UTENDAJI WA EWURA UNARIDHISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • EWURA WAMEFANYA KAZI YA UDHIBITI KWA UBORA SANA-KM WIZARA YA NISHATI
    Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Felchesmi Mramba amepongeza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),
    Akiwa kwenye banda EWURA ndani ya Maonyesho ya 48 Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) leo tarehe 9Julai 2024 Mramba amesema bei ya huduma husika ipo chini na wanatoa huduma nzuri
    Akitolea mfano bei ya Umeme kwahivi sasa nchini kwetu ipo chini ukilinganisha na Mataifa mengine ya Afrika Mengine ya Afrika Mashariki
    "Ukiangalia bei ya Umeme wetu ipo chini sana na Waandishi wa habari mnajua sababu ninyi mnaweza kufatilia kwenye Website(TOVUTI) za nchi Mbalimbali" alisema katibu mkuu Mramba
    Kwaupande wake Mkurugenzi wa Ewura James Andilile amesema wameingia mkataba na TANESCO kwalengo la kusimamia utendaji kazi wao ili kuboresha utendaji na upatikanaji wa Umeme na kwa sasa Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Nishati ili kuhakikisha sekta hiyo inaimatika
    Kwaupande wa Bei ya Mafuta Beana Ndilile amewataka wale wote wanaohitaji kuwekeza kwenye sekta ya gesi kujitokeza kwani gesi inapatikana hapa nchini ili kuwahudumia wananchi

КОМЕНТАРІ •