4 FAHAMU MATUMIZI YA FREQUENCY BANDS KWENYE EQUALIZER (EQ) NA AUDIO MIXER - BENSON MSECHU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 8

  • @godfreyeleuter2549
    @godfreyeleuter2549 11 місяців тому +1

    Shule kubwa sana hii kaka mkubwaa 🎬

  • @jamestweve8051
    @jamestweve8051 13 днів тому

    Ahsante sana mwl

  • @hamenyayohanakasase5836
    @hamenyayohanakasase5836 4 місяці тому

    Asee,
    Hili ni darasa muhimu sana sana. Nimelipenda, tunalihitaji kanisani kwetu kabisa

  • @simonshukia1842
    @simonshukia1842 5 місяців тому

    Darasa zuri sana mwl Mungu akubariki ndio nasikiliza kuanzia leo so nikifika kwenye vyombo nitatoa mrejesho

  • @kujifunzaguitar8798
    @kujifunzaguitar8798 Рік тому

    Nimeona kama umeme umekatika vile, wakati najipanga kusikia vizuri, somo limeisha, dakika chache nimejifunza vitu vingi sana na vizuri, nimefurahia sana Kiswahili chako. Mungu akubariki, usikawie kutupa somo lingine

    • @benson.msechu
      @benson.msechu Рік тому

      Asante kwa Kujifunza, Mungu akinipa Neema nitafanya Mapema

  • @conradley9202
    @conradley9202 Рік тому

    Tupe shule brother👏👏