REBECA SERIES EP 104: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 23

  • @ZedyZawadi
    @ZedyZawadi Місяць тому +1

    Leo nimefurai kumuona deo

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Місяць тому +1

    Wakwanza leo kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kivumbi na jasho kwa kipindi hiki cha Rebecca 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Місяць тому +4

    Jamani tunaomba mtuwekee hii movie kila cku mbona mnatucheleweshea wakat hii movie niazamani japo wengine hatukuiona

  • @MagdalenapMashauli
    @MagdalenapMashauli Місяць тому

    ❤❤

  • @mulhatkhamis8806
    @mulhatkhamis8806 Місяць тому

    Wow Leo nimefrahi kumuona deo

  • @mwakaathuman5637
    @mwakaathuman5637 Місяць тому

    Brision pokea 🌹🌹🌹🌹🌹

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому

    Kazi nzuriiii

  • @KulwaAudax
    @KulwaAudax Місяць тому +1

    Ongezen vipande jamen ,mvi tam hii

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 Місяць тому

    Channel nyingine huwa wanajibu comment za watu ila kwa hii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Місяць тому

    Huyu Abdul anafurahi kumuowa sakina itamgarimu sana anaingia kwenye vita asiyoiweza🙌🏃🏃🏃🏃

  • @AgathaJulius-r4h
    @AgathaJulius-r4h Місяць тому

    Leo nimekuwa wapili asanten sana

  • @RhonMaree
    @RhonMaree Місяць тому

    🎉🎉🎉

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily Місяць тому

    Rebecca 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @JescahBosibori-rb2zv
    @JescahBosibori-rb2zv Місяць тому +2

    At least Leo deo amerudi hata Cleopatra arudi jamani halafu Rebecca hata kama unamtaka mtoto naona usipojunga utamkosa Daniel juu huo mtihani unampe ni mgumu Mimi heri ni adopt 😅😅

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س Місяць тому

    Hii movei ni tamu bt mnaichelewesha..alfu pia dakika ni chache sana mtuongezee dadika jamni 😂😂

  • @DianeManirakiza-vt5bl
    @DianeManirakiza-vt5bl Місяць тому

    Wakwanza apa nipeni like zangu 🇺🇸

  • @hamiidaMusaa
    @hamiidaMusaa Місяць тому

    Wa Tano jmn

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx Місяць тому

    Sakina usimtake huyu sio mwanaume Bora mtake Daniel

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan Місяць тому

    Huxu abdul sio.mzima.

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س Місяць тому

    Sakina achana na huyo teja..rudi kwa daniel

  • @ChristineRobi-y6u
    @ChristineRobi-y6u Місяць тому

    Bt you are to late guys

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 Місяць тому

    Channel nyingine huwa wanajibu comment za watu ila kwa hii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌