CHANNEL ONE
CHANNEL ONE
  • 418
  • 34 341
MTAMBO WA KUZALISHA HEWA YA OXYGEN YATUA JKCA - DAR GROUP
Taasisi ya Moyo, Jakaya Kikwete JKCI imepiga hatua kubwa katika utoaji wa matibabu ya kibingwa baada ya hii leo July 29, 2024 kuzindua mashine yake ya kwanza ya kuzalisha hewa ya Oxygen inatakayo tumika hospitalini hapo wakati wa matibabu
Hatua hiyo ya Kuzindua Mashine ya Kuzalisha hewa ya Oxygen Maalum kwaajili ya kutoa huduma itapunguza garama kubwa ambazo zilikuwa zikitumika na Hosptali hiyo kununua Hewa ya Oxygen kwa watu binafsi
Mashine hiyo kubwa imefungwa katika kituo cha afya cha JKCI cha Dar Group kilichopo Tazara Jijini Dar es Salaam, ambapo Oxygen itakayozalishwa hapo itatumika katika Hospitali ya JKCI Upanga, na JKCI Dar Group Tazara Jijini Dar es Salaam
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Azzan Zungu ndiye amezindua mtambo hio na amesema, kuanzishwa kwa kituo hicho niutekelezaji wa agizo la Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambalo aliagiza kila Mkoa nchini kuanzisha mashine ya kuzalisha hewa ya Oxygen ili kuondoa adha kwa Mikoa mingine kusafiri kuja Jijini Dar es Salaam kufuata hewa ya Oxygen
Aidha, Mhe Zungu aliangazia garama kubwa za upatikanaji wa hewa ya Oxygen kwa wagonjwa na kuomba JKCI kushusha garama za kuuza hewa ya Oxygen kwa wagonjwa jambo ambalo pia litaisaidia Bima ya Afya ya NHIF kutoalipia garama kubwa za matibabu
"Sasa hivi vyumba vya ICU vinachaji mpaka laki tano ( 500,000/=) bila kuweka garama za dawa, naomba garama ziwe nafuu ili kuusaidia mfuko wetu wa NHIF, Hiyo laki tano Nigarama tuu ya Oxygen bila kujumuisha garama za dawa" amesema Mhe Zungu
Ameongeza kuwa, Hewa ya Oxygen Mungu anatoa bure, lakini mtu akipata matatizo ya kiafya, mtambo huu utamsaidia kuzalisha Oxygen ili aweze kupata matibabu
Kaimu Mkurugenzi wa JKCI, amesema Mtambo huo umenunuliwa nchini Uturuki, na umegarimu zaidi ya shilingi Milioni 500 za Kitanzania na utazalisha hewa ya Oxygen na kwamba huduma hiyo itawasaidia kuendelea kuokoa maisha ya wagonjwa
JKCI, Hospitali ya kibingwa na bobezi katika utoaji wa huduma za matibabu ya Moyo nchini Tanzania huku ikitegemewa na mataifa jirani zaidi ya 5 ambao huleta wagonjwa wao kupata Matibabu ya Moyo chini ya mpango wa Taifa wa Medical Tourism
Переглядів: 0

Відео

UDAHILI KUJIUNGA NA VYUO VIKUU NJE YA NCHI, NENDA GLOBAL EDUCATION LINK
Переглядів 912 годин тому
WANAFUNZI WANAOTAKA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU NJE YA NCHI, FIKENI GLOBAL EDUCATION LINK Na. Loyce Joseph WANAFUNZI Waliohitimu elimu ya kidato cha 6, kidato cha 4 na Diploma wamepata fursa ya kudahiliwa na kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nje ya nchi wakati wa maonesho ya vyuo vikuu vya nje ya nchi vilivyo fanyika Jijini Dar es Salaam, July 23 hadi July 24 katika Hoteli ya Johari Rotana MAONESHO ...
MAENDELEO BANK MARATHON KUNUSURU WATOTO ZAIDI YA 500 WALIOZALIWA NJITI/ YATIMA
Переглядів 312 годин тому
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za hisani za Maendelo Bank zenye lengo kusaidia vituo viwili vya watoto kwenye Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro ambapo itasaidia watoto waliozaliwa chini ya miezi 9 pamoja na kituo cha watoto yatima cha mtoni Dikonia kilichipo Bagamoyo Mkoani Pwani. Mbio hizo zitafanyika tarehe 7.9.2024 kwenye viwanja vya farasi Jijini Dar...
WANAHISA WA MAENDELEO BANK WAPATA GAWIO LA FAIDA, BENKI INAKUWA
Переглядів 212 годин тому
KIWANGO cha gawio la faida kwa wanahisa wa Maendeleo Bank kimeongezeka kwa asilima 69 kwa mwaka 2023, ambapo jumla ya shilingi Bilioni 1.17 kitagawiwa kwa wanahisa wake Mwaka 2022 gawio la faida kwa wanàhisa wa benki hiyo ilikuwa Shilingi 26 ambapo mwaka 2023 gawio ni shilingi 44 Aidha gawio hilo litatolewa kwa mfumo wa Hisa nasio fedha taslim ambapo kila mwanahisa atapewa hisa za ziadq kwa tha...
TAMBO ZA PETER MSIGWA AKIINANGA CHADEMA, MBOWE
Переглядів 312 годин тому
TAMBO ZA PETER MSIGWA AKIINANGA CHADEMA, MBOWE
ZIGO LA UERO LAIBUKA NA 47, WAMO WA UEFA UJERUMANI 2024/ TV NA FRIDGE
Переглядів 6День тому
kampuni ya mawasiliano ya Tigo, imehitimisha kampeni yake ya Zigo la UERO NA HISENSE kwakuwaibua kidedea zaidi ya wateja wao 40 walioibuka na ushindi mbalimbali ambapo wengine wameend Ujerumani kushuhudia UEFA 2024, wengine wamepata TV na Fridge pamoja na pesa taslim waahindi wa Zigo la Uero na Hisense walipatikana baada ya kutumia app mpya ya Tigopera super app, kufanya manunuzi na kulipia bil...
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA CHAKULA
День тому
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA CHAKULA
BETI NA THRONE BET UJISHINDIE MAMILIONI, THRONE BET AWACHANI MKEKA
Переглядів 2День тому
BETI NA THRONE BET UJISHINDIE MAMILIONI, THRONE BET AWACHANI MKEKA
EWURA CCC, TUNA WAWAKILISHA WATUMIAJI
День тому
EWURA CCC, TUNA WAWAKILISHA WATUMIAJI
JIFUNZE KUFUGA NYUKI UPATE PESA
День тому
JIFUNZE KUFUGA NYUKI UPATE PESA
WATU WANASHINDA NA THRONE BET
Переглядів 1День тому
WATU WANASHINDA NA THRONE BET
EWURA CCC WASIKILIZENI WALAJI
День тому
EWURA CCC WASIKILIZENI WALAJI
MTAMBO HUU UNAFAIDA KULIKO DALADALA, KWA SIKU UNAINGIZA ELF 50
День тому
MTAMBO HUU UNAFAIDA KULIKO DALADALA, KWA SIKU UNAINGIZA ELF 50
SHODAILER VEHICLE KUWEKEZA TANZANIA, WAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA
14 днів тому
Garry Wong, nirai wa kigeni kutoka Nchini China, ikiwa nimara yake ya kwanza kuitembelea Tanzania, amehudhuria maonesho ya Dar es Salaam 48 ya Kimataifa ya Biashara Kimataifa DITF Garry Wong, ambae ni Meneja Masoko wa kampuni ya Magari ya SHODAILER VEHICLE inayopatika katika Jimbo la Shandong nchini China, amevutiwa na maonyesho haya na kutaja nia ya kampuni yake kuja kuwekeza nchini Tanzania K...
HAKIKI USAJILI WA NIDA NO. YAKO ISIJEKUWA INATUMIKA NA MATAPELI
Переглядів 614 днів тому
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imeendelea kuwahimiza wananchi kuhakikisha wanakuwa salama mtandaoni, kuweka nywila yano password madhubuti, kuhaki usajili wao ili kujua namba zao za Nida zimetumika kusajili namba ngapi, pamoja na kuripoti namba zote za matapeli kwa mamlaka hiyo kupitia namba 15040 ambayo ninamba ya bure ya kuripoti wanaofanya uhalifu mtandaoni i Akizungumza na Channel one...
TPDC YATWAA TUZO TAASISI BORA YA SERIKALI MAONESHO YA 48 DITF (SABASABA)
Переглядів 114 днів тому
TPDC YATWAA TUZO TAASISI BORA YA SERIKALI MAONESHO YA 48 DITF (SABASABA)
ASILIMIA 50 YA ENEO LA TANZANIA LINA MAFUTA NA GESI ASILIA: UTAFITI
Переглядів 1814 днів тому
ASILIMIA 50 YA ENEO LA TANZANIA LINA MAFUTA NA GESI ASILIA: UTAFITI
WANANCHI WANALALAMIKIA BILI KUBWA ZA MAJI, BEI KUBWA ZA GESI
Переглядів 214 днів тому
WANANCHI WANALALAMIKIA BILI KUBWA ZA MAJI, BEI KUBWA ZA GESI
NMB KUSHIRIKIANA NA WANAWAKE TWCC KUKUZA BIASHARA
Переглядів 214 днів тому
NMB KUSHIRIKIANA NA WANAWAKE TWCC KUKUZA BIASHARA
SANLAM INVESTMENTS EAST AFRICA LIMITED YATINGA SOKO LA MITAJI NA DHAMANA TANZANIA
Переглядів 3114 днів тому
SANLAM INVESTMENTS EAST AFRICA LIMITED YATINGA SOKO LA MITAJI NA DHAMANA TANZANIA
UTENDAJI WA EWURA UNARIDHISHA
Переглядів 714 днів тому
UTENDAJI WA EWURA UNARIDHISHA
HAKUNA RUSHWA, UPENDELEO WAKA UBAGUZI KWENYE TENDA ZA SERIKALI
Переглядів 414 днів тому
HAKUNA RUSHWA, UPENDELEO WAKA UBAGUZI KWENYE TENDA ZA SERIKALI
WANABAKA NA KULAWITI KISA UTAJIRI NA MALI/ SERIKALI YAKEMEA UKATILI
Переглядів 121 день тому
WANABAKA NA KULAWITI KISA UTAJIRI NA MALI/ SERIKALI YAKEMEA UKATILI
NSSF MNAFANYA KAZI NZURI SANA, MAFANIKIO YANAONEKA
Переглядів 721 день тому
NSSF MNAFANYA KAZI NZURI SANA, MAFANIKIO YANAONEKA
KUREJELEZA PLASTIKI SIO SALAMA KWA AFYA NA MAZINGIRA
Переглядів 2221 день тому
KUREJELEZA PLASTIKI SIO SALAMA KWA AFYA NA MAZINGIRA
BINTI MDOGO ALIYEJIAJIRI KUPITIA UCHORAJI RAMANI ZA MAJENGO
Переглядів 621 день тому
BINTI MDOGO ALIYEJIAJIRI KUPITIA UCHORAJI RAMANI ZA MAJENGO
UFUNDI WA UMEME, ENEO RAHISI KUJIAJIRI NA KUPATA KIPATO
Переглядів 1121 день тому
UFUNDI WA UMEME, ENEO RAHISI KUJIAJIRI NA KUPATA KIPATO
KIJANA ABUNI MFUMO WA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAJI
Переглядів 321 день тому
KIJANA ABUNI MFUMO WA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAJI
MWANAFUNZI MZUMBE AJA NA MFUMO KUDHIBITI MAJI YASIPOTEE
Переглядів 1021 день тому
MWANAFUNZI MZUMBE AJA NA MFUMO KUDHIBITI MAJI YASIPOTEE
ANDIKENI WOSIA KABLA AMJAFARIKI/ KESI ZAIDI YA 300 NIZA MIRADHI/ UKATILI
Переглядів 1221 день тому
ANDIKENI WOSIA KABLA AMJAFARIKI/ KESI ZAIDI YA 300 NIZA MIRADHI/ UKATILI

КОМЕНТАРІ

  • @ZamoJr
    @ZamoJr 22 дні тому

    Hapo kweli alikanyaga waya khaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 23 дні тому

    Mmunuaji na mnunuliwa wote😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Good

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    ❤❤❤

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Nimkoa gan jmn anaejua anijibu

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Huu mkoa gani

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Hii ndo tanzania yunayoitaka

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Hii ndo tanzania yunayoitaka

  • @WASAHATV
    @WASAHATV 24 дні тому

    Goood

  • @udakutv1024
    @udakutv1024 24 дні тому

    🎉🎉🎉

  • @udakutv1024
    @udakutv1024 24 дні тому

    Nimependa sana kaz ya jesh la polisi

  • @udakutv1024
    @udakutv1024 24 дні тому

    Safi

  • @QueenKidoti
    @QueenKidoti 24 дні тому

    Safi sana jeshi la polis linafanya kaz vzuri

  • @mbembefilms5379
    @mbembefilms5379 24 дні тому

    ❤❤

  • @samwelmtuwa9876
    @samwelmtuwa9876 Місяць тому

    Kwa waliopata mikopo na wanafanya kazi nje ya nchi , hao mnawafanyaje kupata mrejesho ?

  • @BarathMneka-kj1qe
    @BarathMneka-kj1qe Місяць тому

    😂😂😂😂😂

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 4 місяці тому

    Laki 4 analalamika waziri mzima😂😂😂😂

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 місяці тому

    Njia ya upatanishi na usuluhishi nzuri sana

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 4 місяці тому

    Kazi iendelee.Chapa kazi waziri Silaa wachana na wapiga majungu.

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 4 місяці тому

    Halafu anatokea mwanasiasa uchwara anaponda anachofanya huyu waziri kama si uchawi ni nini, waziri piga kazi

    • @froma3732
      @froma3732 4 місяці тому

      Wao hampingi waziri tatizo Lao Rais huyu Waziri akifanya vzr si ndio Rais

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 4 місяці тому

      @@froma3732 tz nchi hatari sana ndugu mfanya vzuri hatakiwi

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l 4 місяці тому

    Ni gorofaa

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 4 місяці тому

    Bora suluhisho kuliko hasara....

  • @cassianusbarongo606
    @cassianusbarongo606 4 місяці тому

    Polen sana 😢🙏

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 4 місяці тому

    Kenya sio zari

  • @suleimanalisaid2201
    @suleimanalisaid2201 6 місяців тому

    Habr tumeipata mh balozi tunaenda huko kairuk mikochen

  • @suleimanalisaid2201
    @suleimanalisaid2201 6 місяців тому

    Kwa majina suleiman ali said mm nipo zanzabr visiwan nikitaka kupta maelekezo nije kupata dawa kwa7bu nipo na vitiligo

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 6 місяців тому

    Shetani

    • @channelonetz
      @channelonetz 6 місяців тому

      asante kwa maoni yako Subscribe, comment na like youtube chanel yetu

  • @michaelmwalimu6057
    @michaelmwalimu6057 6 місяців тому

    Viipi kuhusu dawa ya degedege au mtindio wa ubongo

    • @channelonetz
      @channelonetz 6 місяців тому

      asante kwa kufuatilia ukurasa wetu, subscribe kwa taarifa nyingi zaidi

  • @bakarikampando941
    @bakarikampando941 6 місяців тому

    Kwani sikuizi hakuna kupiga muarifu risasi ya mkono au mguu Ili kumkamta muharifu kirahisi au polisi wa Leo hawajifunzi kulenga shabaha

    • @channelonetz
      @channelonetz 6 місяців тому

      Nikikutana na Kamanda wa Polisi, nitauliza swali lako na ntakupostia majibu yake hapa

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 6 місяців тому

    Hakuna haja ya kujieleza sana AFANDE. KILA MHALIFU MWISHO WAKE SIYO MWEMA. NA WANAHABARI WETU WANAISHI KWA KUTUMIA DOUBLE STANDARD LIFE. AKIFA ASKARI NI JAMBO LA KAWAIDA ILA AKIFA MHALIFU ILIKUWA KINYUME CHA HAKI ZA KIBINAADAMU. UPUUZI MTUPU.

    • @channelonetz
      @channelonetz 6 місяців тому

      Asante sana kwa ujumbe wako mtazamaji wetu. Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa taarifa mbalimbali

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 6 місяців тому

    Acha kujidhalilisha, hiyo gorofa haizidi mil 300. Kuwa serious ma maisha

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 6 місяців тому

    Futeni bima watu watibiwe bule sababu mtu hawezi kusingizia ugonjwa

    • @tyce3800
      @tyce3800 6 місяців тому

      Asante kwa maoni yako. endelea kutazama Chanel yetu

  • @sameraakhf5605
    @sameraakhf5605 6 місяців тому

    Jiwekee na akhera usijimalizie duniani tuu akhera kuzito

  • @tyce3800
    @tyce3800 6 місяців тому

    Hongera sana UVCCM