🔴# LIVE: RIPORT YA LEO, SIMULIZI YA RADO SEHEMU YA 5 JAN 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • 🔴# LIVE: RIPORT YA LEO, SIMULIZI YA RADO SEHEMU YA 5 JAN 2024
    #transformer #Efmtanzania #livestream
    -
    / @efmtanzania
    -
    Muziki Unaongea 🎶
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

КОМЕНТАРІ • 26

  • @lucympelembwa7836
    @lucympelembwa7836 9 місяців тому +8

    Wakati mwingine tusiwachukie wanaotuletea machungu,Mungu huwa anawatumia hao kukuvusha so ni kama daraja letu bila changamoto yamkini asingesong mbele,So nimefurah sanaa kwa Rado kuachilia kwa wote waliomtesa,Story ni nzuri sanaa kiukweli nimejifunza vingi mno na kuniongezea kufanya kila kitu kwa bidii haijalishi upo wakati gani

  • @nurumhina239
    @nurumhina239 9 місяців тому

    Mungu ni mwaminifu sana kila jaribu linamlango wakutokea tusiache kumuamini kwakila njia anazotupitisha

  • @christerChriss-jn7vm
    @christerChriss-jn7vm 9 місяців тому

    Anaejua jina la iyo nyimbo jaman

  • @Satwant-c1p
    @Satwant-c1p 9 місяців тому +5

    Vipi yule bibi ambae alimzalisha Rado? Rado alienda kumsaidia yule Bibi?!😢

  • @MarryaMarrya-m7e
    @MarryaMarrya-m7e 9 місяців тому +2

    Mungu mwema,nami nimepata nguvu sana

  • @matildakyauke8781
    @matildakyauke8781 9 місяців тому +1

    Hakika smulizi và rado imenipa nguvu mpya kumbe nikiamuwa naweza dad velonika MUNGU akupe maisha malefu na Mema mm Regina nakupenda saaan💗💗

  • @ElizabethIdifonce-wc9ze
    @ElizabethIdifonce-wc9ze 9 місяців тому

    Daah yan uku morogoro redio aipatikani yaan imekatika

  • @ZuhurambekoMbeko
    @ZuhurambekoMbeko 9 місяців тому

    Jaman mm da Vero inasumbuwa kucheza na mm nikapata bahat yangu laki 5 nikijalibu inasumbuwa sana inasema muamara umesitishwa

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 9 місяців тому

    Kabisaa rado simulizi yako mwanzo iliumiza sana moyo💔💔💔lakin huku mwisho umejua kunifuta machozi😭😭😭😭Asante rado kwakushere nasi Mungu akupe maisha malefu 💕💕🙏

  • @EvaPatrickboko
    @EvaPatrickboko 7 місяців тому

    Samahani dada vero naomba uniunganishe na dada ninatafuta nakuomba dada, mimi nipo dar nimetoka mkoani

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 9 місяців тому

    Dodoma kupitia redio kwangu wiki zima haikusikika😢.grace abinery

  • @fora2009
    @fora2009 9 місяців тому +1

    Weee dada mungu yupo na wee wallahi nalia hapa😭😭😭

  • @ReganKimaro-kr7nn
    @ReganKimaro-kr7nn 9 місяців тому +3

    Wee ukiona tuu mtu kafanikiwa unaaza kutamani mafanikio yake.
    au unanza kumuita majina ya hivyo.
    Unaeza kuvàa viatu vyake akikupa?ili uweze kufika alipo😅
    Ukiona mafanikio ya mtu ujue nyuma yake kuna siri kubwa sana sisi hua tunaona matokeo tuu.
    Nirahisi sana kutamani na kufurahia Nguvu za Samson lakini kuna siri ya Nguvu zake ambayo mara nyingi huwa hatuijui.
    Jn

  • @faridamwingira1170
    @faridamwingira1170 9 місяців тому

    Boss Rado😘😘

  • @sperabais
    @sperabais 9 місяців тому

    wow imekuwa nguvu kubwa sana jamani Mungu ni mwaminifu kweli Rado umepitia unatupa matumaini ya kwamba bado cjashindwa nipambane nisonge mbele nimejifunza kitu pia haijarishi usaidiwi ila kuna sehemu yako ya maisha imeandaliwa tayari kusamehe pia ni jambo jema zaidi nimefurahia

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 9 місяців тому +4

    Vipi kuhusu yule bibi

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 місяців тому +2

    Veronica Katika story unazozileta hapa zimekua baraka kwangu,nilikua mtu wakukata tamaaa lakin nashukuru Mungu story zawenzangu zimekua dawa kwangu,God bless you rado story yako imeniongozea nguvu niendelee mbele

  • @johnbenben
    @johnbenben 9 місяців тому +3

    jamni vip kuhusu bibi alikojifungulia na alimtamkia rado mafanikio mbona hamumtajii😢😢

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 9 місяців тому +1

    Nguvu ya pesa hahahahahah😂😂😂😂😊😊😊

  • @TeddyKissesa
    @TeddyKissesa 9 місяців тому

    Anavyoongea tu anaonekana pesa mingimingiii🤣😆😆🙌

  • @DotoMrisho
    @DotoMrisho 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @monicagodfreyzacharia5489
    @monicagodfreyzacharia5489 9 місяців тому

    NIMELIA MACHOZI YA FURAHA KWELI MUNGU HAMTUPI MJAA WAKE

  • @ElizabethIdifonce-wc9ze
    @ElizabethIdifonce-wc9ze 9 місяців тому

    Daah yan uku morogoro redio aipatikani yaan imekatika