REBECA SERIES EP 100: STARRING WELLU SENGO, GETRUDE MWITA, LULU DIVA, DENNIS DAVID, MARIAM ISMAIL

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 21

  • @KulwaAudax
    @KulwaAudax Місяць тому

    Mwenyez mungu awazidishie Kwa kazi nzur❤

  • @MajiburaAlly
    @MajiburaAlly Місяць тому +3

    Yani mi kama kuna series naipenda basi ni hii Rebecca nainjoi sana nikiiangalia❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Місяць тому +2

    Sakina mambalaa ka yote kimburi kinakuponza mpeni sakina like zake za umbaya wake kutokea kenya 🇰🇪 jamani ❤❤❤❤❤❤

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 Місяць тому

    Tamu sanaa❤❤

  • @frankmkesa7271
    @frankmkesa7271 Місяць тому

    Jmn mnachelewesha Sana wengine ndo starehe yetu

  • @PilyAly-ll8fz
    @PilyAly-ll8fz Місяць тому

    Mama sakina nampenda sana uyu ni mzalamo kabisa ongea yake 😅

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 Місяць тому +2

    Hii ngoma haishi leo wala kesho😂😂😂

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 Місяць тому +2

    Asanteni wote mlioshiriki❤❤❤

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan Місяць тому

    😂😂😂Kaogoga kamera😅😅😅😅😅😅mweeeer

  • @NzaaraMTAITA
    @NzaaraMTAITA Місяць тому

    ❤❤❤

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e Місяць тому

    Nawapenda sana kwa kazi nzuri ❤❤❤

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 Місяць тому

    Mmenikwaza sana ep ya 101 haionekani kwenye list

  • @JescahBosibori-rb2zv
    @JescahBosibori-rb2zv Місяць тому

    Jamani nimejitahidi hadi nimewafikia doc Dorcas kazi unayo unadhani umeaangukia wapi huyo mwanaume anakaa ako na hasira hataki kukuona na mtu yeyote mwanaume 😅

  • @AgathaJulius-r4h
    @AgathaJulius-r4h Місяць тому

    Jaman Leo nimekuwa wa tisa

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs Місяць тому

    Good job

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 Місяць тому

    Sakina alijua araachwa Rebecca aolewe yeye!😅😅!

  • @NaomiKemunt
    @NaomiKemunt Місяць тому

    Baba sakina ana akili ya ujinga kwani hilo gongo anapeleka wapi😂😂😂

  • @MaryamMaryam-vl8lm
    @MaryamMaryam-vl8lm Місяць тому

    Mutuletee sizoni 2 isiishe saii

  • @eliwazamienda950
    @eliwazamienda950 Місяць тому +1

    Mama kubwa mbona amna saivi

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt Місяць тому

    Wewe sakina una makubwa badala ya kutulia kwa Dan umpe mtoto wake kiherehere chako ukaondoka