBA ZA IBADA KATIKA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO
    KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL
    -SIKU YA JUMAPILI -Hii ni ibada kubwa ya kinabii ,maombi,mafundisho na uponyaji saa 3hasubuhi - saa 8 mchana
    -SIKU YA JUMA NNE Maombi ya mtu mmoja mmoja (Kuonana na mtume ana kwa ana) saa 8 mchana -saa 11 jioni
    -SIKU YA ALHAMISI Ibada kubwa ya uponyaji mafundisho na maombi. saa 8 mchana-saa12 jioni
    HIVYO USIKOSE ! ASANTEH
    WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA

КОМЕНТАРІ • 1

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 6 днів тому

    Ilikuwa kweli jumapili ya🎉 moto.wengi wamefunguliwa.napia tuliweza kumshukuru mungu kwa shughuli iliokuwa mbele yetu.na yote tuliyo fanikiwa