![Food Mark](/img/default-banner.jpg)
- 35
- 286 730
Food Mark
Приєднався 28 січ 2015
This is a platform dealings with farming
BREAKING NEWS:Ndege yetu nyingine yashikwa Canada
BREAKING NEWS:Ndege yetu nyingine yashikwa Canada
Переглядів: 55
Відео
Harmonize ft Mafikizolo Usijali official
Переглядів 8594 роки тому
Harmonize ft Mafikizolo Usijali official
#BSS2019/TIMOTH v KHAMIS/NANI MKALI ZAIDI?
Переглядів 2764 роки тому
#BSS2019/TIMOTH v KHAMIS/NANI MKALI ZAIDI?
#BSS2019/JE UNAMJUA KIJANA TISHIO ZAIDI KWA KHAMISI?/MSIKILIZE
Переглядів 7 тис.4 роки тому
#BSS2019/JE UNAMJUA KIJANA TISHIO ZAIDI KWA KHAMISI?/MSIKILIZE
ROMA akimbilia Marekani."Najua kwanini mliniteka,siogopi"
Переглядів 514 роки тому
ROMA akimbilia Marekani."Najua kwanini mliniteka,siogopi"
JE HAMIS FUNDI WA BSS atarudi kwa nguvu za wananchi?
Переглядів 38 тис.4 роки тому
JE HAMIS FUNDI WA BSS atarudi kwa nguvu za wananchi?
HAMISI FUNDI WA BSS atolewa kwa fitina
Переглядів 25 тис.4 роки тому
HAMISI FUNDI WA BSS atolewa kwa fitina
Kilimo cha tikiti-kwanini tunapata hasara?sehemu 2
Переглядів 21 тис.5 років тому
Kilimo cha tikiti-kwanini tunapata hasara?sehemu 2
Kilimo cha tikiti-kwanini tunapata hasara?sehemu 1
Переглядів 32 тис.5 років тому
Kilimo cha tikiti-kwanini tunapata hasara?sehemu 1
Jinsi yakuandaa mbegu za tikiti kabla ya kupanda/watermelon seeds germination
Переглядів 24 тис.5 років тому
Jinsi yakuandaa mbegu za tikiti kabla ya kupanda/watermelon seeds germination
Kuna mbegu ngapi za tikiti?kopo gram 500
Переглядів 7 тис.6 років тому
Tunajaribu kutaka kujua Kuna mbegu ngapi kwenye kopo la nusu kilo.
Watermelon farming/new project/matikiti maji
Переглядів 3556 років тому
Watermelon farming/new project/matikiti maji
KILIMO CHA MATIKITI(watermelon)-Part 2
Переглядів 36 тис.6 років тому
KILIMO CHA MATIKITI(watermelon)-Part 2
Kiongoz minipo mbeya wilaya kyela vpi nikilima tikiti maji mwezi wanane ntaweza kupata soko
Me nimepanda kawaida2 nitumie namba zako kaka
Habar naomb nmba yko ili nijifunze jinsi ya kulihudumia xhamba lngu
Kwahyo jumla itakua masaaa 48?? Yaan ya maji 24 Na ya kitambaa 24 ?????
Asante sana mtaaalam
Hakuna mbolea ya Yara na mbolea ya Nitrabo but all in all you're good
Ipi mbegu nzuli inaaza matunda222 ya tikiti
Tafadhali nieleze upandaji nafasi mche kwa mche mstali na mstali. 2.Idadi ya miche kwa ekari 3.mategemeo ya mavuno idadi ya matunda kwa ekari
Je mbolea ya dap ktk kupanda mbengu unaewekaje inagusishwa na mbengu?
naomba namba yako il unpe ushaur
Kaka nisaidie mawasiliano
Ugonjwa wa mnyauko dawayake niipi
Fabian, matikiti shimo kwa shimo ni futi mbili au mita mbili maana hukua na uhakika. Na vipi mstari kwa mstari ni umbali gani??
What is the spacing
Watch my other videos
mimi nimeanza kulima mwaka huu 2023 ila nipo mbali na mto hivo nategemea mvua ila kunachangamoto ya ukame nimeambiwa na baadhi ya wakulima wenzangu nitumie super glo je ni sahii niitumie hii SUPER GLO ili nikabiliane na ukame
Unaendeleaje
Je Mimi nikipanda tikiti maji kwenye eneo lililopandwa mihogo japo halijawahi kupandwa matiki maji?je litastawi?
Je naweka kupanda pamoja na kuweka mbolea mda huo huo
Shukulani
Kila shina linatakiwa kuwa na matunda mangapi ya tikiti?
Matiti yanachukuwa mda gani kuvunwa shambani
Mbolea gan ya kuzalishia?
Nahitaji dawa ya manyigu
vp kak
Poa
9d
Kazi ngumu Sana ziro
Nyanya imekosa maji iyoo kaka
Mkoa Gani huo??
Morogoro hiyo ndugu yangu Morogoro tunaongoza kwa mambo ya kilimo 🤣🤣🏃🏃
Naomb no yenu yang whtsap 0744509702
Je mbegu ya african seedy inaotesha pia?
Great job. A learning experience for the water melon farming.
Great job. A learning experience for the water melon farming.
Vizuri sana ndugu. Hili unalolifanya ni msaada kwa Watanzania wenzako. Hongera sana.
Namm ninampongo ila naomba kujua mbegu gani ambayo inafaa kwaajili yamatikiti
Naomba ntumie namba sm
Kilimo kwanza
Uliacha kulina mkuu
Sijawahi kuacha
Samahan ety kaka Fabian unaweza panda bila mbolea halafu baada tu yakuota ndio uweke DAP au otesha ni vibaya
Dahh Haya maelekezo aren't perfect Kuna missing information Nyingi sana, I've tried mzigo hauja Germinate, nimekuja kuangalia Video za wazungu Kumbe kuna vitu kibao havijaelezwa
Kama vipi?
samahani nauliza dawa ya wadudu weup wanaoishi kwenye udongo asilimia kubwa wanaoishi kwenye mbolea ya ng,mbe dawayake niipi
Dawa ya nyigu ni Pateje kaka
Kaka naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza mtego wa nyigu
Kaka naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza mtego wa nyigu naomba msaada sana
Pole na mm nipo Dodoma naomba unisaidie heka moja ni miche migapi
Habari Naomba tuongee unipe ushauri
Mkuu minaitwa Denis nipo dar es salaam ninaitaji kulima matikiti nakuomba tuwasiliane kwa kupata elimu zaidi namba yangu ni 0712352975 mkuu nakuomba nichek watsap nahitaji hi elimu namimi nianze kilimo
asante kwa elimu nzuru umetupatia
Busta inawekwa mara ngapi kuanzia kupanda hadi kuvuna?
Nashukuru sana kwa elimu hii, imenihamasisha kujikita rasmi katika kilimo cha tikiti kibiashara, nahitaji msaada wenu zaidi, nipo Tabora Urambo. Hamna grouo la Wasapu? Mbolea ya dapu ni ya aina gani mbona sijawahi kuisikia?
DAP
Asante Sana ndugu Fabian, nimekuwa nikitazama video zako juu ya kilimo cha Tikiti, ningependa nami nifanye kwa mara ya Kwanza nyumbani, hivyo kutokana na uzoefu nilio uona kwako, ningependa unisaidie katika majaribio yangu katika eneo langu nyumbani kwa kunipigia simu kupata kuelekezwa kama muongozo pindi nitakapokuwa tayari kuanza, saidia maana Mungu anaagiza hivyo! Namba yangu ni 0658 201978, kwa jina la ngu Evance Sanga . Asante!
Vizuri kujifunza
Safi kaka