WANAHISA WA MAENDELEO BANK WAPATA GAWIO LA FAIDA, BENKI INAKUWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • KIWANGO cha gawio la faida kwa wanahisa wa Maendeleo Bank kimeongezeka kwa asilima 69 kwa mwaka 2023, ambapo jumla ya shilingi Bilioni 1.17 kitagawiwa kwa wanahisa wake
    Mwaka 2022 gawio la faida kwa wanàhisa wa benki hiyo ilikuwa Shilingi 26 ambapo mwaka 2023 gawio ni shilingi 44
    Aidha gawio hilo litatolewa kwa mfumo wa Hisa nasio fedha taslim ambapo kila mwanahisa atapewa hisa za ziadq kwa thamani halisi ya gawio analo stahili kupewa

КОМЕНТАРІ •