Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
VIDEO: IRENE ROBERT 'GOODLUCK alitaka VITU vilivyo NJE ya UWEZO wangu'
Вставка
- Опубліковано 11 бер 2020
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
The only advice I can give you sister Irene you should be accepting interviews from people that are believers like you or else those journalists can take you out of the spirit....
Ur right
Uyo mwimbaji wa nyimbo za injili hata ahamasishi kabisa kuwa mchamungu
Kama unataka kuwa mtumishi wa Mungu Dada punguza sana kuvuta sauti unapoongea, kulembua, kujibinuabinua sana. Utafaa sana. Vinginevyo unawashawishi wanaume kwanzia usemi wa sauti yako, macho, umbo lako hilo
Saw msaidiz wa Mungu anatakiw kuw kam ebitoke
Wewe unaimba kwakutakaza viyachara kope badiya,kucha, navigine mungu anakuona badili mwenedo wako
You have a good voice.
Keep it up, utafika mbali
Jinyooshe mwenyewe kwanza dada
Hongera Mungu mwenyewe ndiye anayejua zaidi dada
Safiii Dada angu
Barikiwa Sana MTUMISHI WA Mungu
Hongera Sistar
Hawa ni wasanii si watumishi wa Mungu
Dah nawakubali Rick mnatupa vitu tofauti tofauti
Mbona unajilegeza sana unakuwa kama cyo mtumishi
😁😁
Mungu atakushindania dada utafika mbali
I really appreciate you coz ulikwa na collaboration with my fellow Ugandan @Levicixone **but the presenter is too much
The presenter is making you blush Haki
Hiyo sio interview ,
Bigup presenter
da mungu akuongoze san
Upo vzur
Mtumishi 😲😲😲😲😲😲
haha eti mtumishii
kucheka cheka huko aisee No
Aliyemuona anarembua gonga like.
Minamfaham yuko sls hatanii
NATAFUTA KIKI interview
With the best of the best Presenter in East Africa, we call him Kide the best
Duu! Wazungu wametuasili na kila mdada anaiga sauti ya wema.
Alafu unarembua dada,,,,,alafu mtangazaji anazingua😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hovyo kawaimbie wasanii wenzako hatubarikiwi hata kidogo muhuni tu wewe
Muhimu tuombeane ili Mungu atusaidie kutembea katika njia yake. Tusinyosheane vidole lrene ni mwanadamu tu. Ni kumuombea na kumshauri pia pale anapoonekana amekosea. Kila mtu anamtegemea mwingine kupiga hatua yaani tunategemeana.
Kwa nini waimbaji wa injili wana jichanya sana, Garden yeye anasema kwamba hajaokoka ila munazidi kufanya collabor naye. Mungu azidi kutu samehe kwa maana hatujui injili iko inabebwa je.
Atakuwa walishindwana kivingine sio kipesa
Mmmm unawokovu wakurithi??
Guardian Angel is my dad...... Nakupenda Irene
You bless me
Naomba number yake please
Mtangaz unazngua yan kama n mm nngekujb ovyo fyuuuuu
This presenter is very unprofessional,
Mhhhh... Mi sielewi hii aina ya ukikristo.. Maadili ya ukristo kwa waimbaji yapo?
Yanakuhusu nini fuata dini yako
Sura yenyewe anaonekana amekulia katika malezi ya hajabu hajabu
yani hili lidada limenichefua litumishi gani kujishauu lajishaua sura yenyewe kama tako la jambazi.
Mmmh kiukweli nicee umenifanya nicheke haswa
Mbona mziki mziki unapenda kuweka hilo neno akat lengo ni kumtumikia MUGU watu wengine bhn
Kwan mziki ni nini ww nae vipi
Nothing here
Yes
Wasanii wa bongo flavour wenyewe hata wakifanyiwa enterview hawawezi kuzungumza kwa namna hii dada be change;mtu wa Mungu jaribu kuwa serious kidogo ili ata wasiomwamini Mungu wajifunze kitu kutoka kwako.
Hv huyu Dada vp
My daughter, you're not serious!
The way you dress, the way you talk, the way you laugh, and the way you gesture doesn't making sense in your seriousness as you are talking !
And unfortunately, you met with host who pretended to be not aware of the greetings of " Bwana asifiwe" ,
And bad enough the host wanted to turn you around from your purpose of being there to other swagies of mentioning other useless things, although I didn't know if you where at studio, at the certain office or mahali fulani hivi uchochoroni !
SO MY SISY, BE SERIOUS, please !
I can't subscribe to such kind of channels !
Nonsense !!
God forgive you
May God help you @Christopher mloponi, you are easy in judging
Acheni kumdisi Irene jaman duuuh
No human is Reigned in judging
Really
Acha kujichubua
Acha kujicream
Hii balaa, gospel za kisasa hizi aisee hahaha...yaan mtu umeokoka unafanyiwa interview na mtu wa ajabu Mambo ya kiroho Wala aelewi....hata salamu ya Kimungu hajui..
Dada neema upo ubarikiwe
Nakupenda sana sisy irene your beauty 😍😍😍 wanaosema unajichubua na wenyewe siwajichubue
Mmmmm Huyu dada Mmmmm Uja mjua Mungu hata Unabadika Kucha kama kahaba Wedada Acha kumujaribu Mungu😏😏😏😏😏😏Angalia wengine Waimbaji Walivyo tulia Kama Vile Bahati bukuku,Maggi Mulili,Maratha Mwaimpaji,Paschal kasion,bony mwaitenge, atutaki nyimbo zako Azitubariki koma kabisa Mbado Unapenda dunia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jmn hayo yote n yke😭😭
Mmmh umenichekesha sana na
Ukuona anadance sasa
Tushindwe vp akati unatuonesha mabega kama ivo mtoto wa kiume kitu chochote kwenye mwili wako ni attraction tosha kwa mwanaume sa unavotuachia mabega wazi tunashindwa vp
Kwani unatamani mpaka mabega duh
@@bonnysureolkokolaboy4342 unashangaa mabega na wanaotamani pua tusemaje ushaambiwa kiungo chochote Cha mwanamke kikionwa na mtoto wa kiume ni attraction tosha
@@ephraimrichard6701 acha hizo hata kisigino
@@bonnysureolkokolaboy4342 ndio yani kiungoo chochote ndo mana kuna mtu anampenda mtu akiulizwa kampendea nn eti macho hushangai😃😃😃
@@ephraimrichard6701 hapo nimekuelewa sanatu, juz kati niliulizwa na mtu nilchompendea nikamjibu ni Wigi daah