VIDEO || WAHESHIMU BABA NA MAMA BY YOHANA ANTONY TOTO DOREEN KAMTUPE] +255765005775

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 122

  • @ISAYAJOSEPHMUSHINGI
    @ISAYAJOSEPHMUSHINGI 10 днів тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉 mubarikiwe Sana

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 12 днів тому +17

    Unawapa Asilimia Ngapi Juu ya Vimbo Huu Naomba Malafiki zangu Tujuwane Weka like Kama zote hapaaaaa Family Ya kamtupe Mko Wapi🎉🎉

    • @JacobMarco-r2t
      @JacobMarco-r2t 12 днів тому

      100%❤❤❤❤ Naitwa Amina Siima nawafatalia sana Hawa watoto wananibariki sana , nawapenda sana

    • @GhFc-w9k
      @GhFc-w9k 11 днів тому

      Congratulation 🎉🎉 100%.mubarkiwe sana.halima

    • @JasmineNaipa
      @JasmineNaipa 11 днів тому

      Congratulation Mungu awabariki na awatende mema 🙏💖

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 11 днів тому +3

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬👍 A

  • @MaureenDelizia
    @MaureenDelizia 12 днів тому +2

    Asante sana wimbo mzuri sana mungu hawabariki sana huu wimbo unafunza hakika wazazi ni watu wa maana asie muheshimu mzazi ame laaniwa

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Aminaaaa Naomba Sambaza Ujumbu huu kwa Malafiki zako

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 12 днів тому +2

    Mungu akubariki Sanaa 😂😂😂😂😂 betinnah Uganda 🇺🇬 nyimbo nzuri Uganda 🇺🇬👍 tunawapenda saana

  • @charlesndeto5908
    @charlesndeto5908 12 днів тому +4

    Best ya mwaka . Barikiweni sana ndugu Zangu

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +2

      Asante Charles Naomba sambaza link kwa Wengine Ujumbe huu

    • @charlesndeto5908
      @charlesndeto5908 12 днів тому

      @@DoreenKamtupe kama kawaida pitia Whatsapp utaiona hapa

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 12 днів тому +2

    Keep it up 🇰🇪

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  11 днів тому +1

      Thank you so much Please Share kwa malafiki zako Uko Kenya 🇰🇪 Wote waipate Hii wimbo ❤️🔥

  • @BarakaBakenyaofficial4934
    @BarakaBakenyaofficial4934 12 днів тому +3

    Ameeen Wimbo mzury saana

  • @jjmwakajinga1043
    @jjmwakajinga1043 12 днів тому +2

    Hiiii imeenda

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Asante kwa Neno lako Mtumishi wa Mungu

  • @JohnTangono
    @JohnTangono 12 днів тому +2

    Mungu awajalie

  • @VickSimon-c3r
    @VickSimon-c3r 4 дні тому +1

    Amen mungu akubari kwakazi unayo hifanya

  • @YvetteMugeni254
    @YvetteMugeni254 12 днів тому +2

    Wimbo Mzuri Sana Na Wenye Mafunzo Mema❤❤❤❤❤Congratulations Yohana Na Doreen Acha Mungu Awainuwe Na Awabariki Sana Tena Sana 🙏 🙏 🙏 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤...Mwenye Anezapost This Song Full Tiktok Si Anitag Nataka Kusave 🙏...

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Aminaaaa pia Tunaomba Support Yako ku share kwa malafiki

  • @truthgospelchurch8700
    @truthgospelchurch8700 12 днів тому +2

    Amen! Amuli ya Mungu, asio heshimu wazasi amelaniwa. Hongela!!! Yohana Baraka, tele 2025.

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Ameen Asante Nisaidie ku subscribe Comment Share kwa Wengine

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 8 днів тому +2

    Baba na Mama Wamepewa Neema na Mungu Waheshimu Upate kuoshi siku Nyingi na heri Duniani Wimbo wetu wa mwaka 2025 ndio hii

  • @JanetMachuma
    @JanetMachuma 3 дні тому +1

    Amen lord tusaitie ukatube kufumilia tunaboongeleshwa na wazazi wetu. Ilituiishi miaka mingi katka Duniani

  • @GodfreyMsangawale
    @GodfreyMsangawale 12 днів тому +3

    Good song ,and good content,parent are the only one who can die because of defending their child from the diserster,so in the world no one can stand perfect ,as a parent, so every body should be polite and consciousness in defending the parent , Doreen kamtupe and yohana Antony God bless you our gays and happy new year ✅✅✅✅

  • @SophiaAbeli
    @SophiaAbeli День тому +1

    Hongera sana kwa Wimborne mzuri nimeupenda sana

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 7 днів тому +1

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬👍👍

  • @JacobMarco-r2t
    @JacobMarco-r2t 12 днів тому +2

    Amen Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Yohana & Doreen

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Asante Nimefulahi kusikia uki Sambaza link kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie please

    • @JacobMarco-r2t
      @JacobMarco-r2t 12 днів тому +1

      ​@@DoreenKamtupeinjili isonge mbele 🎉🎉🎉🎉

  • @LukobaMike
    @LukobaMike 11 днів тому +2

    Ameeen huu mwaka kweli lazima tufunguliwe keep fire 🔥 burning dadaa and kaka

  • @GhFc-w9k
    @GhFc-w9k 12 днів тому +3

    Mungu amubariki sana kwa ujumbe mzito kwa watu wote wa heshimu wazazi wao.much❤

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Thanks you Naomba Share kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie please

  • @NuruVitusi-mq3kn
    @NuruVitusi-mq3kn 6 днів тому +1

    Safi sana yohana Wimbo mzuri sana Mungu akubaliki sana👋♥

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w 12 днів тому +2

    Mungu awabariki sana brother and sister 🙏 🎉

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 7 днів тому +1

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢

  • @PriskaMalungu-n3e
    @PriskaMalungu-n3e 12 днів тому +2

    Ujumbe umefika kabisa

  • @marthasikazwe
    @marthasikazwe 11 днів тому +2

    Wimbo unagusa

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  11 днів тому +1

      Aminaaaa Asante Niombe Support Yako SUbscribe Comment Share kwa Wengine Ujumbe huu

  • @SuzannaDinoh
    @SuzannaDinoh 12 днів тому +2

    Mungu awabaliki sanaa tuanze mwaka mpya tumalize vizurii 🙏🙏

  • @ISAYAJOSEPHMUSHINGI
    @ISAYAJOSEPHMUSHINGI 6 днів тому +1

    Muliimba vizurisana kabisa ❤❤❤❤

  • @ChristineWaswasikinga
    @ChristineWaswasikinga 12 днів тому +3

    mbarikiwe sana

  • @MadoElizabeth25
    @MadoElizabeth25 9 днів тому +1

    Amen nawapenda san kutoka Burundi nyimbo yenye ushauri muzuri san

  • @margarettoroitich5777
    @margarettoroitich5777 12 днів тому +2

    Kazi nzuri Anthony and Doreen and much more to your parents and those around your support in word, prayer and ecen financially God bless you and them abundantly

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Thank you so much Please Support Share link kwa malafiki zako wote

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 11 днів тому +1

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬👍 Asante 😂😂😂😂 nyimbo nzuri

  • @Minsozyo
    @Minsozyo 12 днів тому +3

    Wazazi ndio dira ya maisha tuwaheshi kwa kila hali

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому

      Asante Sanaaa sambaza liki hii kwa Wengine malafiki zako Wote

  • @GeorgeIgnatio
    @GeorgeIgnatio 11 днів тому +2

    Mungu akuinue Kwa VIWANGO vikubwa

  • @EmmanuelMwakalinga-o1x
    @EmmanuelMwakalinga-o1x 11 днів тому +1

    Ubarikiwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DoreenKamtupe
    @DoreenKamtupe  12 днів тому +7

    Waefeso 6-2-3 Waheshimu Baba na Mama Yako hii ndiyo amri Ya kwanza Ambayo Imeongezewa Ahadi yaani upate fanaka na kuishi Miaka mingi Duniani 🙏 Wimbo Wetu Ulitoka hapo👆 Waefeso

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 3 дні тому +1

    Mungu azidi kuchanua ndani yenu watoto wa Mungu

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  3 дні тому +1

      Amina Mtumishi Wa Mungu Pastor Emmanuel Mwandu Mungu Akubariki Sanaa Mtumishi

  • @density_andrew
    @density_andrew 10 днів тому +2

    Mungu azidi kuwainua one day muimbe na mwanangu

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 11 днів тому +1

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬👍 Asante Samuel Jackson

  • @NdagireBetty-gw1rs
    @NdagireBetty-gw1rs 5 днів тому +1

    Mungu akubariki Sanaa betinna 🇺🇬😂😂😂😂❤❤❤ asaante Sanaa Amina

  • @FredyMwasambungu
    @FredyMwasambungu 9 днів тому +1

    Mungu awalinde vijana wetu ujumbe umenigusa sana

  • @DoreenKamtupe
    @DoreenKamtupe  11 днів тому +2

    Mungu Awabariki Kwa Kuni Support Twendelee ku share link kwa Malafiki zetu Pia Aminaa Guys

  • @PatrickBihembo
    @PatrickBihembo 12 днів тому +2

    Asante kwa ujumbe wimbo muzuri 🇨🇩🇨🇩

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +1

      Asante Sanaaa kutoka Congo 🇨🇩Nawapenda Sanaaa Naomba Support Yako ku SUBSCRIBE share kwa watu wa huko

  • @ESTERMAUWA
    @ESTERMAUWA 8 днів тому +1

    Congratulation, my young sister❤

  • @AbdonAdamu
    @AbdonAdamu 12 днів тому +2

    Waoooo

  • @NIKODEMMWAHANGILA-v5w
    @NIKODEMMWAHANGILA-v5w 12 днів тому +2

    Hallelujah

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز 9 днів тому +1

    mbarikiwe watoto wazuri kwa wimbo mzuri

  • @DoreenKamtupe
    @DoreenKamtupe  12 днів тому +3

    Waheshimu Baba na Mama Video Ndio hii Video Iliyosubiliwa Na watu Wengi Sasa Tunafunga mwana tunaanzana Nayo Niombe Support Yako Popote ulipo Subscrebe Comment Share like🙏

  • @CatherinMwanandota
    @CatherinMwanandota 9 днів тому +1

    MUNGU awabariki sana watoto ❤❤

  • @Marylimo
    @Marylimo 3 дні тому +1

    Mbarikiwe sana

  • @Johnclaude916
    @Johnclaude916 12 днів тому +2

    Good song 🔥🥰🙏🙏🙏🙏🙏 by#Claudeofficial

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 12 днів тому +3

    Wimbo wa kubarikiwa 2025

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  12 днів тому +2

      Aminaaaa Asante Sanaaa Naomba share kwa Wengine Ujumbe huu

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 12 днів тому +4

    Waiting Songs Mtoto Doreen Kamtupe Ft Yohana Antony Waheshimu Baba na Mama hakika Tuwasapòti Hawa Watumishi Ujumbe huu ni Mkubwa Congratulations 🎊 SUBSCRIBE SHARE

  • @MBODINAJEANLUCBAHATI
    @MBODINAJEANLUCBAHATI 4 дні тому +1

    Ubarikiwe

  • @DoreenKamtupe
    @DoreenKamtupe  11 днів тому +2

    Twendelee ku Support Video hii Ifike Mbali

  • @AbiaLaurent-j8y
    @AbiaLaurent-j8y 10 днів тому +1

    Barikiwa san

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  10 днів тому +1

      Aminaaa Asante Sanaaaa

    • @AbiaLaurent-j8y
      @AbiaLaurent-j8y 10 днів тому +1

      @DoreenKamtupe mngu akuinue kwa viwango vya juu zaid moto mzur

  • @Elishaponde
    @Elishaponde 10 днів тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @desaumwaweza
    @desaumwaweza 9 днів тому +1

    Hallelujah baba na mama

  • @Joyceisaka
    @Joyceisaka 9 днів тому +1

    YAANI SIJUI NIANDIKEE NN KWENU WADOGO ZANGU MM DADA ENU NAWAPENDA MNOO YAANI UJUMBE HUU NI MKALI UNACHOMA NA UFUNUO KUTOKA KWA MUNGU KUNA MIAKA SIKUWA NAWATII WAZAZI WANGU NILIKUWA SIFANIKIW KABISA ILA NILIPO OKOKA MWAKA 2024 NA KUANZA KUWATII WAZAZI NIMEONA MEMA MENGI ZAIDI NIMEPATA WIMBO WA BARAKA KUTEMBEA NAO 2025 KUPITIA WAZAZI NAENDA KUVUNA BARAKA ❤❤❤❤ NAWAPENDA

    • @DoreenKamtupe
      @DoreenKamtupe  9 днів тому +1

      Aminaaa Ubarikiwe Sanaaa Joyce Mungu Akubariki zaidi na zaidi

  • @ferofero-m5z
    @ferofero-m5z 12 днів тому +1

    Ubarikiwe 🎉🎉🎉

  • @PriskaMalungu-n3e
    @PriskaMalungu-n3e 9 днів тому +1

    Kabisa

  • @dorcasngui8946
    @dorcasngui8946 10 днів тому +1

    ❤❤❤

  • @GershonPeter-m6u
    @GershonPeter-m6u 8 днів тому +1

    Safi sana

  • @BATSHEBATOSHA
    @BATSHEBATOSHA 7 днів тому

    Hakika