MATUMIZI YA TAA YA OILI YA INJINI (ENGINE OIL LIGHT)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025
  • JIFUNZE UMUHIMU WA TAA YA OILI YA INJINI ILI ULINDE INJINI YA GARI LAKO

КОМЕНТАРІ • 8

  • @muhsinmuhsein4484
    @muhsinmuhsein4484 Рік тому +1

    Asante Injinia, tunaomba somo, la hatua za kuwasha gari, ( start engine)

  • @JumaMatao
    @JumaMatao 6 місяців тому

    Gari yngu yngu kuna wakati inawaka injini light ya manjano kwa mfano nikitembea zaid ya speed 80 lkn nikipunguza mwendo inaondoka. Naomba ushauri wko fundi

  • @jacquilinejustine7227
    @jacquilinejustine7227 7 місяців тому

    Je? Kama imewaka na nikaendelea kuendesha gari kwa siku mbili kuna shida?

  • @innocentswai6239
    @innocentswai6239 10 місяців тому

    Over drive button kweny Toyota vitz inapatikan uapnde gani muhandisi

    • @kyandotv1468
      @kyandotv1468  8 місяців тому

      nimekupata, nitafanya kipindi muda sio mrefu

  • @joeledson3862
    @joeledson3862 10 місяців тому

    Mm taainawaka nikipima oil IMO

    • @kyandotv1468
      @kyandotv1468  10 місяців тому

      inatakiwa kufanyiwa inspection kwenye lubrication system