KIJANA WA NDACHA (PAULO) AFUNGUKA KISA CHA KUACHA UISLAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 25 днів тому +1

    MUNGU Akubabariki sana naakulinde ukae katika wokovu siku zote

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 24 дні тому +1

    Mungu akulinde na akutunze Mungu aliye kuhita atakulinda na atari zote

  • @abdallahmungwana8667
    @abdallahmungwana8667 Місяць тому +1

    Ngoja ufe

  • @heavens9451
    @heavens9451 2 місяці тому +4

    Gospel Conner barikiweni... Alafu mwalimu Paulo. Mungu akubariki Na akupe Neema zaidi ya Kufunza Neno la Mungu

  • @aggreyomusikoyo
    @aggreyomusikoyo Місяць тому

    ❤❤ unaenda mbali we we bro

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana kijana umechagua fungu jema ambalo hakika hautapotea.Nafurahi sana sana,mimi niko ukristo toka 1998 ninamatumaini ndani ya Kristo. "ISAYA 35:8- Na hapo patakuwa na njia kuu na njia, nayo itaitwa,Njia ya utakatifu,wasio safi hawatapita juu yake,bali itakuwa kwa akili ya watu hao wasafirio,wajapokuwa wajinga,hawatapotea katika njia hiyo.Hapo hapatakuwa na simba,Wala mnyama mkali hatapanda juu yake,hawataonekana hapo,bali waliokombolewa watakwenda katika njia hiyo.Na hao waliokombolewa na BWANA watarudi,watafika Sayuni wakiimba,na furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao,nao watapata kicheko na furaha,huzuni na kuugua zitakimbia"

  • @emmanuelkinambi2506
    @emmanuelkinambi2506 Місяць тому +2

    Mungu yupo bado kazini na roho wa mungu anaendelea kuwa vuvia na kuwafungua macho ya kiroho na wengine wataendelea kufunguka. Amina

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 2 місяці тому +3

    MUNGU Ajitukuze Mwenyewe Ndani Yako Na Akuongoze Kwa Mafundisho Yako Mazuri Yanayo Fungua Watu Akili Kujua Na Kufaham Njia Ya Kweli Na Ya Haki. MUNGU Akulinde Hadui Asiku Pate. Anga Mizwe Na Moto Wa MUNGU Ulao Daima Neno La MUNGU Lienee Duniani❤

  • @ZitoGadwe
    @ZitoGadwe 2 місяці тому +3

    Mungu akubaliki sana Paula

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 15 днів тому

    Shalom, naomba mniunganishe na huyu ndugu pls

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Місяць тому +1

    Yesu ni Mfalme wa wafalme. Mtabisha sana lakini Watu wataokolewa na kutoka katika hii Dini ya Chuki na Mungu asiyejulikana. YESU ATAWAOKOA NA WENGINE

  • @abdallahdoka9173
    @abdallahdoka9173 Місяць тому +1

    Mwongo mnafiki sanaa huyu... Quran 4:171 inasema ورح منح "waruhu minhu" ni roho itokayo kwa mungu si roho wa mungu 😂😂😂😂

    • @alexandrekiza3051
      @alexandrekiza3051 Місяць тому

      Sasa roho itokayo kuwamungu na roho ya Mungu utofauti uko wapi?? Vyote si vyamungu. Soma uelew

  • @MohamedMohamud-t8z
    @MohamedMohamud-t8z Місяць тому +1

    Wewe wacha kudanyaga watu huna uzima ila tu nchaa ndio imekusababisha uecha dini ya allah

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Alichodanganya ni nini ?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      Kwahiyo umeambiwa ukija kwa Yesu unakula bure?Amekuja kwa Yesu atashiba uzima wa milele

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      ​@@FridayMwassa🙏🙏🙏🙏

  • @EgidMwalongo
    @EgidMwalongo Місяць тому +1

    Safi kijana wambie maana waislam wote dunian wanaamin kwamba sisi wakristo wote ni makafili kumbe wanapotoshwa Kila siku

  • @EgidMwalongo
    @EgidMwalongo Місяць тому +1

    Safi kijana unajielewa sana

    • @abdallahdoka9173
      @abdallahdoka9173 Місяць тому

      Nyinyi mna mazoeya ya kudanganywa Kila wakati so hakuna Cha ajabu hapo

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      Hakuna cha ajabu wakati YESU kamtoa gizani​@@abdallahdoka9173

  • @teacherpatrickmathematics
    @teacherpatrickmathematics 2 місяці тому +2

    AMINA

  • @deusNjimba
    @deusNjimba Місяць тому

    Amen. UBALIKIWE na bwana

  • @AthanasPatrick-b3e
    @AthanasPatrick-b3e 2 місяці тому +1

    Good

  • @AliJussa
    @AliJussa Місяць тому

    Ogopa technology, huyu mwamba utamjua kama mpigaji endelea kumfuatilia utajua lengo lake lilikuwa ni nini

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 Місяць тому

    Força meu pastor ❤❤

  • @MuammarAlly
    @MuammarAlly Місяць тому

    Imeangamia mikono yk 2 na ww oia ushaangamia na haitokufaa amali yko wala ulichokicuma ila njaa ndio inaykusmbua kengee ww km ushatok kwny uislam bs kausha endlea na kondoo wa bwana wnzio kijana

  • @feizalmas
    @feizalmas Місяць тому

    Huyu mtu Kwa unafiki wake atafedheheka mpaka mauti yake

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      😂😂😂😂😂 Ona watakatifu wa kiislam wanavotoa hukumu . Yani Upendo hamna kwenye hii dini kabisa , Yan unamwazia mwanadamu mwenzio afedheheke loooh

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 Місяць тому

    Wewe ni mara ya ngapi unatoka katika uisla na kuwa mkiristo na kip zako zipo umeritad mara mbili kawaida yako tumekuzoea njaaa

  • @AllyMuliba
    @AllyMuliba Місяць тому

    Wewe mwisho wako ni moto umehongwa ili uzalilishe uislam

  • @ZitoGadwe
    @ZitoGadwe 2 місяці тому +4

    Wafundishi maana waislaam hakuna wnalo lijua

    • @feizalmas
      @feizalmas Місяць тому

      ingia UA-cam andika aliekuaa mwalimu wa ndacha arudi katika uislamu utamuelewa huyu mtu vizuri acha ushabiki

    • @AliJussa
      @AliJussa Місяць тому

      Humjui vizur huyu mtu😅

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      ​@@feizalmasHajarudi kwenye uislam, mwanzo aliogopa kuuwawa na nyie waislam kwasababu koran inasema mtu akiacha uislam auwawe

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 Місяць тому

    Njaa😂

  • @AliJussa
    @AliJussa Місяць тому

    Msomi gani unashindwa kuheshimu imani nyengine? Moyo wako hausemi kweli, Quran sio maneno ya Muhammad.

  • @irtshisekedikhamis5648
    @irtshisekedikhamis5648 Місяць тому

    Tunakujuwa vizuri ulisilimu Bukavu Congo sababu ya maslayi ya pesa kwa Kuwa ulikuwa mtoto WA mitaani , Na ukaritadi (ukarudi Kwenye dini Yako ya ukristo) apa APA Bukavu Congo , ndio ukaenda Kenya Sasa
    Watapeli AO wanaokusikia

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      Mungu awaokoe na nyie . Point hamna mnabisha kwa kisingizio cha pesa . Huku tunagawa pesa ?

    • @abdallahmungwana8667
      @abdallahmungwana8667 Місяць тому

      Hata asimbabaishe huyu Hana lolote ,ila ni njaa TU inamsumbua .njaa ni mbaya sana elmu yenyewe ya shidashida kapenda sadaka sana huyu wa Bukavu

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 Місяць тому

      ​@@abdallahmungwana8667Yesu ni Mfalme wa wafalme. Mtabisha sana lakini Watu wataokolewa na kutoka katika hii Dini ya Chuki na Mungu asiyejulikana

  • @AthanasPatrick-b3e
    @AthanasPatrick-b3e 2 місяці тому +1

    Good