MAGAZIJUTO TV
MAGAZIJUTO TV
  • 171
  • 874 405
REBECA SERIES EP 110: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia.#LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
Переглядів: 1 143

Відео

MAMA KUBWA EP 11: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 1,7 тис.День тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga).Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine.
MAMA KUBWA EP 10: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 3,6 тис.2 дні тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga).Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine.#MariamIsmail #GetrudeMwita #Mris...
REBECA SERIES EP 109: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,9 тис.14 днів тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
MAMA KUBWA EP 9: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 4,8 тис.14 днів тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga). Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine. #MariamIsmail #GetrudeMwita #Mr...
REBECA SERIES EP 108: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,5 тис.21 день тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
MAMA KUBWA EP 8: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 4,7 тис.21 день тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga). Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine. #MariamIsmail #GetrudeMwita #Mr...
REBECA SERIES EP 107: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,4 тис.21 день тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
REBECA SERIES EP 106: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,7 тис.21 день тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
MAMA KUBWA EP 7: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 5 тис.21 день тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga). Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine. #MariamIsmail #GetrudeMwita #Mr...
REBECA SERIES EP 105: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,7 тис.28 днів тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
MAMA KUBWA EP 6: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 4,8 тис.28 днів тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga). Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine. #MariamIsmail #GetrudeMwita #Mr...
REBECA SERIES EP 104: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,9 тис.Місяць тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
REBECA SERIES EP 103: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 6 тис.Місяць тому
Rebeca: Tamthilia ya kusisimua inayomhusu Bi harusi aliyefunga ndoa na kukumbana na tukio la kuletewa zawadi ambayo ni picha yake akiwa na mwanaume mwingine. Vuta nikuvute iliyotokana na picha hiyo, inaleta msisimko mkubwa kwa kila mtazamaji. Fuatilia. #LuluDiva #WelluSengo #GetrudeMwita #DennisDavid #Batuli #FreddyKiluswa #Ussi #Issalito #BongoMovies #BongoTrend #LMN #LifetimeMovies2023
MAMA KUBWA EP 5: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 6 тис.Місяць тому
TABIA za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga). Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine. #MariamIsmail #GetrudeMwita #Mr...
REBECA SERIES EP 102: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,8 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 102: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
MAMA KUBWA EP 4: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 7 тис.Місяць тому

REBECA SERIES EP 101: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 5 тис.Місяць тому

MAMA KUBWA EP 3: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 9 тис.Місяць тому
MAMA KUBWA EP 3: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
REBECA SERIES EP 100: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 7 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 100: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 99: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 5 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 99: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 98: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 6 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 98: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
MAMA KUBWA EP 2: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 14 тис.Місяць тому
MAMA KUBWA EP 2: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
REBECA SERIES EP 97: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,3 тис.Місяць тому

MAMA KUBWA EP 1: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
Переглядів 41 тис.Місяць тому
MAMA KUBWA EP 1: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT
REBECA SERIES EP 96: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 5 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 96: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 95: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,5 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 95: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 94: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,9 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 94: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 93: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,3 тис.Місяць тому
REBECA SERIES EP 93: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
REBECA SERIES EP 92: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL
Переглядів 4,3 тис.2 місяці тому
REBECA SERIES EP 92: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL

КОМЕНТАРІ

  • @MaryamMaryam-vl8lm
    @MaryamMaryam-vl8lm 22 години тому

    Hvi MMA kubwa unampa mumeo aki yake y ndoa 🤣🤣🤣🤣

  • @EfremuMwasumbi
    @EfremuMwasumbi 23 години тому

    Danieli gemu inakushinda punguzo Jilani na rebbeca

  • @subjugator5991
    @subjugator5991 23 години тому

    Mtuletee na ile ya KIMYA MILELE

  • @EfremuMwasumbi
    @EfremuMwasumbi 23 години тому

    Lulu ulipoingia utaniambia huyo baba sijui mshindi nani

  • @EfremuMwasumbi
    @EfremuMwasumbi 23 години тому

    Sakina mbaka nguo za Rebecca

  • @EfremuMwasumbi
    @EfremuMwasumbi 23 години тому

    Kwenye ndoa hapo n

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 День тому

    Unalazimisha ndoa hadi kero we sakina

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan День тому

    Imekuaje 😢had niliisahau

  • @MaryamMaryam-vl8lm
    @MaryamMaryam-vl8lm День тому

    Mi hta sijui ilishia wp

  • @ancillarneema
    @ancillarneema День тому

    Lulu uyo Samson usidhani ni mpombavu kama micky kua makini na huo wazima wako😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @RehemaYakuti
    @RehemaYakuti День тому

    Hila kibibi mremboo❤

  • @annasitti120
    @annasitti120 День тому

    Siku izi inakawia mpk mnatutoa kweny mod ya kufatilia rebeca duh

  • @juliusombiromiyogo3885
    @juliusombiromiyogo3885 День тому

    Why take so long to get out this episode 😅😅we love you guys just give us movies to enjoy all the time 😮😮😮😮

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 День тому

    Deo na Abdul jamani ni ving'ang'a adi wanaboa khaaaaa 😢😢

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana День тому

    Asant ira muna kawizi hadi.tunaisahau daa Rebeca🎉❤

  • @MagdalenapMashauli
    @MagdalenapMashauli День тому

    ❤❤❤

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك День тому

    Nzuri mubarikiwe sana.

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 День тому

    Danien umepatikana safarihii 😂😂😂❤❤❤

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 День тому

    Waoo masha Allah tulisubiri sana jamani ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ancillarneema
    @ancillarneema День тому

    Mnazingua yaani mnatoa kipande kimoja baada ya mwezi🎉🎉🎉🎉❤❤❤q

  • @ChristineRobi-y6u
    @ChristineRobi-y6u День тому

    My lovely series love you people ❤❤Kenya

  • @SarahSilayo-by7kf
    @SarahSilayo-by7kf День тому

    Mna2cheleweshea sanaaa bhana

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 День тому

    Nilisahau kabisa 😢😢😢

  • @minadol-k7r
    @minadol-k7r День тому

    Mlipotelea wapi jmn duuh

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 День тому

    Luluuuuuu😂😂😂😂😂

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs День тому

    Lulu pole umempata kichaaaa mwenzako huyo siyo maiki wakumwendeshaaa kama gar mbovu ❤❤❤❤❤ yenu

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt День тому

    Yaani mpaka nimesach ya nyuma

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei День тому

    Wakwanza kwenye Rebecca kutoka kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tulisumbiri sana kwanini mlichelewecha hivyo any problem🎉🎉🎉🎉

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa День тому

    1,daaa mmezidi kusinzia Hadi tumesahau😅😅😅😅

  • @apaelmbise635
    @apaelmbise635 День тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @BintiAboubakari
    @BintiAboubakari День тому

    Jamani mpaka tumesahau tulipoishia❤

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 День тому

    Hadi nimesahau mliishia wapi jaman mnatupoteza mjue utam wa move utuwekee hâta Kwa wiki mara 2🥰🥰

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 День тому

      Sema wewe mimi jana kidogo ni unsubscribe hii channel kiukweli maana niliona kama haina maajabu tunakaa sana kiukweli

  • @muhammessihakizimana2061
    @muhammessihakizimana2061 День тому

    Mlichelewesha saaana mpaka nilikuwa nimesha kata tama

  • @BundaProsecutor
    @BundaProsecutor День тому

    Kweli mnachelewesha sana

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 День тому

    Mama kubwa utauwa 😅😅😅😅

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 День тому

    Mlikaa hadi nikawasahau vipi mlikuwa wapi lakini mbona hivi ?

  • @MachoziChristine
    @MachoziChristine День тому

    Jamani mnachelewesha jamani mdahote macho kwenu

  • @ConsolathElinasani
    @ConsolathElinasani День тому

    jamani mbona mnakaa kmy sana

  • @kulwa4448
    @kulwa4448 3 дні тому

    Janan tunaomben mwendelezo❤

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 5 днів тому

    Jamani rebeca imeisha au mbona siioni

  • @ndetch12
    @ndetch12 6 днів тому

    Lucy amefariki chaukweli

  • @manirambonajeanne3876
    @manirambonajeanne3876 6 днів тому

    Akiyamungu musamaha wako unawutaka sana lakini lebeca alikuomba musamaha danieli haukutaka kumusikiliza sasa jikaze kidogo

  • @manirambonajeanne3876
    @manirambonajeanne3876 7 днів тому

    ❤❤ 2:48

  • @annasitti120
    @annasitti120 7 днів тому

    Siku hizi rebeca inachelews kutoka

  • @beverlynewere7363
    @beverlynewere7363 8 днів тому

    Rebeca ilienda wapi??

  • @LylianeBauma
    @LylianeBauma 8 днів тому

    Pizi ukafanye mazoezi kwa mwili ngani ulionao😂😂😂😂😂😂

  • @LylianeBauma
    @LylianeBauma 8 днів тому

    Mama kubwa 😂😂😂😂😂balaa umejuwa kumudunda kwa kweli 😂😂😂😂